Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

Even a Fabricated Story can Form Coherence Mkuu...
NA ndo maana kuna kipimo maalumu cha Kupima Story kabla ya kuiamini..

Kipindi Nilipokuwa nasoma Bible Textual Analysis sanaa sana kwenye OT [Old testaments] (Textual Critiq)

Kuna maandishi mengi yana Ideas Sawa na yana maana Sawa na Ni hadithi za zamani zimeandikwa na watu tofauti ila zinakosa ubora wa Kuwa Za ukweli na Walishindwa kuyaweka kwenye Biblia Kwa sababu kwanza ni uongo pili vinakosa Analytical Truth..

ntakuandikia kimoja kama sio viwili tu..
Uthibitishwaji wa Nyakati (Nyakati inapimwa kwa Vitu Vingi kama Lugha iliyotumika Muda huo, Aina ya Uandishi, Miji ya Mda huo Na hata majina ya Miji)..

Kwa mfano..

Baba Yako alikuandikia Barua ya maelezo kabla ya yeye Kufariki mwaka 2001 akakuambia..

"Mwanangu Nimekuachia Mali nyingi sana ila mali hizo niliamua Kuzigawa katika sehemu mbali mbali Zingine zipo Mkoa wa Manyara na zingine zipo Mkoa wa Geita Mwanangu tumia Hizo mali vizuri, Kwani ni mali pekee Zenye utajiri wa Nafsi kuliko Utawala wote wa Rais Obama"

ukiisoma Kwa haraka haraka Habari hii kwa mwaka 2012 mpaka mwaka 2024 Unaweza ukaona Ni sawa na haina Shida ila kama ukituma critical Thinking and analysis utaona shida nyingi sna..

Kwanza mwaka 2001 hakukuwa na Mkoa unaitwa Manyara wala Mkoa wa Geita na wala Mwaka 2001 hakukuwa na rais anaiyeitwa Obama..

So obvious its fabticated story iliyotungwa Kwenye miaka Ya 2010 mpaka mwaka 2018 hivi..

Kwahyo ulifanya Textual analysis ya Maandiko ndani ya Biblia Yanafail kuendana na authentification na Autharitative Regulation..

Umesema Luka Ilikuwa na Uvuvio wa Roho mtakatifu, samahani kwa kusema hivi "I doubt that"..

Luka(Alikuwa ni Daktari wa Binadamu) mwenyewe anasema Ukisoma Luka 1:1-4..

Kuwa ametafuta Kwa kufanya Research na kuuliza wazee walioishi miaka hiyo na baada ya kuwauliza akaandika.. kwahyo unamaanisha Research pia Zina uvuvio??

na Elewa neno alilotumia Luka Kutunga

Kutunga Ni kubuni Jambo ambalo hapo kabla halikuwepo.. (Kama BAKITA wanavyitafsiri)
View attachment 3042830
Daktari daktari daktari...nilitamani kuwa utakuja na kitu kilichokuwa na nguvu sana katika kusapoti hoja zako. Lakini kwa hii hapana na lengo langu lilikuwa kujifunza. Ameshasemanhapo mambo yaliotimizwa katikati yetu. Yeye hakuwa among the disciples ila wapo wanafunzi na mitume wameandika ija yeye akaandika kama mtafiti yaani aliyepata commission ya kuandika ripoti ya kupeleka kwa Theofilo kiongozi wa kiserikali.
Nilidhani utakuja na flaws za maana ktk vitabu vya biblia ili nifatilie lakini hii hapana.
Nakumbuka kuna kipindi Kiranga aliwahi kutoa biblical contradictions na zikajadiliwa lakini hii yako hapana.
Pia, tukumbuke Kiswahili kilichotumika kutafsiri ni kile cha zamani kidogo hivyo kuna maneno mengine yanakosa kuleta picha halisi ya maneno hayo kutoka maandishi ya zamani yaliyotumika ktk uandishi wa biblia.
Mathalani, watu wa bukoba wanajua aina nyingi za ndizi. Lakini mzungu zote anaziita banana. Lugha ni utamaduni. Wakati mwingine tunaweza kukosa neno kwakuwa halikuwepo ktk utamaduni.
Kwahapo kwa Luka neno kutunga liangalie ktk tafsiri ya kingereza litakupa maana zaidi ya nini kilimaanishwa. Asante.
 
Natamani unielewe na natamani tungeweza kuelewana vizuri..

Ok tuanze na Hoja iliyomezani halagu tuendelee..

