Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239

Kabendera ni mwandishi mahili sana.Siyo wale waandishi wa mihemuko na njaanjaa.Na hili aliloliandika kama siyo tumemuelewa vibaya basi atakuwa na ushahidi wa haya aliyoandika.Na kama anao ushahidi akiombwa atautoa.na akiutoa lazima utatuhuzunisha zaidi. so nadhani tuishie hapo hapo tu tusiendelee kutengenezeana chuki.Ikumbukww pia kabendera ni miongoni mwa wale waliokutikana na tuhuma za utakatishaji fedha na wakamalizana na serikali kwa jinsi kwa wakati ule ilivyoonekana ni sawa kumaliza makosa ya jinsi ile kwa namna ile
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Too late! Kitabu kimenunuliwa dunia nzima kwa wingi mno!
 
Changamoto hapa ukienda kufungua kesi itabidi uje uthubitishe kifo chake kilikuwaje na kama hakufa yuko wapi? Serikali gani itajibu haya maswali?
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Mnaruka na kukanyagana.....!!
 
..kama madai kuwa Magufuli alimshoot Ben Saanane ni ya kweli, Magufuli hatokuwa Raisi wa kwanza dunia hii kuua mtu.

..Jambo la msingi ni UKWELI ujulikane ni nani amemuua Ben Saanane.

..Haiwezekani taifa zima tubebe mzigo wa dhambi ya mauaji yake.

..Nchi hii ni kubwa kuliko Magufuli, au yeyote yule.
Kwanza tupate uhakika kama kweli Ben kafa au kafichwa na kama kafa basi mwandishi anajua kila kitu aoneshe na mabaki ya mwili wa Ben ili yafanyiwe uchunguzi
 
..kwanini hatuvidai VYOMBO VYA DOLA vifanye kazi yake?
 
Mimi sijakisoma hicho kitabu kipya cha Kabendera "In the name of President:Memoirs of Jailed Journalist😛ublished by Amazon sio publisher mdogo.

Sababu ipi nzito itakayomsukuma Raisi Magu ampige risasi Saanane?

Kwanza lazima iwepo motive,motive itayomfanya Magu to loose temper,to such an extent of pulling a gun and short mercifully Saanane in forehead!!!

Hapa napata ukakasi kwa mtu tena Raisi Magufuli,Raisi aliyezoeleka kufanya vizuri mambo mengi under extreme conditions
Harafu yeye mwenyewe amtwange risasi tena Ikulu kisa kuandika utata wa Doctorate degree ya Mjomba Magu?
Nadhani Kabendera amepotoshwa.
 
Wakikizui kitabu hicho ndio watakipa umaarufu mkubwa kitatafutwa na kusomwa na watu wengi kama vile njugu
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Yuko kwenye payroll ya wazungu
 
Mimi sijakisoma hicho kitabu kipya cha Kabendera "In the name of President" Published by Amazon sio publisher mdogo wanalinda reputation yao sana.

Sababu ipi nzito itakayomsukuma Raisi Magu ampige risasi Saanane?

Kwanza lazima iwepo motive,motive itayomfanya Magu to loose temper,to such an extent of pulling a gun and short mercifully Saanane in forehead!!!

Hapa napata ukakasi kwa mtu tena Raisi Magufuli,Raisi aliyezoeleka kufanya vizuri mambo mengi under extreme conditions
Harafu yeye mwenyewe amtwange risasi tena Ikulu kisa kuandika utata wa Doctorate degree ya Mjomba Magu?
Nadhani Kabendera amepotoshwa.
Hao siyo reputable as you think

Ni machinery tu ya foreign powers
 
Back
Top Bottom