Tanakh unaijua wewe? Tanakh ndio biblia agano la kale kwa wakristoK
Kwamujibu wa biblia na wakristo ni malaika lakini kwa mujibu wa wayahudi (tanakh) na Islam sio malaika
Sasa amua ww chakufata kati ya biblia au tanakh
Sjui nikujibu nn lakn upo sahihi kidogo sana maana biblia ni ( agano la kale na jipya ) tanakh ni agano la kale tu na ukristo mmeikuta na bado mnatofauti sana ya kimandiko na vitabu na huko mlipokopiTanakh unaijua wewe? Tanakh ndio biblia agano la kale kwa wakristo
Mwanzo 6:1-2
[1]Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
[2]wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.
Mwanzo 6:1-2,4

[4]Nao Wanefili
walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa.
There were giants in the earth in those days; and also after that, when the sons of God came in unto the daughters of men, and they bare children to them, the same became mighty men which were of old, men of renown.
"...na itakuwa, badala ya kuambiwa, Ninyi si watu wangu, wataambiwa, Ninyi ni wana wa Mungu aliye hai."
"Kwa maana viumbe vyote vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu."
"Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu."
"Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe watoto wa Mungu; na ndivyo tulivyo."
"Heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa Mungu."
"Wala hawawezi kufa tena, kwa maana ni sawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa kuwa ni wana wa ufufuo."
"Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa; lakini twajua ya kuwa atakapodhihirika, tutafanana naye; kwa maana tutamwona kama alivyo."
"Kwa kuwa viumbe vyenyewe vitakombolewa kutoka katika utumwa wa uharibifu na kuingia katika uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu."
"Ili mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, safi, wasio na mawaa, katikati ya kizazi kiovu na chenye ukaidi, ambao kati yao mng'aa kama mianga ulimwenguni."
ukoo wa sethi (wana wa Mungu).......... ukoo wa kaini ( wana wa wanadamu).........koo hizo 2 hazikutakiwa kuoana kabisa maana mu1 ni ukoo wa Mungu mwingne ni ukoo wa kipagani........Mwanzo 6:1-2
[1]Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
[2]wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.
Mwanzo 6:1-2,4
[1]Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,
[2]wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.
[4]Nao Wanefili
walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa.
There were giants in the earth in those days; and also after that, when the sons of God came in unto the daughters of men, and they bare children to them, the same became mighty men which were of old, men of renown.
Mtu akikidownload mwenyewe kwenye mtandao hawezi kipata?Kina mambo mengi sana, pata kopi yake 5000 Tsh tu mkuu, nicheki Whatsapp 0756704145
Hii mpyaukoo wa sethi (wana wa Mungu).......... ukoo wa kaini ( wana wa wanadamu).........koo hizo 2 hazikutakiwa kuoana kabisa maana mu1 ni ukoo wa Mungu mwingne ni ukoo wa kipagani........
sasa kama n mpya na malaika ndo walizin na wanadamu kwann wanaume waliletewa gharika akat hawakuhusikHii mpya
Acha ukweche basi🤣Nielekwze namna ya ku apload
Nikiweke hapa bure
Nikupe hongera kukilihiloMimi naamini ni kitabu halali kuwepo kwenye biblia na mpaka sasa kwenye biblia kipo ila wajanja walikitoa ila walishindwa kutoa maandiko yake. Kama walikua na nia ya kukitoa basi wangetoa na maandiko yake yaliyo wekwa kwenye biblia.
RunbishKitabu cha Henoko ni maandiko ya kale ambayo yamejaa hadithi na maono ya ki-apocalyptic, lakini hakikujumuishwa katika Biblia kwa sababu kuu ya msingi kwamba hakina uhalali wa kimungu.
Ingawa kinadai kuandikwa na Henoko, ambaye Biblia inamtaja kuwa “alitembea na Mungu” (Mwanzo 5:24), wataalamu wanaonesha kilitungwa na waandishi wa baadaye waliotumia jina lake ili kukipa uzito.
Hii inafanya kitabu hiki kuonekana kama bandia, tofauti na vitabu vya Biblia ambavyo uandishi wake ulitambuliwa na kuthibitishwa katika historia ya imani ya Wayahudi na Wakristo.
Kuna pia tatizo la mafundisho yanayopingana na Biblia.
Henoko kinadai kwamba malaika walianguka wakaoa wanawake na kuzaa majitu, jambo linalopingana na Yesu mwenyewe aliyesema malaika hawaozi wala kuolewa (Mathayo 22:30).
Kitabu hiki kinataja majina ya malaika yasiyopatikana katika maandiko matakatifu, na kutoa maelezo ya mbingu, sayari na jehanamu kwa mtindo wa hadithi na sayansi ya kale, ambayo mara nyingi yanapingana na uumbaji ulivyoelezwa katika Biblia. Haya yote yalionekana kama kuongeza hadithi na falsafa za kibinadamu ndani ya neno la Mungu.
Viongozi wa kanisa la mwanzo waliona hatari kubwa ya kuliruhusu kusomeka kama neno la Mungu kwa sababu lingeweza kupotosha imani ya waamini.
Ndiyo maana Wayahudi hawakukiweka katika Tanakh, Wakristo wengi pia hawakulijumuisha kwenye Agano Jipya, isipokuwa Kanisa la Ethiopia pekee.
Kwa kuwa msingi wa Biblia ni kuwa maandiko yote yamevuviwa na Roho Mtakatifu bila kuchanganywa na mawazo ya kibinadamu, Kitabu cha Henoko kilionekana kutofaa, kwa kuwa kilibeba mchanganyiko wa kweli kidogo na hadithi nyingi.