So kama luka alisimuliwa na wewe unakiri kuwa alisimuliwa, kitabu cha luka moja kwa moja kinatakiwa kuwa nje ya Canon yaani vitabu vilivyovuviwa..

Accouding to cannonical criteterion luka Sio authentic wa Gospel wala Autheriatative wala sio Inspired so Tunakiondoa

Lengo langu si kukuonyeshw Contradiction Mkuu japo najua zipo..

Ila lengo langu ni kukuonyesha kama tulivyokuwa tunajenga hoja hapo mwanzo kuwa hata vitabu vilivyopo pia havina Uhalali wa kuwemo kama vile vingine walivyovitoa kwa vigezo hivyo hivyo tukitumia Kuna vitabu vinakosa uhalali (Kama unakumbuka)..

Gospel of Peter kiliondolewa kwa sababu Inasemekana hakikuandikwa na Peter mwenywe bali kiliandilwa na mwanafunzi wa Peter..

Unajua kwanini nilianza kukwambia kuhusu Sheria za Canon mwanzoni kabisa na nikakuambia kama una mwanga wa kuelewa kuzihusu?
kwa sababu nilitaka ujue kwanza sheria zipi zilzotumika kuondoa Vitabu vingine na kuhifadhi vingine kwnye biblia..Ili kupitia Sheria hizo ndo tujenge hoja kwa kitabu Kimoja kimoja..

Na ndo maana nikasema tukitumia sheria hizo hizo hata vitabu vilivyobaki bado Havikidhi Criteria za Canon..

Nani ana uhakika kama Luka alisimuliwa na Watu waliomuona Yesu?
Maana Luka alikuwa Daktari wa Paulo na sio mwanafunzi wa yesu Wala mwanafunzi wa Paulo..
Tujikite kwenye Hoja hizo za Kuangalia Canonical Figurative structure ya Biblia..

Kuna Apokripha..
Na kuna Pseudepigrapha (Vitabu ambavyo Vinajinasibu kwa kuandila Taarifa ambazo hazikuwahi kuona lakini kwa kutumia Nafsi ya kuona)
Luka na Marko ni miongoni mwa vitabu vinavyotakiwa kuwa Pseudo.. na kumbuka Pseudo zote ziliondolewa..

Ungetisha Zaidi kama ungeitetea Luka Kwa sheria Za Kicanon au sheria za Kivuvio lakini kwa maneno matupu hauwezi kuiondoa kwenye Kundi ya Vitabu vilivyotakiwa kuondolewa (Jiulize kama zamani kipindi wanapanga. Biblia wangetumia Maneno matupu Vitabu vingapi vingewekwa na vungapi vingeollondolewa)..
Kuhusu Neno Alilotumia Luka Kutunga...

Tulichambue..
Luka 1:1-4 Kwa lugha yake halisia yaani Kigiriki iliandikwa hivi..neno nilioliwekea maandishi mekundu ndo hilo Kutunga...

Luke 1:1-4 in Greek:

1. Ἐπειδήπερ πολλοὶ ἐπεχείρησαν ἀνατάξασθαι διήγησιν περὶ τῶν πεπληροφορημένων ἐν ἡμῖν πραγμάτων,
2. καθὼς παρέδοσαν ἡμῖν οἱ ἀπ' ἀρχῆς αὐτόπται καὶ ὑπηρέται γενόμενοι τοῦ λόγου,
3. ἔδοξε κἀμοὶ παρηκολουθηκότι ἄνωθεν πᾶσιν ἀκριβῶς καθεξῆς σοι γράψαι, κράτιστε Θεόφιλε,
4. ἵνα ἐπιγνῷς περὶ ὧν κατηχήθης λόγων τὴν ἀσφάλειαν.

Sasa Hiyi hapo Juu Inatamkwa Hivi..

1. Epeidēper polloi epecheirēsan anataksasthai diēgēsin peri tōn peplērophorēmenōn en hēmin pragmatōn,
2. kathōs paredosan hēmin hoi ap' archēs autoptai kai hypēretai genomenoi tou logou,
3. edoxe kamoi parēkolouthēkoti anōthen pasin akribōs kathexēs soi grapsai, kratiste Theophile,
4. hina epignōis peri hōn katēchēthēs logōn tēn asphaleian.

