Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Sawa, lakini saanane Yuko wapi ? Na alipotea wakati gani?Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Too late! Kitabu kimenunuliwa dunia nzima kwa wingi mno!Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Changamoto hapa ukienda kufungua kesi itabidi uje uthubitishe kifo chake kilikuwaje na kama hakufa yuko wapi? Serikali gani itajibu haya maswali?Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Kilipigwa vipi?Uliza mwechai killing kilipigwa vipi?
Mnaruka na kukanyagana.....!!Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Huyo anayejiita Sir John Roberts hana huu uelewa anadhani mahakamani ni kama kwa mama ntilie ambapo unauliza chakula kipo akikujibu hakipo basi imekwisha!Changamoto hapa ukienda kufungua kesi itabidi uje uthubitishe kifo chake kilikuwaje na kama hakufa yuko wapi? Serikali gani itajibu haya maswali?
Kwanza tupate uhakika kama kweli Ben kafa au kafichwa na kama kafa basi mwandishi anajua kila kitu aoneshe na mabaki ya mwili wa Ben ili yafanyiwe uchunguzi..kama madai kuwa Magufuli alimshoot Ben Saanane ni ya kweli, Magufuli hatokuwa Raisi wa kwanza dunia hii kuua mtu.
..Jambo la msingi ni UKWELI ujulikane ni nani amemuua Ben Saanane.
..Haiwezekani taifa zima tubebe mzigo wa dhambi ya mauaji yake.
..Nchi hii ni kubwa kuliko Magufuli, au yeyote yule.
Huyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Uongo huo mkuu! Mpaka imfikie kwenye kuulizwa hayo maswali Kabendera atakuwa amehenyeshwa na MAWAKILIHuyo anayejiita Sir John Roberts hana huu uelewa anadhani mahakamani ni kama.kwa mama ntilie ambapo unauliza chakula kipo akikujibu hakipo basi imekwisha!
Kwanza tupate uhakika kama kweli Ben kafa au kafichwa na kama kafa basi mwandishi anajua kila kitu aoneshe na mabaki ya mwili wa Ben ili yafanyiwe uchunguzi
Yuko kwenye payroll ya wazunguHuyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Hao siyo reputable as you thinkMimi sijakisoma hicho kitabu kipya cha Kabendera "In the name of President" Published by Amazon sio publisher mdogo wanalinda reputation yao sana.
Sababu ipi nzito itakayomsukuma Raisi Magu ampige risasi Saanane?
Kwanza lazima iwepo motive,motive itayomfanya Magu to loose temper,to such an extent of pulling a gun and short mercifully Saanane in forehead!!!
Hapa napata ukakasi kwa mtu tena Raisi Magufuli,Raisi aliyezoeleka kufanya vizuri mambo mengi under extreme conditions
Harafu yeye mwenyewe amtwange risasi tena Ikulu kisa kuandika utata wa Doctorate degree ya Mjomba Magu?
Nadhani Kabendera amepotoshwa.
He was abducted and taken to the Dictator.He was taken to state house where a president who always carried a gun "Personally" Shot him in the Head.