Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

Mbona mnahangaika sana. Serikali na watendewa wako kimywa, shida inatoka wapi mpaka nyinyi(sijui ni nani katika serikali). Pilipili usizokula zinakiwashaje?
Achana naye huyu.
Hajui kuwa hii ni calculated move kama vile kuwafukuza akina January na Nape.
 
Kwamba camera za ikulu zimpe ushahidi Kabendera..!! Kama zile za Lisu hadi leo kitendawili, itakuwa za ikulu..!!??
 

Kabendera: Amekuja na nimehoji watu na niliambiwa hivi .............

Wewe umekuja na: Trust me brother/self feelings baada ya kusoma kitabu.

Kama mwanasayansi kwa kadri yako na status ya unapofanyia kazi na kazi unayoifanya, nilitegemea uje na kati ya haya: nimeambiwa hivi kinyume na haya yaliyoelezwa au ninachokifahamu ni hiki kinyume na yaliyoandikwa.

Hapa unapiga ngumi chini ya mkanda, umefanya chini ya kile hata mwenzako amefanya iwe kweli au si kweli.

Ungekuja nawe unasema umeambiwa tofauti na Kabendera au una taarifa tofauti, hapo ingekuwa vyema mkutanishwe kwenye mzani ulio sawa na mashahidi wenu. Otherwise hakuna mashiko, bora ungeandika taarifa ya kuomba apatiwe taarifa zaidi unazozikosa na si kukanusha au zitafutie ukweli vs uongo ndo uje public na bandiko husika kama lilivyo. Pia tusiote tu na kubabika lengo la mwandishi kwa utashi wetu au kumhukumu bila taarifa sahihi. Tunaendeleza yaleyale.
 
Mbona unahaha na hadithi?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Yeye yule anayeona Kabendera ametunga haya mambo(kwamba ni fabricated lies) akafungue kesi mahakamani ndiyo itajulikana mbivu na mbichi kwani atalazimika kutaja vyanzo vyake. Je kuna watakaothubutu kufungua kesi ilhali haijulikani Kabendera ana ushahidi kiasi gani na vyanzo vyake ni vipi? Kama ni watu wazito sana serikalini ndiyo madudu yote ndani ya mfumo yataanikwa hadharani na kama ameokotaokota hizo habari hapa na pale ndiyo tutambaini longolongo zake.
Kumpinga kwa kudai jamaa ni muongo lazima uwe na facts za ukweli otherwise let's give him the benefits of the possibilities.
 
Je una uhakika kama hawakuhojiwa? Hebu tuwekee ushahidi wa kwamba hawakuhojiwa, they can volunteer information hata kama si direct kwa Kabendera lakini kwa mtu(watu) ambaye naye anaweza kufunguka kwa Kabendera. It's just one of the possibilities,
 
Labda kama ana backup ya mabeberu!

Lakini Kwa hicho kitabu na swala la muda tu the man is no more!

Kwa Sasa Wana deal na waliompa info!

Naendelea kuwaza pole pole huku nikijiona ndani ya office kubwa!
Kudeal na waliompa info
Hapo itadhihirisha ukweli wa kitabu
 
Mkuu naomba unipe faida 5 za hiki kitabu kwa mwananchi wa kawaida
Kama kwako hakina faida haimaanishi hakina faida kwa wengine, hata kujua tu what transpired during that particular time ni faida ndiyo maana kuna makala/vitabu vingi duniani ambavyo havina faida direct zaidi ya labda kuvitumia kama reference kujibia mitihani mashuleni/vyuoni.
 
Thank you. Jamaa ushahidi alionao wa kumpinga Kabendera ni JUST TRUST ME.
 
Sometimes it is better to keep quiet!
 
Labda kama ana backup ya mabeberu!

Lakini Kwa hicho kitabu na swala la muda tu the man is no more!

Kwa Sasa Wana deal na waliompa info!

Naendelea kuwaza pole pole huku nikijiona ndani ya office kubwa!
Utakuwa unajua kinachoendelea chini ya carpet
 
Sasa kama alikuwa kichaa anashindwaje kumbaka makamu wake??
Kitabu kinasema alimbaka? Au umejiongeza kama desturi yetu watanzania. Tukipewa kichwa cha habari tunatiririka story yote.
 
Hakuna atayefungua kesi za kijinga kujihangaisha na huo upumbavu ambao inafahamika wazi kuwa umekuwa motivated na chuki dhidi ya marehemu.
 
Kwa taarifa likija shirika huru aliyosema Kabendera yatakuwa na ukweli wa 90%, kutaka kupata evidence toka kwa serekali inayolinda huo uchafu ni kutaka kujifariji. Unasema Ikulu ni sehemu salama sana, hilo ni kweli, ila ni salama kuhusu usalama wa rais, lakini haina uwezo wa kumzuia rais akitaka kubaka, ama kupiga mtu risasi. Fahamu rais wa Tanzania kwa katiba hii ni sawa na Mungu, sasa unawezaji kumzuia mtu mwenye kinga ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote akiwa au ametoka madarakani? Ni hivi, Magufuli alikuwa shetani katika umbile la binadamu fullstop.
 
Hakuna atayefungua kesi za kijinga kujihangaisha na huo upumbavu ambao inafahamika wazi kuwa umekuwa motivated na chuki dhidi ya marehemu.
Mbona watu wameshabambikiwa kesi nyingi sana, nini kinashindikana kwenye hili la kuchafuliwa watawala ambao wana uwezo hata wa kuziagiza mahakama zitoe hukumu ya aina gani?
 
Lengo lako siyo zuri mtoa mada. Maana hata mwenye serikali mwenyewe alitaka kubakwa. Unataka akaaibike huko mahakamani?
Jiwe kama jiwe. Mtu ale udaga, maziwa fresh toka kuzaliwa na karanga mbichi. Full antena.
 
Kitabu kinasema alimbaka? Au umejiongeza kama desturi yetu watanzania. Tukipewa kichwa cha habari tunatiririka story yote.
Mkuu soma kitabu hapo, kimewekwa kwenye threads kibao.

 
Mkuu soma kitabu hapo, kimewekwa kwenye threads kibao.

View attachment 3195210
Hii part ilinishangaza sana. Evidence ya Ben saa nane kuuliwa informants from gvt officers ambao walimpigia simu tu!

Hii hata yeye mwenyewe hawezi kuthibitisha ukweli wa hii info …. It Remains rumors. Mwandishi wa kitabu ndio mwandishi wa story ya Yoga…… dark days
 
Kumtoa Mwinyi
Kuna Rais hajawahi kuua wapinzani, ( carefully, I am not justifying this ) !

Only Magufuli was obvious !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…