Luka 1:1-4 Kwa tafsiri za Kingereza na Kiswahili

[1]Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,

Forasmuch as many have taken in hand to set forth in order a declaration of those things which are most surely believed among us,
[2]kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,

Even as they delivered them unto us, which from the beginning were eyewitnesses, and ministers of the word;
[3]nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

It seemed good to me also, having had perfect understanding of all things from the very first, to write unto thee in order, most excellent Theophilus,
[4]upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.

That thou mightest know the certainty of those things, wherein thou hast been instructed.
Sasa tuje kwenye Analysis ya neno ἀνατάξασθαι "anataksasthai" au "Kutunga"
Ambalo umesema Linaweza kutumika kwa Muktadha tofauti..

sasa FYI neno hilo limetokana na kitenzi "ἀνατάσσω" (anatassō)..Ambacho kinamaanisha Kuunda, Kutengeneza, yaani reconstitute, Establish,Restore,Create,recreate au Put something in order...

Nadhani umenielewa..
mi nadhani ungekuja na hoja kuwa Kwanini Unasema kina uvuvio ukifata sheria za Canon
 
Even a Fabricated Story can Form Coherence Mkuu...
NA ndo maana kuna kipimo maalumu cha Kupima Story kabla ya kuiamini..

Kipindi Nilipokuwa nasoma Bible Textual Analysis sanaa sana kwenye OT [Old testaments] (Textual Critiq)

Kuna maandishi mengi yana Ideas Sawa na yana maana Sawa na Ni hadithi za zamani zimeandikwa na watu tofauti ila zinakosa ubora wa Kuwa Za ukweli na Walishindwa kuyaweka kwenye Biblia Kwa sababu kwanza ni uongo pili vinakosa Analytical Truth..

ntakuandikia kimoja kama sio viwili tu..
Uthibitishwaji wa Nyakati (Nyakati inapimwa kwa Vitu Vingi kama Lugha iliyotumika Muda huo, Aina ya Uandishi, Miji ya Mda huo Na hata majina ya Miji)..

Kwa mfano..

Baba Yako alikuandikia Barua ya maelezo kabla ya yeye Kufariki mwaka 2001 akakuambia..

"Mwanangu Nimekuachia Mali nyingi sana ila mali hizo niliamua Kuzigawa katika sehemu mbali mbali Zingine zipo Mkoa wa Manyara na zingine zipo Mkoa wa Geita Mwanangu tumia Hizo mali vizuri, Kwani ni mali pekee Zenye utajiri wa Nafsi kuliko Utawala wote wa Rais Obama"

ukiisoma Kwa haraka haraka Habari hii kwa mwaka 2012 mpaka mwaka 2024 Unaweza ukaona Ni sawa na haina Shida ila kama ukituma critical Thinking and analysis utaona shida nyingi sna..

Kwanza mwaka 2001 hakukuwa na Mkoa unaitwa Manyara wala Mkoa wa Geita na wala Mwaka 2001 hakukuwa na rais anaiyeitwa Obama..

So obvious its fabticated story iliyotungwa Kwenye miaka Ya 2010 mpaka mwaka 2018 hivi..

Kwahyo ulifanya Textual analysis ya Maandiko ndani ya Biblia Yanafail kuendana na authentification na Autharitative Regulation..

Umesema Luka Ilikuwa na Uvuvio wa Roho mtakatifu, samahani kwa kusema hivi "I doubt that"..

Luka(Alikuwa ni Daktari wa Binadamu) mwenyewe anasema Ukisoma Luka 1:1-4..

Kuwa ametafuta Kwa kufanya Research na kuuliza wazee walioishi miaka hiyo na baada ya kuwauliza akaandika.. kwahyo unamaanisha Research pia Zina uvuvio??

na Elewa neno alilotumia Luka Kutunga

Kutunga Ni kubuni Jambo ambalo hapo kabla halikuwepo.. (Kama BAKITA wanavyitafsiri)
View attachment 3042830
Heriel Mtibel ameandika Mada Chokonozi...!Anastahili Pongezi!

Lakini kuna kitu kimoja watu tunasahau...tunadhani Brain(UBONGO)unatusaidia kuliko Spiritual Mysteries!

Kina mambo ambayo ukibahatika kuyaona au kuya-Experince hautaweza kabisa kuyaezea kwa lugha yoyote!

Au unaweza kulia au kutetemeka kwa Hofu but huwezi kuezea..

ROHO ZOTE ZIMETOKA KWENYE ROHO MOJA KUU....NA MAARIFA YOTE YAKO KWENYE ROHO IYO KUU...LAKINI KWA KUWA Kila Mwanadamu anazaliwa with purpose,basi kila mtu anawaza kivyake in complement of the Master Soul!

