Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh

Wenzio tunagawa bure wewe unauza. Kuna uzi humu jf search umeandikwa "natafuta kitabu cha enoki cha kiswahili" kuna mdau kakiweka kwa mtindo wa pdf. Mleta mada kazi ya Mungu haiuzwi.
Hakijakamalika ni maelezo ya blog na YEYE anataka hela
 
Mwaka 2020 niliutumia mda mwingi kukaa mbele za MUNGU niliona mengi sana

MUNGU ni mwema sana
Njoo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…