Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Ushamba ni kipaji cha Watanzania wengi mtu akitoka jela unadhani ataonekana vip..
Cheki mshikaji huyo anatoka gerezank baada ya kutumikia miaka 22 kwa kosa ambalo hakufanya.

IMG_7397.jpeg
 
Kwa nini wakili wake hakuwa anampelekea Gillette?
Hahaha wewe unayafahamu masharti ya mahabusu Tanzania hii au unaongea tu?

Chakula chenyewe unaweza kupeleka na asipewe, unaambiwa kiweke hapo atapewa, au unaweza ambiwa kifunguwe kikaguliwe unaweza utawanya ugali mpaka ukakutia kinyaa, sasa hicho kitoweo unaweza ambiwa mwaga mchuzi tuone huko chini kuna nini, yote hayo wao wanaita ni utaratibu wa kawaida, kuwalinda mahabusu wasipewe sumu, au vyakula visivyo faa.

Halafu wewe unaongelea gillette, wembe hata topaz huruhusiwi kuwa nayo mahabusu, hiyo ni kwa usalama wako na mahabusu wengine.
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Weka na ya kwako tulinganishe. Kilichomo kichwani hakionekani kwa macho ya wabeba makasha ughaibuni
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Kwa hiyo Ushahidi wewe ndo unao kuwa hakuuawa na Magufuli??
 
Back
Top Bottom