So there is nothing new in this World but there is a wrong translation or poor understanding!
 
Nilikisoma aiseh!

Kumbe sayansi ya darasani ni uongo hata rotation of the earth!!

Kila kitu kinaongozwa na malaika!!

Noah alikua alibino !!!

Mambo ni mengi!!
Sayansi imejikita kwenye vitu ambavyo tunapata muktadha wake kupitia milango ya fahamu yaani macho, masikio, pua, ulimi na ngozi na kisha kutafsiriwa na ubongo.

Dini imejikita kwenye imani!

Chagua unachotaka
 
Hata earth rotations ni mguso unaoonekana sio!!?

Basi sawa!
 
Heriel Mtibel ameandika Mada Chokonozi...!Anastahili Pongezi!

Lakini kuna kitu kimoja watu tunasahau...tunadhani Brain(UBONGO)unatusaidia kuliko Spiritual Mysteries!

Kina mambo ambayo ukibahatika kuyaona au kuya-Experince hautaweza kabisa kuyaezea kwa lugha yoyote!

Au unaweza kulia au kutetemeka kwa Hofu but huwezi kuezea..

ROHO ZOTE ZIMETOKA KWENYE ROHO MOJA KUU....NA MAARIFA YOTE YAKO KWENYE ROHO IYO KUU...LAKINI KWA KUWA Kila Mwanadamu anazaliwa with purpose,basi kila mtu anawaza kivyake in complement of the Master Soul!

So there is nothing new in this World but there is a wrong translation or poor understanding!
Jibu Moja Zuri sana Mkuu!
Na Hiyo mimi Husema kila siku
 
Hizi Hekaya mnazitoa wapi.. Eti malaika wanaibiana wake!!
 
Book of Enoch ni sehemu ndogo tu ya Saga,
Hayo mambo yote Yamo katika Sumerian tablet
Kwa ujumla wake tunaiita
THE CHRONICLES OF ANNUNAK

Hapa utapata kwanini Dunia ina race kibao na ndipo utajua saga la kina Semyaza (Enlil) na Sayansi za juu za ku clone viumbe wa Dunia,Ujenzi wa Mapyramids kama Wireless Power plant na kuweka magnetic field za hali ya juu,
Masuala ya time travel yaani Haya majamaa yalikua hayatumii magari wala Ndege yalikua yana disappear na kutokea sehemu yanayotaka na ndio Maana hapa Duniani kuna maeneo yana mageti yanayodhaniwa yalikua ni spaceport kama huko Baalbek, Puma punku,China,India,Sri Lanka ,Peru inca mpaka Aztec na Mayan kote kuna sites zinazofanana
Kiufupi tukiwaletea Haya maswala hua mnaona chai na story za kahawa ila kwa mtafiti ukianza fuatilia sites za wanaodaiwa ni Miungu utabaki kushangaa tech yaliyotumia Haya majamaa
Imagine mawe yanachongwa na raser tool hiyo tech hatuna ila majamaa yalifanya!
Kawaida sana
 
Natamani unielewe na natamani tungeweza kuelewana vizuri..

Ok tuanze na Hoja iliyomezani halagu tuendelee..

So kama luka alisimuliwa na wewe unakiri kuwa alisimuliwa, kitabu cha luka moja kwa moja kinatakiwa kuwa nje ya Canon yaani vitabu vilivyovuviwa..

Accouding to cannonical criteterion luka Sio authentic wa Gospel wala Autheriatative wala sio Inspired so Tunakiondoa

Lengo langu si kukuonyeshw Contradiction Mkuu japo najua zipo..

Ila lengo langu ni kukuonyesha kama tulivyokuwa tunajenga hoja hapo mwanzo kuwa hata vitabu vilivyopo pia havina Uhalali wa kuwemo kama vile vingine walivyovitoa kwa vigezo hivyo hivyo tukitumia Kuna vitabu vinakosa uhalali (Kama unakumbuka)..

Gospel of Peter kiliondolewa kwa sababu Inasemekana hakikuandikwa na Peter mwenywe bali kiliandilwa na mwanafunzi wa Peter..

Unajua kwanini nilianza kukwambia kuhusu Sheria za Canon mwanzoni kabisa na nikakuambia kama una mwanga wa kuelewa kuzihusu?
kwa sababu nilitaka ujue kwanza sheria zipi zilzotumika kuondoa Vitabu vingine na kuhifadhi vingine kwnye biblia..Ili kupitia Sheria hizo ndo tujenge hoja kwa kitabu Kimoja kimoja..

