Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

sijapigwa kilocho andikwa bali je ukishikisha ubongo inakuwaje ? na kitu kigum mm kuamin kama wajenzi wa babel kuwa wajinga kiasi icho kama watu wanavo dhan
Ni kweli. Vitu vingi vya biblia ukiwaza kibinadamu havileti maana. Just imagine safina iliyojengwa na binadamu na ikatosha wanyama aina zote tena wawili wawili na chakula chao sijui ilikuaje.
 
yan iyo ndo towa kabisa muda mwingine na taman kufa nadhan huko niendako nitapata majibu na maswal counter book imejaaa yan nikiianzisha muswaaada au mdahalo nitapewa na sehemu ya kupimzika na kinywaji bari muswaada uendele kesho
 
mwalim alisema ss tumebarikiwa kuzijua siri za ufalme wa mungu naaana manabiii wengi walitamani kuyashuhudia lakin hawakuweza
 
yan iyo ndo towa kabisa muda mwingine na taman kufa nadhan huko niendako nitapata majibu na maswal counter book imejaaa yan nikiianzisha muswaaada au mdahalo nitapewa na sehemu ya kupimzika na kinywaji bari muswaada uendele kesho
Tatizo linakuja biblia inasema wafu hawajui neno lolote.
 
Ule Mwanzo Kifungu cha 9 mstari8----utakutana na Msemo wa Mungu kuwa hataleta tena mafuriko hadi milele, kitu ambacho si kweli,mafuriko yanaendelea kuja kila mwaka na yanaua watu na kuharibu mali.

Au ule upinde wa mvua nao eti ni alama ya agano hilo, wakati ki sayansi upinde unatokana na refraction of light wakati wa mvua au mawingu.Lakini inasemwa eti ndio alama ya kumkumbusha Mungu asilete tena mafuriko.

Mbona upinde unatoka na Mungu huyo hakumbuki ,mafuriko kila mwaka?
Kitabu hiki kinatia shaka sana 'Authenticity' yake
Usisahau kuwa hata shetani anaweza kuleta mafuriko, kimbunga, tetemeko na majanga yeyote ya
watu kufua

Wakati Shetani anamjaribu Ayubu alipeleka kimbunga ikipiga nyumba watoto wake wakafaa.

Kuna tetemeko lilitokea Japan Ni mkono wa watu waliosababisha tetemeko.
 
Hivi hii "Logic" ina jambo gani jipya ?

Logic imekusaidia kwa lipi kuujua Ukweli,maana naona mnalitumia sana hili neno "Logic".

Ahsante.
Logic ndiyo hufanya vitu kuleta maana, ukishapata maana kunakuwa hakuna shaka bali ni uhakika... Kama kitu hakina logic manake hakimake sense, na kama hakimake sense huwezi kuwa na uhakika nacho.
 
Waterbender,
Usichoelewa ni kipi? Hivi huyo roho wa Mungu alikuwa anawaingia watu wa zamani tu? Siku hizi yupo bize au?

Mkuu ukileta logics kwenye hivi vitabu vya dini hakuna utakachoambulia utakuta wanakuita shetani na majina mabaya mabaya!

Hakuna cha roho wa Mungu wala wa shetani!!
 
Logic ndiyo hufanya vitu kuleta maana, ukishapata maana kunakuwa hakuna shaka bali ni uhakika... Kama kitu hakina logic manake hakimake sense, na kama hakimake sense huwezi kuwa na uhakika nacho.

Haki make sense kwa kuzingatia nini ?

Unaweza kuujua ukweli juu ya nini kinafata baada ya mtu kufa ? Tumia logic kuujua uhakika wa jambo hilo.

Logic ni mtindo wa kufikiri tu, na sio kweli ukijua maana ya jambo fulani shaka inaondoka na unapata uhakika wa jambo, kwani unaweza kulijua jambo uhakika wake bila kujua maana ya jambo hilo.

Wanasema hivi wabobezi wa logic " ....definitions are not able to form concepts of reality because a definition is a statement and claim of a definer."

