Yaani wewe huyo msukuma mwenzako kutajwa katika maovu imekuuma sana, mbona uwa unanzishaga thread za kumpaka choo Mama Samia hapa ila watu hawatoi povu, kila muda unaanzisha thread, unafikiri watu wote tulikua tunamkubali huyo mwendazake?
Samia anakandiwa kila siku hapa, mbona uwa haikuumi?
Kama unampenda sana mfate kule chato alipolala basi, si yuko chato pale kalala nenda, tena kajenga uwanja wa ndege mkubwa pale, unapanda tu ATCL
Kwani iyo Ikulu yeye ndio wa kwanza kuikalia? Mbona mzee wetu kikwete asakamwi? Mwinyi, mkapa na nyerere?
Huyo mtu wako kama ana mazuri atazungumziwa kwa mazuri yake na kama alifanya mabaya acha watu wazumgumze ya moyoni