Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kulikuwa na watoto kama kina Jocate that one i would buy ila sio mama mtu mzima🤣
 
Soma kitabu chote ...na wewe usianzishe thread Kwa hisia...soma kitabu...
 
Wengi humu nadhan hamkusoma machapisho ya Ben juu ya tuhuma za PhD..Yale maandishi hata ingekuwa wewe ungenyonga mtu hadharani...
 

Huenda alivyomkosa alimwambia...."hiiii ng'wanawane Bahati yako"
 
Wauaji wakubwa nyie. Wamefungua macho mangapi!?
Hao wauaji wenzie wanalalamika, hivi hawa wanaomsapoti Magufuli wanamwelewa jinsi alivyo? Historia ya MAGUFULI inajulikana tangu alivyokuwa seminari, kila anapokwenda anafukuzwa shule, waalimu wameeleza vizuri, jamaa alikuwa anavuta bangi sana, ninyi mnaomtetea Magufuli, je hakuvunja dirisha la bweni lake? Hakusema mwenyewe? Mtu mwenye akili timamu anaweza kuvunja dirisha ambalo linamsitiri na baridi, mbu,nyoka etc? Kuna mambo aliyoyafanya kwenye familia yake, ni madai mazito, alivyokufa wamama wa karibu hawakumwambia mkewe kuwa sasa utapumzika, mtu anapiga mkewe kama anapigana ndondi, vipi kuhusu kipigo alichompiga bintiye hadi umauti ukamkuta? Kuna mambo mengi sana kwenye kitabu kimeelezwa na hao waliotoa habari walikuwa wanahusika au waliomsaidia, they felt guilty na wakashindwa kuweka vitu vifuani. Hakuna siri hata ya mtu mmoja, waliomteka Ben Saanane na kumpeleka Ikulu walikuwa zaidi ya wanne, hapo siri haivuji? Watu walijuaje kwamba Ben Saanane alishauawa? Habari zinavuja, hakuna siri humu duniani hata utakalofanya mwenyewe utavujisha siku moja ukilewa au ukivuta bangi kama Magufuli. Huyu Kabendera kama mwandishi wa habari haikuwa mara ya kwanza kuongea na Magufuli, hao wanaobisha wamefanya utafiti wapi? Wameongea na Magufuli lini na wapi? Au ni ushabiki wa Simba na Yanga.
Huyu Magufuli hakusema kuna watu wanamshangilia Lowassa wakati tu Magufuli alivyopitishwa kwa nguvu na Kikwete na CCM, kabla hajawa alisema wanafaa kupotezwa....JE kilichofuata ni nini?....Watu hawakuanza kupotea? Baada ya kusema kuwa watu wanaohoji serikali "they won't need to survive" kitu gani kilitokea kwa Lissu? Akina Roma mkatoliki na wengine walitekwa kwa sababu gani? Ebu fungueni macho watanzania, bado mnashangilia Makonda ataendelea kuwamaliza ninyi maana watanzania ni kama nyumbu. Baadhi yetu wana uelewa mdogo sana.
 
Wao ndo walimchangia gharama za uchapishaji?
 
Nchi haiishi kwa kanuni bali kila nchi ina katiba yake. Na kama rais anatembea na bastola isiyo hai yaani mfano wa toy basi rais huyo ni chizi.
 
Mbona sasa povu linakutoka,vp mauwaji Yale ulifaidika nayo Nini.

Kaa kwa kutulia,uzuri yeye ndo mhanga wa hayo yote.
Tuliwaambia,mda ni mwalimu mzuri wapuuzi nyie.

Na vp tuhuma alizokuwa anatuhumiwa na nyie vilaza wa Serikalini matokeo yaliendaje.

Usikariri,kaa ukijua nyakati na mazingira Huwa vinabadirika.
Hivyo,ni budi mbadirika wajinga nyi
 
Kama analindwa anapewaje bastola?
Na kwa ubabe wake tungejuaje kama bastola yake haikubeba risasi?
 

Attachments

  • images (11).jpeg
    52.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…