Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #21
Mpuuzi sanaNaunga mkono.
Jamaa kuandika ujinga wa hali ya juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi sanaNaunga mkono.
Jamaa kuandika ujinga wa hali ya juu.
Waongee yaliyo ya kweli siyo uzushi. Magufuli amwite ikulu halafu ampige Risasi unaamini hilo?Tulizeni vijambio hivyo watu wafunguke,mnakimbilia sana kuwafunga watu midomo wasiongee
Sijaelewa. Kuwa kama siyo rais wa kwanza basi ni jambo la haki?..kama madai kuwa Magufuli alimshoot Ben Saanane ni ya kweli, Magufuli hatokuwa Raisi wa kwanza dunia hii kuua mtu.
..Jambo la msingi ni UKWELI ujulikane ni nani amemuua Ben Saanane.
..Haiwezekani taifa zima tubebe mzigo wa dhambi ya mauaji yake.
..Nchi hii ni kubwa kuliko Magufuli, au yeyote yule.
Magufuli mwenyewe alikuwa MhutuHuyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.View attachment 3190238View attachment 3190239
Soma Tena utanielewa " Between the lines"Moyo wa mtu unahusika na Uraia ?
Hakuna kisichowezekana chini ya jua.Waongee yaliyo ya kweli siyo uzushi. Magufuli amwite ikulu halafu ampige Risasi unaamini hilo?
Mpaka anaandika ushahidi anao na ana uhakika na alichoandika .Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.View attachment 3190238View attachment 3190239
EvidenceHakuna kisichowezekana chini ya jua.
KaSome alichoandika..kaandika ujinga kivipi?
Amesema chanzo ni kutoka kwa top government officials na opposition leaders, nadhani anaweza kuthibitisha hilo kwa vyombo husika. Serikali ikimnyamazia basi Wananchi tutajua imemtuma achapishe hicho kitabu.Mpaka anaandika ushahidi anao na ana uhakika na alichoandika .
Kwanini kifungiwe wakati kinaeleza ukweli.Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Usijali. Kwani kitabu Cha akina Absalom Kibanda, Neville Meena na Deodatus Balile unakiona au kukisikia mtaani? Wapo wanaugulia maumivu ya hasara waliyopata!Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Comrade unaonekana umepaniki sana.Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.