Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Mwandishi ni mrundi..



...Ni hayo tu.
 
Kuwa na tabia ya kuvumilia ukweli. Huwezi kupata ushahidi wa tuhuma hizo kwa kutumia vyombo vya humu ndani, maana wao ndio sehemu ya watu wasiojulikana.
 
Mpaka mtu anatoa kitabu kaj
..vyombo husika vifanye UCHUNGUZI.

..UKWELI kuhusu nani amemuua Ben Saanane ujulikane.
Atathibitisha huyo kabendera
Mmmm
 
Kuwa na tabia ya kuvumilia ukweli. Huwezi kupata ushahidi wa tuhuma hizo kwa kutumia vyombo vya humu ndani, maana wao ndio sehemu ya watu wasiojulikana.
Sasa kama Hana ushahidi kwanini achapishe Tuhuma nzito namna hiyo? Unajua kitabu kitasomwa na vizazi vingapi vya nchi hii?
 
Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Mkuu, wapi imeandikwa alimwita? Hebu rudia kusoma. Kama hujaelewa, epuka kupotosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…