Na ndo maana nikasema tukitumia sheria hizo hizo hata vitabu vilivyobaki bado Havikidhi Criteria za Canon..

Nani ana uhakika kama Luka alisimuliwa na Watu waliomuona Yesu?
Maana Luka alikuwa Daktari wa Paulo na sio mwanafunzi wa yesu Wala mwanafunzi wa Paulo..
Tujikite kwenye Hoja hizo za Kuangalia Canonical Figurative structure ya Biblia..

Kuna Apokripha..
Na kuna Pseudepigrapha (Vitabu ambavyo Vinajinasibu kwa kuandila Taarifa ambazo hazikuwahi kuona lakini kwa kutumia Nafsi ya kuona)
Luka na Marko ni miongoni mwa vitabu vinavyotakiwa kuwa Pseudo.. na kumbuka Pseudo zote ziliondolewa..

Ungetisha Zaidi kama ungeitetea Luka Kwa sheria Za Kicanon au sheria za Kivuvio lakini kwa maneno matupu hauwezi kuiondoa kwenye Kundi ya Vitabu vilivyotakiwa kuondolewa (Jiulize kama zamani kipindi wanapanga. Biblia wangetumia Maneno matupu Vitabu vingapi vingewekwa na vungapi vingeollondolewa)..
Kuhusu Neno Alilotumia Luka Kutunga...

Tulichambue..
Luka 1:1-4 Kwa lugha yake halisia yaani Kigiriki iliandikwa hivi..neno nilioliwekea maandishi mekundu ndo hilo Kutunga...

Luke 1:1-4 in Greek:

1. Ἐπειδήπερ πολλοὶ ἐπεχείρησαν ἀνατάξασθαι διήγησιν περὶ τῶν πεπληροφορημένων ἐν ἡμῖν πραγμάτων,
2. καθὼς παρέδοσαν ἡμῖν οἱ ἀπ' ἀρχῆς αὐτόπται καὶ ὑπηρέται γενόμενοι τοῦ λόγου,
3. ἔδοξε κἀμοὶ παρηκολουθηκότι ἄνωθεν πᾶσιν ἀκριβῶς καθεξῆς σοι γράψαι, κράτιστε Θεόφιλε,
4. ἵνα ἐπιγνῷς περὶ ὧν κατηχήθης λόγων τὴν ἀσφάλειαν.

Sasa Hiyi hapo Juu Inatamkwa Hivi..

1. Epeidēper polloi epecheirēsan anataksasthai diēgēsin peri tōn peplērophorēmenōn en hēmin pragmatōn,
2. kathōs paredosan hēmin hoi ap' archēs autoptai kai hypēretai genomenoi tou logou,
3. edoxe kamoi parēkolouthēkoti anōthen pasin akribōs kathexēs soi grapsai, kratiste Theophile,
4. hina epignōis peri hōn katēchēthēs logōn tēn asphaleian.

Luka 1:1-4 Kwa tafsiri za Kingereza na Kiswahili

[1]Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,

Forasmuch as many have taken in hand to set forth in order a declaration of those things which are most surely believed among us,
[2]kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,

Even as they delivered them unto us, which from the beginning were eyewitnesses, and ministers of the word;
[3]nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

It seemed good to me also, having had perfect understanding of all things from the very first, to write unto thee in order, most excellent Theophilus,
[4]upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.

That thou mightest know the certainty of those things, wherein thou hast been instructed.
Sasa tuje kwenye Analysis ya neno ἀνατάξασθαι "anataksasthai" au "Kutunga"
Ambalo umesema Linaweza kutumika kwa Muktadha tofauti..

sasa FYI neno hilo limetokana na kitenzi "ἀνατάσσω" (anatassō)..Ambacho kinamaanisha Kuunda, Kutengeneza, yaani reconstitute, Establish,Restore,Create,recreate au Put something in order...

