Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh

Kanisa jeusi liliamua kuuficha Mwanga ili mwanadamu awe mtumwa wa giza. Baba akaamua kukaa mbali na wanadamu nakubaki mtazamaji na si mwokozi tena. Siri zimeanza kuamka tena Nuru inarudi Duniani nje ya mifumo ya Dunia Wana Wana Nuru wataamka Kupambana na giza linalotawala Dunia. Mafundisho ya Waessene yanafunuliwa, Siri zilizofichwa kwenye jangwacla Galilaya zinaanza kurudi kwa walio tayari, jina la Baba litatamkwa tena. Jina lenye nguvu ya kuharibu giza likitamkwa kwa unyenyekevu
 
Hakijawahi kufichwa bhana ,mbona mnakosa elimu


Kingefichwa ,ungekipataje Hadi mnakitafsiri na kuwauzia watu MNAPIGA pesa
 
Hiki Cha kitabu ni Cha kusoma
 
Asante Mkuu,hebu naomba vitabu muhimu vya kusoma ambavyo vilitupwa nje ya biblia,je kuna umuhimu wa kusoma vyote 16 au kuna ambavyo ni muhimu zaidi ukianza na hiki cha Henoko?
 
Hata kama Kuna maajabu kwenye vitabu vya kiroho hii ni uongo mtupu na ni hadithi za kutungwa kwa baadhi ya mambo. Nuhu alishaondoka Duniani zaidi ya miaka 300 huko kabla hata Abraham hajazaliwa, aliwezaje kumlea?!
 
Achana nazo hizo Chai jaba, kama kitabu ni cha Henoko sisi Wasukuma kinatuhusu nini, Tunaomba cha Ng'anamalundi.
 
Henoko kinadai kwamba malaika walianguka wakaoa wanawake na kuzaa majitu, jambo linalopingana na Yesu mwenyewe aliyesema malaika hawaozi wala kuolewa (Mathayo 22:30).
Mwanzo 6:1-2
[1]Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
[2]wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.
Mwanzo 6:1-2,4
[1]Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
[2]wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.
[4]Nao Wanefili
walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa.
There were giants in the earth in those days; and also after that, when the sons of God came in unto the daughters of men, and they bare children to them, the same became mighty men which were of old, men of renown.
 
Sio malaika sasa
 
Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh. Tuma pesa M-PESA kwenda namba 0756704145 nicheki WhatsApp nikutumie kitabu au kama una email natuma
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…