Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Kama hawapo waliokiandika/ kukiandaa kwanini kipo?Kitabu cha mwanzo ni story za kubuni hakina uhalisia wowote kuhusu uumbaji
Ukitaka kujua kiundani labda nikuulize kitabu cha mwanzo kiliandikwa na nani na mwaka gani?
Na hao waliondika walikuwa watu wa taifa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app