Nadhani umenielewa..
mi nadhani ungekuja na hoja kuwa Kwanini Unasema kina uvuvio ukifata sheria za Canon
Kwanza nikupongeze kwa maelezo mazuri yaliyo detailed na researched. Pili, hongera kwa kutumia tafsiri ya kingereza ambayo kwa maoni yangu inatupa usahihi wa mstari huo Luka maana hapo imewekwa maana ambayo hisia za neno kutunga hazipo kabisa katika muktadha huo. Hivyo, kwakuwa biblia ya kiswahili imepata tafsiri kutoka ktk kingereza ni wazi sasa tukubaliane muktadha wa Kingereza ulikosa uhalisia katika tafsiri ya Kiswahili iliyowekwa na hawa watafsiri wa Bible Society wa Nairobi na DSM.
Turudi ktk muktadha wa Kiyunani hilo neno kutunga likirudi ktk muktadha wa kingereza Cha tafsiri uliyoiweka na pia likirudi ktk muktadha wa kiyunani hilo neno linakosa mashiko ya kutumika hapo.
FYI ktk biblia ya kiswahili siyo hilo tu, yapo mengi yanatumika ki kawaida tu lakini kwa mwanafunzi wa biblia anayejifunza lazima awe na merejeleo ya kumpa picha halisi ya mazingira na maneno ili kuweza kutafsiri kulingana na maana ghafi ya neno husika.
Hivyo, kama wakiaamua kufanya mrekebishonya lugha hilo neno kubuni halitotumika tena hapo. Maana kubuni Inaleta ukakasi kwa kuwa Luka hakutoa kichwani. Yeye alifanya utafiti kupata thabiti ya habari za Yesu kwa wale waliokuwa na Yesu. Na naamini kwa elimu yake hakutumia chanzo kimoja ili kufanya triangulation.
 
Vzuri kabisa..
Sasa swali ni Je Research ya Mtu inapaswa kuwa Kwenye Maandiko.Yenye Uvuvio Kulingana na Canonical Criterion??
 
Kwakuwa wewe na Mimi Sasa tumekubaliana kuwa Luka hakutunga, yaani aliwasilisha ripoti kutoka kwa watu waliyokuwa na Yesu. Na hilo neno kutunga limekaa kimakosa hapo na Luka anasema kisomi kabisa hapo kuwa hayo mambo yametimizwa kati yetu kwa tafsiri yangu ni kuwa yametendeka angali wakiwa hapo hapo ktk hiyo miji au kwa kuyaona au kusikia.
Sasa basi, tunaweza kusema Luka hakuwa na uvuvio wa Roho Mtakatifu lakini kitabu chake ni kweli na kimeandikwa kwa mtiririko mzuri zaidi kama ulivyotafsiri hapo kutoka ktk lugha ya asili kwamba put in order.
Sasa, hakuna na uvuvio lakini kaandika kitu Cha kweli alichosema au kutenda Yesu au kinachomhusu Yesu mi naona ni sawa kuwepo ktk biblia. Maana wakina Petro, Yohana na wengine waliokuwa na Yesu walikuwa sehemu ya utafiti wa Luka.
Hivyo waliiona maandiko ya Luka. Kungekuwa na shida wao nao wangepinga au kuandika ktk vitabu vyao. Haya ni mawaslzo yangu
 
Nilidhani mzungu ndo alipanga mambo ya tarehe week miezi .mwaka uwe na siku ngapi .kumbe ni Mungu mwenyewe bna.wazungu mafalla Tu kama sisi
 
Kwakuwa wewe na Mimi Sasa tumekubaliana kuwa Luka hakutunga, yaani aliwasilisha ripoti kutoka kwa watu waliyokuwa na Yesu. Na hilo neno kutunga limekaa kimakosa hapo na Luka anasema kisomi kabisa hapo kuwa hayo mambo yametimizwa kati yetu kwa tafsiri yangu ni kuwa yametendeka angali wakiwa hapo hapo ktk hiyo miji au kwa kuyaona au kusikia.
Sasa basi, tunaweza kusema Luka hakuwa na uvuvio wa Roho Mtakatifu lakini kitabu chake ni kweli na kimeandikwa kwa mtiririko mzuri zaidi kama ulivyotafsiri hapo kutoka ktk lugha ya asili kwamba put in order.
Sasa, hakuna na uvuvio lakini kaandika kitu Cha kweli alichosema au kutenda Yesu au kinachomhusu Yesu mi naona ni sawa kuwepo ktk biblia. Maana wakina Petro, Yohana na wengine waliokuwa na Yesu walikuwa sehemu ya utafiti wa Luka.
Hivyo waliiona maandiko ya Luka. Kungekuwa na shida wao nao wangepinga au kuandika ktk vitabu vyao. Haya ni mawaslzo yangu
Anhaa Sasa hapo Sasa Tumeelewana Na swali langu Linakuja Sasa!

