Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Deluded pal !View attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Mgonjwa wa akili kabisa.....His face look like crazy man
Kabisa na kuna watu wanamuunga mkono. ..imenishangaza sanaHuyo pumbavu amehakikisha amepata uraia wa UK kabla ya ku release haya matapu tapu yake. A book with full of fallacy stories.
Mkuu,Hii si baada ya kutoka jela,
Kaguswa mungu wenu wa chato naona mmechachamaa wasukuma
Nyie nao kama wehu,mnasema hzi mahakama hazitendi haki …then hii nshu ya magu mnasema nendeni mahakamani….Then what?! Kwq akil ya kawaida tu rais aende nyumbani kwa makamu wake ili aka mbake?!???Nendeni mahakamani mkavuliwe nguo , hakuna mwenye uthubutu Tanzania hii wa kupeleka kesi mahakamani.....Huko serikalini wanachekecha namna ya kumteka
Kwa alimbaka au hakumbaka?Kabisa na kuna watu wanamuunga mkono. ..imenishangaza sana
Kwa hio alimbaka?Nyie nao kama wehu,mnasema hzi mahakama hazitendi haki …then hii nshu ya magu mnasema nendeni mahakamani….Then what?! Kwq akil ya kawaida tu rais aende nyumbani kwa makamu wake ili akambake?!???
Fala babako na mamako.Wewe ni fala
Take your own advice, bitch.Mwaka huu tumekataa kufuatilia maisha ya watu, mind your business
Dah! Sijui nikusubiri hapa FukayosiNarudi kesho Dar mkuu, kama upo njia ya bagamoyo nikupitishie japo bohora moja unywe mbege
Weka na ya kwako tulinganishe. Kilichomo kichwani hakionekani kwa macho ya wabeba makasha ughaibuni
Kama judicial commission haitaundwa kuchunguza enforced didappearances za akina saa 8,, Azory, Kanguye etc., story ya Kabendera itakuwa ya kweli...Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.
Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.
Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.
Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.
Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.
Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.
Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.
Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Kwa hakumbaka au alimbaka?Labda alifukuza walinzi ili akabake 😹
Kuna vitu vinachekesha sana, sema jiwe alikuwa jiwe kweri kweri hashindwi..!!
Ndiyo shetani yuleIla kumchafua ndo kunasaidia eh?
Kwa hio na nyinyi mnasema alikabwa au alibakwa? ProveHili la kubaka si vyema kuliandika.
Ila suala linalohusu uhai wa Ben Saanane ni bora likawekwa wazi kabisa.
View attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Kwa nini unawachukia Wasukuma?Yaani wewe huyo msukuma mwenzako kutajwa katika maovu imekuuma sana, mbona uwa unanzishaga thread za kumpaka choo Mama Samia hapa ila watu hawatoi povu, kila muda unaanzisha thread, unafikiri watu wote tulikua tunamkubali huyo mwendazake?
Samia anakandiwa kila siku hapa, mbona uwa haikuumi?
Kama unampenda sana mfate kule chato alipolala basi, si yuko chato pale kalala nenda, tena kajenga uwanja wa ndege mkubwa pale, unapanda tu ATCL
Kwani iyo Ikulu yeye ndio wa kwanza kuikalia? Mbona mzee wetu kikwete asakamwi? Mwinyi, mkapa na nyerere?
Huyo mtu wako kama ana mazuri atazungumziwa kwa mazuri yake na kama alifanya mabaya acha watu wazumgumze ya moyoni
Yule mwendawazimu alikuwa na uwezo wa kunyang'anya hata bastola ya maafisa usalama wake na kuitumia kuua. Yule alikuwa kichaa kweli kweli.Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru
Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao
Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege
Mlale unono😀
Argue against the content,not personality!!!View attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
Acha shobo utabakwa wew.Kwa hio alimbaka?