Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Jamani halafu badala ya kumkamata
Apelekwe Rehab au Sober ,mnang'ang'ania kusoma vitabu tu.

Kilichoandikwa kimetoka kwenye ubongo wa huyu mjuba😂

Mna dhambi isiyofutika,

Na hilo ni jalada tu kuna yaliyomo ndani.

Yaani hicho ni kichwa cha habari bado yaliyomo
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Acha mashambulizi ya hivyo,sasa yeye hana ugomvi na mtu,anayomaswali anatamani majibu,kaanda yake asikie nani atapiga yowe,badala ya kumpuuza,basi huwezi msikiliza,sikiliza yowe zinalia kutokea wapi?
 
Back
Top Bottom