Kulikuwa na Vitabu kama vya Luka na Marko zaidi ya 100 vilivyokuwa na katika Research Terms pengine Kuliko Hata cha Luka na Vingine vilikuwa na Miaka Mingine vikiwa karibu kabisa na Miaka aliyoishi Yesu..

Viliondolewa na havikuweza Kuingizwa kwenye Bi lia kwa kigezo Sio Eye witness kwahyo Sio Authentic na sio authoritative..
Kwahyo wakaviterm kama Pseudopigrapha (Sijui unajua maana yake??)...

So Luke is Not authorative of gospel kwa sababu alichokiandika hakukiona Not even Authentic kwa sababu Hana uhakika Ila anaimani kama Kilitukia..

Ni kama mimi leo hii nianze kuandika Kuhusu Yaliyotukia Vita vya maji maji kwa Kila steps Kwa kuwa tu nimesimuliwa na mababu Zangu Hadithi yangu italoose Authentification kwa sababu sikuona matukio hayo..

So hadithi yoyote itokanayo na kusikia ambayo hujaishuhdia Ni soga na Visakale..

Na Ndo maana Mahakami Ushahidi wowote ambao ni wa Kusikia "Hear say" huwa haujadiliwi na Wala hauchukuliwi

The gospels don't claim to be written by anybody. There is no claim "I, Mark, wrote this," unlike with other literature (like Paul's letters, where the author introduced himself as Paul).

Lets Say Kitabu cha Yohana ,John is an interesting case, and perhaps a candidate for pseudepigraphy.

John 21:24 reads, "This is the disciple who is testifying to these things and has written them, and we know that his testimony is true." So the author of this section, a different, anonymous person, is claiming that an unspecified portion of the texts was written by some other guy. That other guy is the "beloved disciple," who is never once named in the gospel.

But it gets trickier. If you look at the end of the previous chapter, it sure feels like the book ended there: "Now Jesus did many other signs in the presence of his disciples that are not written in this book. But these are written so that you may continue to believe that Jesus is the Messiah, the Son of God, and that through believing you may have life in his name" (20:30-31).

That sounds like a wrap. Scholars who have argued this are Charles Barrett (The Gospel according to St. John, 1978),

Raymond Brown (The Community of the Beloved Disciple, 1979),
Andrew Lincoln (The Gospel according to Saint John, 2005),
or Udo Schnell (Das Evangelium nach Johannes, 1998). So if that's the case (which I'm somewhat inclined to assume), then it could raise the question of whether the claim at the end of chapter 21 is talking about the whole book or just those post-resurrection events (it probably meant the whole book, but there's a chance). In either case, this means that, if chapter 21 was added later, then not even the original gospel claims to be from the beloved disciple, but the later author who wrote the last chapter made that claim.

So its on doubt that Hujui kuhusu Hili So we have come into Agreement that Gospel of Luke its Not eyewitness na Sio authentic na pia Sio authorative na pia sio Spirit inspired..

Sasa kama hivyo vitatu ndo vilizaa vigezo vile 21 au zaidi vya Canon Luke naondoa kwenye Vitabu vya canon..(So umeanza kubaliana na mimi kwamba kama wangefanya sasa Canonisation Luke wangeindoa)

So lets Discuss John au Yohana as Explained above...
 
So hapo unamaanisha time ya raisi ikipeleka matokeo ya utafiti kwa raisi hayawi sawa kwa sababu raisi hajaenda kushuhudia data zikikusanywa?
Mi naona hakuna matatizo ktk injili ya Luka kwa maana maandishi yake hayajapingana na ya wale walio eye witness huduma ya Yesu kwa miaka mitatu. Pia kumbuka Yesu huduma yake ilikuwa ni fupi sana. Yaani miaka mitatu tu. Hivyo watu wengi walikuwa hai wakati wa uandishi wake. Pia, taarifa za Luka zimeshahabiana na taarifa au maandiko mengine. Hakutoa kitu kipya Wala hakuandika kwa tafsiri yake kama Paulo, Petro na wengine yeye alitengeneza order of Jesus'events basi. Hana mafunuo Wala tafsiri. Ni kama wewe uende kwa mama Maria Nyerere akupe story iliyonyooka ya mumewe. Sasa tutakataaje wakati kuna vyanzonvingine vinashahabiana na andiko lako
 
Hata earth rotations ni mguso unaoonekana sio!!?

Basi sawa!
Ndiyo mkuu.

Kupitia mzunguko wa siku yaani usiku na mchana.

