Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Wapumbavu kama nyie, majizi na msio wazalendo kwa nchi, yule jamaa aliwakomesha!

Na unadhani JPM akiandikwa hivyo ilihali hayupo, wewe ikupe faida gani nyau wewe
 
Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Usiseme upuuzi, maana kuna maraisi wengi walifanya hivyo.
 
Ulishawahi kusoma kitabu cha alfu lela ulela? Kuna haduthi ya ndoto za Alinacha.
Huyu alikuwa anafanya biashara ya chupa, alikuwa anaota kupata faida na kuwa tajiri hadi kumuoa bimti mfalme
 
Ushauri mzuri
 
Huna hoja siyo sababu ya kusema Magufuli alimpiga ben Risasi ya kichwa
 
Kabendela ni mwandishi mchunguzi wa habari na katika hili kasema kulingana na vyanzo vya serikali na nje ya serikali amejilizisha kuwa Ben alipigwa risasi ya kichwa kwa hiyo huenda huyu jamaa alikuwa na ushahidi
 
Angepotea ndugu yako ungeita upuuzi?.
Swala siokupotea ndugu,naongelea udhibitisho wa taarifa mtu anayotoa kuhusianana tukio la mtu kupotea.

Ukisema mtuflani anahusika kumuua ama kumpoteza mtu flani sio jambo lakiningajinga,inabidi udhibitishe ilikusaidia uchunguzi.

Sasauyo kama ameandika kitabu kabisa maanayake kunakituanachokijua.

Familia isimpuuze maana watakao soma hichokitabu kamakipo then watajua nikweli, apelekwe mahakamani Ili adhibitishe.




Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Mkuu, soma historia, makabila ya mipakani yalitenganishwa na mipaka ya wazungu wakati wa Berlin Conference 1885/86. Kasilazini na Magharibi ya Tanzania walijkuta nchi nyingine baada ya Waingereza kuigawa sehemu ya German Ost Africa ya Urundi na Rwanda na kuwapa Wabelgiji baada ya WW1.

Vv
 
Hahahahaha mbavu zangu mie jamani hili ni doa kubwa,ushauri wako ni wa maana saana vyombo vya dola inabidi vitoe ufafanuzi unaoeleweka haswaaa!! Hata hivyo kuzembea kwa vyombo vya dola kutotoa taarifa za watu wanaopotea na kuuawa kutaleta taharuki zaidi huko mbeleni
 
Kwani uongo yaliyoandikwa hapo? Unadhani wengine tulikuwa tunampinga magufuli kwa sababu gani? Ni ukatili wake na roho mbaya full stop
 
Huna hoja siyo sababu ya kusema Magufuli alimpiga ben Risasi ya kichwa
Kama hajampiga risasi ya kichwa where au what happened to him? Kabendera amefanya utafiti wake kagundua kapigwa risasi ya kichwa na Magufuli, wewe usiyekubali tuambie nini kilichotokea na yuko wapi, kulia lia humu jukwaani haisaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…