jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Cheki mshikaji huyo anatoka gerezank baada ya kutumikia miaka 22 kwa kosa ambalo hakufanya.Ushamba ni kipaji cha Watanzania wengi mtu akitoka jela unadhani ataonekana vip..
Naona Mmechanganyikiwa Mtasema Kila Kitu.Oh Kumbe. Wamefanana na akina Haniya na Nasrala wale wa Hamas.
Jela wanasukana wanaume kwa wanaume?Kama jela wanasuka dread sawa
Kwa nini wakili wake hakuwa anampelekea Gillette?Huyo Jamaa alikuwa mahabusu, na hapo alikuwa anaongea na watu baada ya kutoka mahabusu, unamuona wakili wake pembeni.
Mkuu Hongera Sana.
Hahaha wewe unayafahamu masharti ya mahabusu Tanzania hii au unaongea tu?Kwa nini wakili wake hakuwa anampelekea Gillette?
Ni ngumu mkuu kufananisha jela za wenzetu na jela za Afrika wewe ni msafiri hivi vitu waandike ambao hawajasafiri na hawajui kitu ila sio wewe mtaalamu wangu bhana..Cheki mshikaji huyo anatoka gerezank baada ya kutumikia miaka 22 kwa kosa ambalo hakufanya.
View attachment 3191013
Wewe ni falaView attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Weka na ya kwako tulinganishe. Kilichomo kichwani hakionekani kwa macho ya wabeba makasha ughaibuniView attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Kwa hiyo Ushahidi wewe ndo unao kuwa hakuuawa na Magufuli??Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Ebanaeee thibitishaHahahaa!
Rais alitaka kumbaka makamu wake wa Rais!
Who believes this crap?
Ebanaeee chivundu hii thibitishaYani Magufuli abake mtu mzima kama Samia? That case is beyond hatred. Out of all girls aliokuwa na access nao achague kubaka mtu mzima.