YESU ALISEMA WOKOVU WATOKA KWA WAYAHUDI KWASABABU WAO NDIO WALIPEWA MAUSIA YA MUNGU (YWHW)
Kuhusu nilipo Bold 👆🏽 Mbona hata katika Biblia kuna tukio la mtu aliyeenda kwa mtaalamu ili kuwasiliana na aliyekufa, Mfalme Sauli aliyekwenda kwa mwanamke wa Endori mchawi/mtaalamu wa pepo, ili kujaribu kuwasiliana na Nabii Samweli ambaye alisha kufa.Binafsi nakisomq Kitabu Cha Enock, pia nimekisoma Kitabu Cha Japher...!
Kwa Mtu ambaye unataka sana kujua mambo ya Kiroho, hivi Vitabu vina baadhi ya vitu vitakusaidia kwenye safari Yako ya Mambo ya kiroho.
Ila Kwa Kitabu kama Cha Enock zipo sababu za Msingi hasa ambazo hata Mimi nakubari kwamba ilikua sahihi kutojumuishwa kwenye Biblia, mfano Kuna sehemu Lamech anaenda kumuomba Methuselah ambaye ni Baba yake, ili Waende ku communicate na Enock Babu ya Lameck juu ya Mtoto ambaye alizaliwa kimaajabu (Melekizedeki) kama alikua ni Mtoto wake, na kumbuka hapo Enock alikua tayari ameshakufa kitambo, means Methuselah alikua ana ujuzi wa kuongea na Spirit ya Baba yake, alikua anajua namna ya kuiita....!
So vitu kama hivyo nakubari kabisa havikua na uhalali wa kuwepo kwenye Biblia n.k
All in all ukisoma hivyo Vitabu na Kitabu kingine kama Jubilee, Kuna missed part ambazo unaziona Wazi kabisa kwenye Biblia na Majibu yake yapo humo kwenye hivyo Vitabu.
Mfano Biblia imegusia kidogo sana kuhusu Melekizedeki kwamba hakuwa na Baba Wala Mama, na kwamba alikua Kuhani Mkuu, ambaye mpaka Ibrahim alimpa sehemu ya 10, ila kwenye hivyo Vitabu unaona mwanzo wake mpaka mwisho wake.
Kwenye Biblia tunasoma tu Ibrahim anaambiwa na Mungu aondoke kwenye Nchi yake na kwenda Nchi ya Ugenini.
Ila kwenye hivyo Vitabu tunaona kuzaliwa Kwa Ibrahim, kukua kwake mpaka Mungu alipoanza kusema na yeye, tunaona Ibrahim akiishi enzi za Nimrodi, na masaibu aliyopitia Enzi za Utawala wenye Nguvu wa Nimrodi n.k
Kwenye Biblia tunasoma Kwa uchache kuhusu Nimrodi, ila kupitia hivyo Vitabu tunaona kuzaliwa Kwa Nimrodi, kumuamini Mungu mpaka kuja kuasi na kuanza kujenga ule mnara.
Kwenye Biblia hatuoni sana kuhusu Mavazi ambayo Adam na Eva walijifunika Kwa mara ya kwanza baada ya kiasi, ila kwenye hivyo Vitabu tunaona Adamu kabla ya kufa, alimkabidhi yale Mavazi Seth, Seth akakabidhi Kwa Mwanae, hivyo hivyo mpaka Kwa Enock, ni hivyo hivyo Mavazi Yale Nimrodi aliyaiba Kwa hila, na siku anayavaa, hakuwa yule Tena wa zamani n.k
So Kwa Mimi Kuna Vitu vingi vya kiroho najifunza.
Nilikupa like baada ya kuona hilo kosa nikafuta, Mungu ndiye anayetowa baraka naona umekosea kwa kuzidiwa na furaha.Alooo
Abalikiwe MWENYEZI MUNGU aliyeziumba mbingu na inchi
AmenNikupe hongera kukilihilo
Ni sahihi Mkuu..... Sio mara ya kwanza Kwa Spirit za Watu waliokufa kuja Duniani, sio wakati huu tu, ilitokea Toka Enzi za Biblia, ama Kwa kuitwa ama Kwa hizo Spirit kuja zenyewe.Kuhusu nilipo Bold 👆🏽 Mbona hata katika Biblia kuna tukio la mtu aliyeenda kwa mtaalamu ili kuwasiliana na aliyekufa, Mfalme Sauli aliyekwenda kwa mwanamke wa Endori mchawi/mtaalamu wa pepo, ili kujaribu kuwasiliana na Nabii Samweli ambaye alisha kufa.
1 Samweli 28:7
“Sauli akawaambia watumishi wake, ‘Nitafutieni mwanamke mwenye pepo wa utambuzi, nipate kumwendea ili niulize kwake".
Na Roho ya Samweli ikaonekana kwenye andiko hili
1 Samweli 28:12-15 (SUV):
12) Na yule mwanamke alipomwona Samweli, akapiga kelele kwa sauti kuu; yule mwanamke akamwambia Sauli, Kwa nini umenidanganya? Maana wewe ndiwe Sauli.
13) Mfalme akamwambia, Usiogope; waona nini? Yule mwanamke akamwambia Sauli, Naona mungu akitoka katika nchi.
14) Akamwambia, Anafanana na nini? Akasema, Ni mzee anayetoka juu, amefunikwa joho. Sauli akatambua ya kuwa ni Samweli, akainama kifudifudi, akasujudu.
15) Samweli akamwambia Sauli, Kwa nini umenisumbua kwa kunileta juu?