Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
- Thread starter
-
- #101
Mmmmh kiranga wewe Kiranga. . .ipo siku hicho Kiranga chako kitakunyoosha Haki ya Mungu.😅This is whataboutism, also logical non sequitur fallacy, also strawman argument fallacy.
Mimi siongelei mangapi, naongelea hili.
Basi kama unajua tafsiri ya Uchawi si jukwaa lipo wazi Sasa tutabanaishe?Sasa mbona wewe ndiye unawachosha watu kwa kuendeleza ubishi na mtu anayewachosha watu?
You can't censor me.
Hujui hata ku define uchawi ni nini. Unabumbabumba tu.
Nakubaliana na Wewe Mkuu kwamba Elimu Nzuri ya Kiroho ni ile ya ana Kwa ana.Hapa naona mmoja hana elim kabisa zaidi ya ujuaji..... mwingine kasoma vitu kwenye makaratasi!!
Tafsiri fupi asiye na elim anamuuliza asiye na elim.
Elim ya kiroho hakika yake huwa inafundishwa direct kupitia mdomo na macho kutoka kwa mfanyaji kwenda kwa mpokeaji.
Hicho kitabu sijakisoma lakini nahakika zaidi ya 55%, kinastory tu kuhusu elim za kiroho na sio elim harisi ya kiroho
ila lazima kitakuwa n kizuri
Naelewa unachokizungumza, maana mm nipo advanced kidogo kwenye maswala ya kirohoNakubaliana na Wewe Mkuu kwamba Elimu Nzuri ya Kiroho ni ile ya ana Kwa ana.
Lakini Sasa, Jamii inatafuta Elimu, Wenye Elimu wameshindwa kuifikisha Elimu Kwa walengwa.
Kwa Sura hii Jamii inatapatapa.
Hata vipande vya makala za ajabuajabu huokotwa ili kukata kiu ya uhitaji.
Ni vile Huwezi kuamini, ila Niamini Mimi, Jamii inatamani Sana kujua Mambo ya Kiroho kuliko Njia za kupata Pesa.
Post zina namba hapa, definition ya uchawi ipo katika post namba ngapi?Tayari Nimetoka definition ya Uchawi Kwa mujibu wa kitabu Cha Bw. Munga Teheran
Shuka chini utapata majibu Yako Boss
Hata huyo Mungu huwezi kuthibitisha kuwa yupo kweli, unasingizia tu.Mmmmh kiranga wewe Kiranga. . .ipo siku hicho Kiranga chako kitakunyoosha Haki ya Mungu.😅
Wapi nimesema najua tafsiri ya uchawi?Basi kama unajua tafsiri ya Uchawi si jukwaa lipo wazi Sasa tutabanaishe?
Maneno mengi yanini yatufarakanishe Wana JF wakati Mwalimu Mzuri kama ww upo?
meditation inayo majibu ya kushangaza mno sjawi ona kitu ya thaman kama hiiHabari za Uzima WanaJamiiForums.
Kuna kitabu Nimekipoteza ktk mazingira Nisiyoelewa, kinaitwa UCHAWI UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA Cha mwandishi MUNGA TEHENANI wa FAMILIA YA JITAMBUE.
Huyu Bw. Alikuwa anatoa Elimu yenye Ufahamu na Maarifa ya viwango vya Juu Mno ambayo sijaona mwingine Kwa hapa TZ ana Maarifa kama Yeye.
( RIP. MUNGA TEHENANI )
Katika Kitabu hicho alizungumzia Uchawi wa kuruka kwa Ungo.
Anasema, Sio lazima iwe Ungo, Lakini Kuna uwezekano wa watu kuruka kwa kutumia vifaa ambavyo havitumiwi kurukia.
Kama Yupo Mtu ataruka Kwa kutumia Ungo, sio lazima Mtu Huyo awe mchawi.
Kuruka ama kusafiri Kwa Ungo ni suala la uwezo wa kujua Namna ya Kanuni Husika inavyotumika.
Uchawi ni Matumizi Mabaya ya Nguvu hizihizi tunazo zitumia kupata Mambo Mazuri.
Hayo ni sehemu tu ya Yaliyomo Ndani ya kitabu hicho.
TAFADHARI, ikiwa unajua mahali naweza kupata kitabu hiki Nakuomba unijulishe.
Na kama unacho kitabu kama hiki naomba kopi Tafadhari.
Na ikiwa una NONDO nyingine za MUNGA TEHENANI
Naomba tujulishane Jamani.
Ni hayo tu.
***UCHAWI NI NINI
JIBU LAKE NI HILI:
Kwa mujibu wa Mwandishi kitabu MUNGA TEHENAN ( RIP )
=> Uchawi ni Nguvu.
Kwa vyovyote ambavyo Mtu atatoa tafsiri, ataishia Kusema UCHAWI NI NGUVU.
=> Kila Nguvu Ina Kanuni zake. Bila Kanuni, Kitu chochote kitasita kuendelea
Hata Kula Kuna Kanuni. Kwamfano, Unaweza vipi kuchukua Chakula na Kukishindilia kwenye Njia ya Haja Kubwa 😆 Kisha ukatoa tafsiri kwamba Umekula Chakula?
Hata ukiamini kwamba Umekula, Kama ndivyo Ulivyo fundishwa, kwamba Huko ndiko Kula, Bado Kula huko hakutazaa matunda kwasababu KANUNI ya Ulaji haikuzingatiwa.
