Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kadri utakavyozungumzia mauaji hayo na kumsumbua ndivyo watu watataka kujua ukweli. Na italazimika kutafuta wapelelezi wa kimataifa
 
Hata kama Magufuli alikuwa mkatili kiasi gani. Hili la kumpiga Risasi ya kichwa Ben saa nane yeye mwenyewe kwa mikono yake Tena ndani ya ikulu huu ni Uzushi wa kiwango cha juu sana ulioandikwa na huyu mwandishi.
 
Unakatwa na Biden.

Huyo Kabendeta unayetaka kumuita si mlimfunga kwa roho mbsya mpaka mama yake akafariki?
Wewe unafikiri bado yupo nchini?
 
Kimechapishwa na nani?
 

Mpaka kimetoka means kishapita sehemu zote

Na kimekaguliwa vizuri Tu

Kungekuwa kuna dosari au shida then wangekizuia mapema sana
 
Ikiwa ww utampeleka mahakamani kuwa kaandika uongo,ww ndo utapaswa kuthibitisha kuwa alichoandika ni uongo!
Siwezi kumpeleka mahakamani Mimi. Bali serikali itamtaka athibitishe alichokiandika Magufuli hakuwa mtu binafsi alikua kiongozi wa umma Tena Rais wa nchi na ametuhumiwa hayo akiwa ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…