Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

Nenda kashitaki mahakamani, huko ndo ushahidi utatolewa
 
😄🤣😄🤣
 
Hii ishu ya Ben imenishangaza zaidi, ina maana hii taarifa ya Ben kupigwa risasi hata Chadema hawajawahi sikia?

Kama alvyosema mtoa mada, kitabu cha Kabendera na claims au maoni yake binafsi, huku ni kama story za vijiweni, hiwezi verify chochote. Ukiongozwa na hisia unatekwa na hichi kitabu
 
Hivi haiwezekani wewe binafsi kumfungulia kesi Kabendera?
 
Lakini ambao wametajwa si wapo tena ambao walikuwa na ukaribu sana na Hayati?
Mtu kama mkewe ambaye kwenye kitabu inaonekana eti aliwahi kupigwa hadi kulazwa! Kama si kweli si akanushe?
Mh. Rais wa sasa naye kagusiwa kwenye kitabu, kama si kweli si akanushe?!
Anyway, Mambo mengine ni ya ajabu sana.
Mbona Hayati yeye hakuwahi kuogopa enzi za uhai wake?
Kwa nini watu wasubiri afe halafu ndo waanze kujimwambafy?!
Halafu ili lina faida gani kwa sisi wananchi wa kawaida?!
 
Sahihi, kama ni mkakati, je kumchafua hayati kuna faida gani kwa taifa ?
 
hakuna soft copy mkuu nilipitie namimi ila kama kitabu kipo jamaa anaichafua serikali sio lakufumbia macho.
 
Determinantor
Pascal Mayalla

Kuandika kitabu aina hii ni sawa na kuandika habari za uchunguzi?
 
Uliona wapi vitabu vya uchunguzi mpaka viwe na ushahidi unaoweza kuwa checked? Inatosha kuwa na ushahidi unaoweza kuwa collaborated na watu wengine wanaoaminika.
Hii sio sayansi kwamba utasema unapeleka lab. Inatosha kwa Mfano watu watatu wasiojuana kuelezea tukio hilo hilo moja.
 
it should be clear kuwa hiyo ni Fictional. Nimesoma vitabu vya uchunguzi vingi vinakuwa na references na source vérification , watoa taarifa, picha za matukio na nk. Kama ni kitabu cha maelezo tu huo ni udaku. Hata picha ya cover aliyotumia ni misleading. Ni picha ambayo JPM alikuwq anasisitiza umuhimu wa kuhakiki silaha kwa raia

Rais kutembea na silaha ni jambo la kawaida
Ikiwa mm natembea na silaha yangu muda wote, what about the president ?

Just be rational
 
Hawajawahi kusikia wakati kitabu kimesema viongozi wa serikali pamoja na wa upinzani yaani Chadema wamemwambia?
Kule ndani kaekezea Bahia viongozi wa chadema wanajua Saanane aliuawa Ikulu.

Aliuawa baada ya kukataa kusaliti Chadema na kwenda ccm na kufuta madai take yote juu ya PhD ya Magufuli.

Kutoka aliingilia kati kutetea Ph.D na akaishia kupewa uwaziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…