Naona kwa leo tosheka na kauo hiyo.
 
Ni kweli. Vitu vingi vya biblia ukiwaza kibinadamu havileti maana. Just imagine safina iliyojengwa na binadamu na ikatosha wanyama aina zote tena wawili wawili na chakula chao sijui ilikuaje.
Kwani pale palestina au Jordan au Iraq kuna wanyama wa aina ngapi ?
Si unaona kule ni jangwa na wanyama wachache wa kijangwa jangwa?
Sasa ulidhaniwewe ni wanyama kutoka Afrika ndio walitiwa kwenye safina hiyo?
Inategemea yule Nuhu pale alipokuwa kwa wakati wake kulikuwa na aina gani ya wanyama,na haina maana wanyama wote duniani.
 
Usisahau kuwa hata shetani anaweza kuleta mafuriko, kimbunga, tetemeko na majanga yeyote ya
watu kufua

Wakati Shetani anamjaribu Ayubu alipeleka kimbunga ikipiga nyumba watoto wake wakafaa.

Kuna tetemeko lilitokea Japan Ni mkono wa watu waliosababisha tetemeko.
Ni pale tu Mungu anapomruhusu huyo shetani kufanya jambo ndio huweza kutenda tukio hilo na i vyenginevyo.
Kimsingi Shetani ni kiumbe DUNI sana Amesha dhalilishwa na Mungu tangia siku ile alipokataa kumsujudia Adam.
Lakini Mungu Humpa Kajikauwezo makusudi ili awajaribu viumbe ili kuwathibitishia watu kuwa ama mtu huyo ni Mcha Mungu wa kweli au Mnafiki, na hapo watu hujuwa ukweli wa mambo ulivyo.
 
Kwani pale palestina au Jordan au Iraq kuna wanyama wa aina ngapi ?
Si unaona kule ni jangwa na wanyama wachache wa kijangwa jangwa?
Sasa ulidhaniwewe ni wanyama kutoka Afrika ndio walitiwa kwenye safina hiyo?
Inategemea yule Nuhu pale alipokuwa kwa wakati wake kulikuwa na aina gani ya wanyama,na haina maana wanyama wote duniani.
Sawa, hawa wengine waliumbwa baada ya gharika? Au walikuwepo ila gharika haikuwahusu?
 
Haki make sense kwa kuzingatia nini ?

Unaweza kuujua ukweli juu ya nini kinafata baada ya mtu kufa ? Tumia logic kuujua uhakika wa jambo hilo.

Logic ni mtindo wa kufikiri tu, na sio kweli ukijua maana ya jambo fulani shaka inaondoka na unapata uhakika wa jambo, kwani unaweza kulijua jambo uhakika wake bila kujua maana ya jambo hilo.

Wanasema hivi wabobezi wa logic " ....definitions are not able to form concepts of reality because a definition is a statement and claim of a definer."

Naona kwa leo tosheka na kauo hiyo.
Mbona rahisi tu, we hujui nini hufata baada ya mtu kufa?

Hujui kuwa mtu akifa kinachofata ni mwili huanza kuoza?
 
Sawa, hawa wengine waliumbwa baada ya gharika? Au walikuwepo ila gharika haikuwahusu?
Swali zuri sana.
Mimi nadhani Nuhu aliishi Middle east.
kama hivi leo utasikia Oman Kuna mafuriko, Au india,au China ,unadhanije itakuwa ndio dunia nzima?
Au ile Maangamizi ya Soma na Bomora ,si yalikuwa pale sodoma tuu!
Kwa hiyo yawezekana kabisa maisha yaliendelea sehemu nyingine za dunia kusikokuwa na Nabii yule .
Lakini pia Yawezekena kuwa Maeneo mengine kulikuwa bado hakuna Watu waliopata kuishi. na yawezekana kabisa ikawa watu wote zama zile walikuwa ni Ile communiity ya Noa peke yao duniani.
 
Back
Top Bottom