=> UMEME PIA NI NGUVU.
Ili Umeme Uzalishwe inapaswa kuwa na vifaa Fulani sambamba na KANUNI ya kuzalisha Umeme na kuendelea kuwaka.
Zipo Kanuni za kukufanya Umeme Usiwe na MADHARA Kwa watumiaji.
Hata kama wewe ni Fundi Mbobezi Kwa mambo ya Umeme, Bado Hauwezi kutumia KAMBA za katani kama Nyaya kuzalisha Umeme.
Kanuni lazima izingatiwe kupata Umeme
=> Sasa, kama unataka kuutumia Umeme Kwa Matumizi Mabaya ya kumdhuru mwingine, hiyo inawezekana.
...... Pengine utauingiza kwenye Maji. . . Lakini, Yeye aliyetegwa atadhurika ikiwa atagusa ama kuingia kwenye Hayo maji.
....... Pengine utauunganisha na chuma Cha Mlangoni ama getini, Hali kadhalika Yeye aliyetegwa atadhurika ikiwa atagusa huo mlango/geti.
Nje ya hapo hawezi kudhurika.
Kwahiyo Nguvu zote zinakanuni.
=> Kujua kwamba Kuna Uchawi ama kuto kujua,haitoshi kumfanya Mtu aweze Kuloga au kulogwa.
=> Kuamini ktk Uchawi ama kutokuamini, , , , Haitoshi kumfanya Mtu Kudhuriwa na wachawi ama kutokudhuliwa nao.
Attachments
17395100065847162554509929673813.jpg
Hii naona Ina make sense Kwa kiwango kikubwa.namimi nipo kwenye maandaalizi ya kuandika kitabu kuhusu nguvu ya fikra zetu. hakika fikra ndio uchawi wenyewe.
Nikipata nafasi Nitatoa Ushuhuda mmoja wa Nguvu ya Kiroho na kifikra niliyowahi kui apply Kwa watu wachache Nikiwa Mwanza.namimi nipo kwenye maandaalizi ya kuandika kitabu kuhusu nguvu ya fikra zetu. hakika fikra ndio uchawi wenyewe.
Mwaka 1 Nikiwa Dodoma, Nilijiunga na kundi Fulani la Mambo ya Meditation linaloitwa PATH SOCIETY.meditation inayo majibu ya kushangaza mno sjawi ona kitu ya thaman kama hii
Mimi najua upo kutokana na kushuhudia hayo yenye kuitwa kuwa ni uchawi kwa maana hayo mambo yapo na nayashuhudia na huitwa kuwa ni uchawi, ndio maana nasema ufanyike uchunguzi kuchunguza hayo mambo.Sasa kama huwezi hata ku u define uchawi, maana yake wewe mwenyewe huuelewi uchawi, utajuaje upo kweli na si hadithi za watu tu?
Anachotaka yeye ni sawa na kutaka kubishana kuhusu definitions tofauti za science zilizopo na kuacha kujadili hiyo science yenyewe.Basi kama unajua tafsiri ya Uchawi si jukwaa lipo wazi Sasa tutabanaishe?
Maneno mengi yanini yatufarakanishe Wana JF wakati Mwalimu Mzuri kama ww upo?
Nimeuliza hivi.Mimi najua upo kutokana na kushuhudia hayo yenye kuitwa kuwa ni uchawi kwa maana hayo mambo yapo na nayashuhudia na huitwa kuwa ni uchawi, ndio maana nasema ufanyike uchunguzi kuchunguza hayo mambo.
Unachotaka kufanya ni kutaka kupinga uwepo wa uchawi kwa kupitia definition ya uchawi kitu ambacho hauwezi kuwa sahihi kwa sababu hata sisi tunaoamini uchawi tunatofautiana kwenye baadhi ya definitions ila wote tunakubali uwepo wa kinachoitwa uchawi, sasa wewe unataka kuhitimisha hakuna uchawi kwa kukosoa definitions za neno uchawi na kuacha kujadili mambo ambayo huitwa ni uchawi.
Tusaidie wewe Kilanga, Maana Kwa Hakika sisi tulio wengi hatujui, Ndio Maana tunahangaika na vitabu na magazeti ya zamani kupata knowledge Hii.Nimeuliza hivi.
Toa definition ya uchawi.
Mpaka sasa hujatoa.
Pia nikauliza hivi.
Hicho unachofikiri ni uchawi unahakikishaje kuwa ni uchawi kweli na si kitu kingine tofauti na uchawi ambacho hujakielewa vizuri tu?
Hujajibu.
Uchawi ni nini?
Hicho unachokiita uchawi unahakikishaje ni uchawi kweli na si kitu tofauti tu ambacho labda hujakielewa vizuri tu?
Nitakujibu wakati ukifika James.Hii promo.
Kwanza umesema hujui wako wapi then una copy za wasap.
Hujui nani kakiiba.
Mara unajua Hadi wanafunzi wake.
Kisha unaifahamu pathy society Dodoma.
Unauza kopi sh ngapi?
Niwasaidie nini?Tusaidie wewe Kilanga, Maana Kwa Hakika sisi tulio wengi hatujui, Ndio Maana tunahangaika na vitabu na magazeti ya zamani kupata knowledge Hii.
Tufundishe Mkuu.