Ingawa wanasayansi pia wamefanikiwa kuvumbua vifaa vingi vya kuongezea makali ya viungo vyetu vya fahamu hivyo hatutegemei macho, masikio, pua, ulimi na ngozi pekee katika kutambua vitu kama mzunguko wa dunia, nguvu ya uvutano n k, n k.
 
Wewe ulishawahi kuiona Dunia ikizunguka?
 
So hapo unamaanisha time ya raisi ikipeleka matokeo ya utafiti kwa raisi hayawi sawa kwa sababu raisi hajaenda kushuhudia data zikikusanywa?
Mi naona hakuna matatizo ktk injili ya Luka kwa maana maandishi yake hayajapingana na ya wale walio eye witness huduma ya Yesu kwa miaka mitatu. Pia kumbuka Yesu huduma yake ilikuwa ni fupi sana. Yaani miaka mitatu tu. Hivyo watu wengi walikuwa hai wakati wa uandishi wake. Pia, taarifa za Luka zimeshahabiana na taarifa au maandiko mengine. Hakutoa kitu kipya Wala hakuandika kwa tafsiri yake kama Paulo, Petro na wengine yeye alitengeneza order of Jesus'events basi. Hana mafunuo Wala tafsiri. Ni kama wewe uende kwa mama Maria Nyerere akupe story iliyonyooka ya mumewe. Sasa tutakataaje wakati kuna vyanzonvingine vinashahabiana na andiko lako
Umeona Sababu ya Mimi Kuuliza yale maswali mwanzoni kabisa???

Because you are Lack basic Knowledge on the Gospel Especially The Synoptic ones and how They have Become Synoptic..

Unashindwa kujua Huo mfanano wa Gospel (Synoptic) umetokana na Q Sources na mark sources?? Na wala sio Reseach alizofanya Dr Luka...?

Nenda kasome Why Gospel Ziko synoptic na kwanini zina mfanano huo na Kasome uchambuzi kuhusu Q sources na Mark sources au Kasome kitu kinaitwa Two sources Hypothesis

images (1).png
images (5).jpeg

Hakuna Kitabu chochote cha Kwenye Injili kilichoandikwa na Eye witness hata Mmoja..

kwani mark Hakuwah kuwa Mwanafunzi wa Yesu na Ndyo sources ya Maandiko Yote Yalioamdikwa kwenye Mathayo na Luka na Q (ambayo mpaka Leo haifahamiki iliandikwa na nani) hii ndiyo Luka alikopi Gospel kutkea humo wakati mathayo naye alikopy kutoka Humo Q sources na Mark sources...

Sasa huo uhalali Wa kusema Ina mamlaka unatoka wapi????

Tuachane na hayo nimeona umesema Kipindi Injili ya Luka inandikwa Miaka Michache baada ya kifo cha yesu..

it Seems Unahitaji Kusoma Churches History pia..
HaKuna Kitabu Wala Injili iliyoandikwa wala Kutangazwa public Mpaka Mwaka 70 A.D Kwenye Matukio Tunayoweza kuita Yerusalem war Au Jewz war..

Baada ya Kuanguka kwa Hekalu mwaka 70 AD Au kwa Lugha nyepesi Chukizo la Uharibifu hapo ndiyo Rasmi watu wakaanza kuandika Historia kuhusu Injili na mambo yaliyotukia ikiwa ni miaka 40s Baada ya kifo cha Yesu..

Injili ys Luka imeandikwa Baada ya Paulo kuandika Nyaraka zake zote maana inakadiriwa kuandikwa kati ys Mwaka 90s mpaka 100s A.D..Ambayo ni sawa na miaka 60 mpaka 70 baada ya Kifo cha Yesu..

Sasa tuache hayo maana utajudge mwenywe Kuwa Atokee Mtu sasa Hivi aanze Kukusanya Hadithi kuhusu Kinjikile Ngwale kutoka kwa Wazee halafu atangaze kuwa Hadithi yake iko sahihi kwa 100% ..Huyo nitamuona Ni muongo tu hata kama kuna matukio atapatia kwa 50%...

Unafahamu Kuhusu Baadhi ya Apokrifa???
Zinaeleza Vingi vinavyoshabihika Na misemo na Hata maisha ya Yesu kwanini havikuwekwa kwenye Biblia? Kama Injili maarufu za Injili ya Barnabas, Injili ya Petro, Injili ya Filipo, Injiliya Thomas, Na injili ya Maria magdalena??

Kama utakuwa na Hoja zaidi niambie
 
Back
Top Bottom