Malizia mhutu wa BurundiMagufuli mwenyewe alikuwa Mhutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia mhutu wa BurundiMagufuli mwenyewe alikuwa Mhutu
Wale wote waliotuhumiwa kuwa sio raia wachunguzwe akiwemo Magufuli, kwa sababu Tanzania hatuna tabia ya kuuana.Huyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Wapumbavu kama nyie, majizi na msio wazalendo kwa nchi, yule jamaa aliwakomesha!Ebu uwe na akili kidogo wewe, aliandika Magufuli ni Dinosaurs of Africa, akakamatwa na kuwekwa gerezani hadi alipotolewa kwa Plea deal ya mamilioni. Amekufa huyo muuaji, sasa ndiyo wakati muafaka wa kuandika kitabu. Wewe umeweza kuandika chochote wewe paka?
Usiseme upuuzi, maana kuna maraisi wengi walifanya hivyo.Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Ulishawahi kusoma kitabu cha alfu lela ulela? Kuna haduthi ya ndoto za Alinacha.Hapa kama mimi ningekuwa mtoto wa yule mwendazake.............huyu kabendera angejua kwanini ni hatari kucheza na maisha ya mtu hata kama kafa................hiyo picha ingemghalimu sana.........fidia ambayo ningeitaka asingeweza kuilipa labda kama angekuwa na basha kama Elon musk
Nchi hii!Waulize kwa chadema, yale yote waliyokuwa wanamsingizia JPM wameshajua mhusika mkuu
Sawa kabisa yule dhalim alikuwa Mhutu wa Burundi sisi Wasukuma hatu roho za kikatili vile.Malizia mhutu wa Burundi
Ushauri mzuriHiyo picha aliyotumia kuiweka kwenye kitabu chake cha kishenzi mbona JPM alienda mwenyewe kwenye mamlaka inahusika na uhakiki wa silaha tena hadharani. Kwanini aitumia kutoa tuhuma hizo halafu aachwe tu bila kuthibitisha kwamba JPM alimpiga risasi BenSaa8?
Familia ya Magufuli wasijihusishe kulumbana na huyo mwandishi Mkenya/Mganda ila wananchi walioguswa na tuhuma hizo ndio wafungue kesi wamtake athibishe mahakamani kwa ushahidi na mashahidi halisi walioshuhudia mauwaji hayo.
Badala ya kuushambulia utawala uliopo kwa kukithiri uvunjifu wa haki za biandamu kutwa kuchwa JPM!!!
Maraisi wengi ni hao unaowajua wewe na ushahidi labda unao.Usiseme upuuzi, maana kuna maraisi wengi walifanya hivyo.
Huna hoja siyo sababu ya kusema Magufuli alimpiga ben Risasi ya kichwaSasa vyombo vyake vya uchunguzi toka mwaka 2016 vimetoa majibu gani kuhusu kupotea kwa Ben Saanane?
Nani alimshambulia Lissu? Kwa nini hakuna aliyekamatwa toka 2017?
Ukishindwa kutuonyesha majibu ya vyombo vya dola kwa haya machache jipige ngumi kifuani sema " mimi ni juha na chawa wa muuaji Magufuli "
Kwamba unajitoa ufahamu hiyo picha hujui alipelekwa silaha yake kufanyiwa ukaguzi.Ushahidi gani unahitaji! Rais mzima anatembea na pistol kiunoni, huoni ni ajabu!
Swala siokupotea ndugu,naongelea udhibitisho wa taarifa mtu anayotoa kuhusianana tukio la mtu kupotea.Angepotea ndugu yako ungeita upuuzi?.
Mkuu, soma historia, makabila ya mipakani yalitenganishwa na mipaka ya wazungu wakati wa Berlin Conference 1885/86. Kasilazini na Magharibi ya Tanzania walijkuta nchi nyingine baada ya Waingereza kuigawa sehemu ya German Ost Africa ya Urundi na Rwanda na kuwapa Wabelgiji baada ya WW1.Huyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Hahahahaha mbavu zangu mie jamani hili ni doa kubwa,ushauri wako ni wa maana saana vyombo vya dola inabidi vitoe ufafanuzi unaoeleweka haswaaa!! Hata hivyo kuzembea kwa vyombo vya dola kutotoa taarifa za watu wanaopotea na kuuawa kutaleta taharuki zaidi huko mbeleniKuzithibitisha atakwambia mlete Magufuli tumhoji, utaweza kumleta? Kama kweli hilo halikutokea basi serikali ikanushe kwa kutoa reasons ambazo ni reasonable hata mjinga akizisikia done zinafanana na ukweli. Ikinyamaza itakuwa ime endorse hizo allegations.
Kabisa wasukuma ni wakarimu mnoSawa kabisa yule dhalim alikuwa Mhutu wa Burundi sisi Wasukuma hatu roho za kikatili vile.
Kwani uongo yaliyoandikwa hapo? Unadhani wengine tulikuwa tunampinga magufuli kwa sababu gani? Ni ukatili wake na roho mbaya full stopHuyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Kama hajampiga risasi ya kichwa where au what happened to him? Kabendera amefanya utafiti wake kagundua kapigwa risasi ya kichwa na Magufuli, wewe usiyekubali tuambie nini kilichotokea na yuko wapi, kulia lia humu jukwaani haisaidiiHuna hoja siyo sababu ya kusema Magufuli alimpiga ben Risasi ya kichwa
Hapo ni ofisini kwa Siro?Kwamba unajitoa ufahamu hiyo picha hujui alipelekwa silaha yake kufanyiwa ukaguzi.