Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He was taken to state house where a president who always carried a gun "Personally" Shot him in the Head.Unajua kusoma kiingereza kwa ufahasa? Ni wapi aliposema alimwita Ikulu? Huoni kuwa anasema alitekwa na kupelekwa ikulu kwa nguvu?
EtiKwamba mwendazake alimshuti yeye mwenyewe baada ya kufikishwa state house ?😳😳
Amesema chanzo ni kutoka kwa top government officials na opposition leaders, nadhani anaweza kuthibitisha hilo kwa vyombo husika. Serikali ikimnyamazia basi Wananchi tutajua imemtuma achapishe hicho kitabu.
Mwandishi ni mrundi..Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Wewe moyo wako uko wapi?Kuwa raia hakumaanishi kuwa ni raia. Wengine mwili upo Tanzania moyo upo Rwanda mkuu
He was taken to state house where a president who always carried a gun "Personally" Shot him in the Head.
Aiseeh, inafikirisha
Mwandishi ni mrundi..
...Ni hayo tu.
Atathibitisha huyo kabendera..Ni kweli, au sio kweli?
Kuwa na tabia ya kuvumilia ukweli. Huwezi kupata ushahidi wa tuhuma hizo kwa kutumia vyombo vya humu ndani, maana wao ndio sehemu ya watu wasiojulikana.Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Mimi siyo pandikiziWewe moyo wako uko wapi?
Mpaka mtu anatoa kitabu kajHapa kama mimi ningekuwa mtoto wa yule mwendazake.............huyu kabendera angejua kwanini ni hatari kucheza na maisha ya mtu hata kama kafa................hiyo picha ingemghalimu sana.........fidia ambayo ningeitaka asingeweza kuilipa labda kama angekuwa na basha kama Elon musk
..vyombo husika vifanye UCHUNGUZI.
..UKWELI kuhusu nani amemuua Ben Saanane ujulikane.
MmmmAtathibitisha huyo kabendera
Maccm ukweli yanaita uchochezi haya majitu ya hovyo sana.Kwanini kifungiwe wakati kinaeleza ukweli.
Sasa kama Hana ushahidi kwanini achapishe Tuhuma nzito namna hiyo? Unajua kitabu kitasomwa na vizazi vingapi vya nchi hii?Kuwa na tabia ya kuvumilia ukweli. Huwezi kupata ushahidi wa tuhuma hizo kwa kutumia vyombo vya humu ndani, maana wao ndio sehemu ya watu wasiojulikana.
Njia nyengine rahsi andika kitabu kupinga kitabuSasa kama Hana ushahidi kwanini achapishe Tuhuma nzito namna hiyo? Unajua kitabu kitasomwa na vizazi vingapi vya nchi hii?
Mkuu, wapi imeandikwa alimwita? Hebu rudia kusoma. Kama hujaelewa, epuka kupotosha.Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili