njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Pre season ni ushamba kuwachosha wachezajina mechi zisizo na kichwa wala miguu ni ushamba tu, hakuna cha kubadili hali ya hewa wala saikolojia kwa sababu kwa sasa saikolojia ya wana yanga iko heaven kabisa juu mbinguni hukoo wana morale kubwa na kujiamini mno
*wana uhakika wa kutetea ngao ya hisani, ligi na FA hata mapinduzi watabeba na hawatafungwa wala kutoa draw mechi hata moja
*wana uhakika wa nusu fainali ya klabu bingwa afrika kinachowaumiza kichwa ni jinsi ya kuingia fainali na kubeba kombe
Wamesajili profeshno wasiohitaji sijui kuzoeana na wenzao ,wale wanajua wanchokifanya ,waacheni wachezaji wapumzike wakutane tarehe 1/08/2022 kwa mazoezi mepesi hiyo mechi ya tarehe 6 na red arrows ni ya sherehe tu ya yanga day lakini kwa kikosi jinsi kilivyo hata wasipofanya mazoezi uhakika wa kumfunga yoyote afrika upo