Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndio na chiba.Mnachojua wewe na nani? Chiba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio na chiba.Mnachojua wewe na nani? Chiba?
Baaaasi nilikua natafuta comment kama hii kiukweli haya mambo yanayotokea yamepangwa vizuri kabisa ili kufifisha mambo fulani na watu wamejaaAcheni kututoa kwenye mjadala wa kitaifa...
21st January.
Hizi nonsense nendeni nazo huko vijiweni. Matako yenu
HeeHee Kabendera amezua balaa,So Magu alitaka mzigo kumbe😂😂
Kwani mbege si pombe? Tena pombe chafu iliyotokana na ndizi iliyoozaUsifananishe mbege na mambo yenu ya kijinga!!
kutwa kuchwa mnajadili kitu hicho hicho.
Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;
Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?
Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
Hao wauaji wenzie wanalalamika, hivi hawa wanaomsapoti Magufuli wanamwelewa jinsi alivyo? Historia ya MAGUFULI inajulikana tangu alivyokuwa seminari, kila anapokwenda anafukuzwa shule, waalimu wameeleza vizuri, jamaa alikuwa anavuta bangi sana, ninyi mnaomtetea Magufuli, je hakuvunja dirisha la bweni lake? Hakusema mwenyewe? Mtu mwenye akili timamu anaweza kuvunja dirisha ambalo linamsitiri na baridi, mbu,nyoka etc? Kuna mambo aliyoyafanya kwenye familia yake, ni madai mazito, alivyokufa wamama wa karibu hawakumwambia mkewe kuwa sasa utapumzika, mtu anapiga mkewe kama anapigana ndondi, vipi kuhusu kipigo alichompiga bintiye hadi umauti ukamkuta? Kuna mambo mengi sana kwenye kitabu kimeelezwa na hao waliotoa habari walikuwa wanahusika au waliomsaidia, they felt guilty na wakashindwa kuweka vitu vifuani. Hakuna siri hata ya mtu mmoja, waliomteka Ben Saanane na kumpeleka Ikulu walikuwa zaidi ya wanne, hapo siri haivuji? Watu walijuaje kwamba Ben Saanane alishauawa? Habari zinavuja, hakuna siri humu duniani hata utakalofanya mwenyewe utavujisha siku moja ukilewa au ukivuta bangi kama Magufuli. Huyu Kabendera kama mwandishi wa habari haikuwa mara ya kwanza kuongea na Magufuli, hao wanaobisha wamefanya utafiti wapi? Wameongea na Magufuli lini na wapi? Au ni ushabiki wa Simba na Yanga.Wauaji wakubwa nyie. Wamefungua macho mangapi!?
Wao ndo walimchangia gharama za uchapishaji?Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Nchi haiishi kwa kanuni bali kila nchi ina katiba yake. Na kama rais anatembea na bastola isiyo hai yaani mfano wa toy basi rais huyo ni chizi.Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru
Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao
Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege
Mlale unono😀
Inasikitisha sana wamezoea hao Idi Amini ni hivo Hittler ni hivo sijui tufanye nini??Inasikitisha Sana kumuongelea marehemu ambaye hawezi kujitetea
Pole sana 😄😄Nchi haiishi kwa kanuni bali kila nchi ina katiba yake. Na kama rais anatembea na bastola isiyo hai yaani mfano wa toy basi rais huyo ni chizi.
Huo uchaguzi ushaisha na mwamba atawavusha tenaAcheni kututoa kwenye mjadala wa kitaifa...
21st January.
Hizi nonsense nendeni nazo huko vijiweni. Matako yenu
Alikuwa anazimiliki Toka akiwa waziriKama analindwa anapewaje bastola?
Na kwa ubabe wake tungejuaje kama bastola yake haikubeba risasi?