Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli
Nina swali moja dogo kwako, Ben Saanane amepotea kweli au uongo?.

Unajua kilimtokea nini?.
EK ni mwandishi wa IJ, amefanya IJ yake akaandika kitabu, unless kama unakijua kilichompata Ben Saanane, huna moral authority kumkosoa EK!. Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

P
 
Wapumbavu kama nyie, majizi na msio wazalendo kwa nchi, yule jamaa aliwakomesha!

Na unadhani JPM akiandikwa hivyo ilihali hayupo, wewe ikupe faida gani nyau wewe
It is memoirs, please learn what it means by a word "Memoirs" problem in this country there is a lot of literacy people like you. Off course, I won't benefit by his memoirs but this is how history is. So better shut up and go to bed. You stupid nyau.
 
Wacha longolongo. Wekeni ushahidi wa uuaji wa Magufuli.
Mwagufuli una ushahidi gani kwamba alifanya yote unayoyasema? Tuhuma hizo ni nzito sana kwanza kumbaka makamu wake hio ni nzito mbili kuua hio ni nzito zaidi, ushahidi unao au unasema tu?
 
Huyo Kabendera anasoma Ph.D Katika chunky cha King’s College London moja ya vyuo vikuu bora kabisa duniani akiwa na Scholarship. Pia ni mwandushi wa magazeti mbalimbali duniani yakiwemo Guardian na the Economic
Ana dhalilisha hicho chuo, maana bado ni mjinga, Ben hajauliwa kwa kupigwa risasi live Ikulu au kumezwa na nyoka, aache kutafuta njia ya kuuza fake vitabu kwa story za kubumba. Tumekuweko wakati wa awamu ya 5 na tunajua jinsi Kabendera alivyo pitia magumu wakati huo kwa kuandika taarifa ambazo sio sahihi.

Mimi pia huu ni mwaka wangu wa 4 nafanya kazi na USA based company in Africa najua vizuri sana jinsi wanavo penyeza agenda zao kwa nchi za Africa, ukiwa fala unajaa haraka sana, ni jukimu lako kuchagua nchi au tumbo, lakini kwa ufupi ni ngumu kushindana na serikali kokote duniani, kwani Snowden yuko wapi? Usifikiri ukiwa unafanya kwenye Taasisi / Companies za USA or UK unakuwa na haki ya kufanya chochote duniani, ukiwa na akiri hiyo basi elimu yako haija kukomboa na utaumia hapa duniani.
 
🚮🚮🚮
Ni raia wa Tanzania imethibitishwa! mwenda zake alitumia tools ya kunyamazisha wananchi kwa kuminya haki ya uraia,na wewe unaendeleza huo upuuzi. Unyamaze tu. Hata kama hana uraia wetu lakini haimzui kusema ukweli. Ninyi watu msio na akili hamkuwahi kusikia Rais Nyerere alisema "Africa ni moja" kwa hiyo unataka kututenganisha? Nchi hii tunahitaji watu kama Paskali Mayala na wengine wenye akili, ninyi msiojua kitu mliambiwa na Mwigulu Nchemba muende Burundi. Siwezi kusapoti wewe kwenda Burundi but ningependa uelekezwa ili uelewe. Fikiria nje ya mipaka yako (out of box)
 
Ushauri wako kuhusu kuzuiwa kusomwa nchi za nje hakuna atakayeweza kuzuia hilo labda hapa kwetu hata hivyo kwatabu sana mtu akishakuwa nacho hakuna wakumzuia kukisoma akimaliza atampa na mwingine mwisho wa siku kila mtu atakuwa kakisoma
Ushauri kama huo unapendeza kwa familia yako pekee ambayo unaimiliki
 
Back
Top Bottom