Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Sijaelewa. Kuwa kama siyo rais wa kwanza basi ni jambo la haki?
 

Itakuwa team mwamba wewe, aina za kina Nyanye Go na wenzake.

Bila shaka humo huyo gwiji wenu hajafagiliwa.

Si Bure!
 
Mpaka anaandika ushahidi anao na ana uhakika na alichoandika .
 
Kwanini kifungiwe wakati kinaeleza ukweli.
 
Usijali. Kwani kitabu Cha akina Absalom Kibanda, Neville Meena na Deodatus Balile unakiona au kukisikia mtaani? Wapo wanaugulia maumivu ya hasara waliyopata!
 
Comrade unaonekana umepaniki sana.
 
Hapa kama mimi ningekuwa mtoto wa yule mwendazake.............huyu kabendera angejua kwanini ni hatari kucheza na maisha ya mtu hata kama kafa................hiyo picha ingemghalimu sana.........fidia ambayo ningeitaka asingeweza kuilipa labda kama angekuwa na basha kama Elon musk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…