Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
ukiniuliza ivo sina majibu labda nijitaid kudanganya ila mpangilio wa bible nao ni wa kipeekee sanaa
kumbe hayaitaji kuhojiwa asante mkubwa😅😃Maamuzi ya mungu hyahitaji kuhojiwa na sisi, na hata ukihoji kazi bure maana yeye hakuma wa kumzuia kutenda atakalo
Ule Mwanzo Kifungu cha 9 mstari8------ utakutana na Msemo wa Mungu kuwa hataleta tena mafuriko hadi milele, kitu ambacho si kweli,mafuriko yanaendelea kuja kila mwaka na yanaua watu na kuharibu mali.
Au ule upinde wa mvua nao eti ni alama ya agano hilo, wakati ki sayansi upinde unatokana na refraction of light wakati wa mvua au mawingu.Lakini inasemwa eti ndio alama ya kumkumbusha Mungu asilete tena mafuriko.
Mbona upinde unatoka na Mungu huyo hakumbuki ,mafuriko kila mwaka?
Kitabu hiki kinatia shaka sana 'Authenticity' yake
Kwani hata shetani alimuhakikishia Bina damu kuwa ule mti akila utampa manuufaa ya kujifahamu, Mungu alimuachia tuu bila ya kuingilia kati,halafu baadae akajamlaumu Adamu kwa kula mti aliokatazwa.Wangap leo wanafanya mamb kwa njia hasi hata kupelekea vifo vyao lakin mungu hawahamishi njia hiyo? kwann babel tower ikamuuma sana? ange acha mainjinia tu wapige kazi.
Tofautisha visa vya kubuni na vile vya kweli. Visa vy qur-an vyote vimekuwa proved kwenda na ukweli mtupu ,tena wala havipingani na sayansi.Lengo la biblia ni kumtawala mtu basi
Ukiiangalia biblia na qoran zimejaa hadithi na visa vya kubuni ili waendelee kutawala watu
Tofautisha visa vya kubuni na vile vya kweli,
Visa vy qur-an vyote vimekuwa proved kwenda na ukweli mtupu ,tena wala havipingani na sayansi.
Labda wewe unitolee kimoja kwenye Qur-an unadhani ni cha kubuni ili kuthibitisha kauli yako.
Mimi nimetowa hapo juu kwenye Biblia tayari.pls
Hakuna shetaniKwani hata shetani alimuhakikishia Bina damu kuwa ule mti akila utampa manuufaa ya kujifahamu, Mungu alimuachia tuu bila ya kuingilia kati,halafu baadae akajamlaumu Adamu kwa kula mti aliokatazwa.
Kufanya kwake vile iliokuwa sababu ya Bina Damu atolewe Eden ili aanze maisha yake Ardhini kama alivyokusudiwa
Lengo la biblia ni kumtawala mtu basi
Ukiiangalia biblia na qoran zimejaa hadithi na visa vya kubuni ili waendelee kutawala watu
vipi na wewe sio binadamu wa kubuni?
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Kitabu cha mwanzo ni story za kubuni hakina uhalisia wowote kuhusu uumbaji
Ukitaka kujua kiundani labda nikuulize kitabu cha mwanzo kiliandikwa na nani na mwaka gani?
Na hao waliondika walikuwa watu wa taifa gani?
Lengo la biblia ni kumtawala mtu basi
Ukiiangalia biblia na qoran zimejaa hadithi na visa vya kubuni ili waendelee kutawala watu
Ujinga ni hali inayomkuta mtu pindi akikosa elimu
"Sema je wanaweza kuwa sawa wale wanaojua na wasiojua? Wanaotanabahi ni wale wenye akili tu wala sio wajinga " Quran 39:9
Safi kabisa, naona umeinukuu Qur'aan vipi unaiamini au kinyume chake ?
Unaweza kuthibitisha ni kisa gani kilichobuniwa kwenye Qur'aan na kimebuniwa na nani na umejuaje hilo ?
Ahsante.
Zipo stori nyingi sana za kubuni katika Quran inamaana hujapata kuzifahamu kweli?
kwa iyo ww unakubaliana na dome?Na maendeleleo yoote ya unajimu ina Hata picha za satellite hatuzioni kwa macho?
wang
wangap leo wanafanya mamb kwa njia hasi hata kupelekea vifo vyao lakin mungu hawahamishi njia hiyo? kwann babel tower ikamuuma sana? ange acha mainjinia tu wapige kazi