Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Ni kitabu kizuri in terms if you want to improve your financial position. Lakini kuna subject nyingi sana, religion, finance, relationships, History, spirituality etc. Kitu kizuri kwa kitabu cha seneca anacover all subjects.
Mkuu kama una soft copy msaada
 
 
The Cross and the Switchblade by David Wilkerson, Binding the Devil by George Pfiefer, Bible
 
Vitabu vingi vizuri viko ktk lugha ya kiingereza km VP mvitafsiri na sie tusio jua ngeli tuvisome
 
Wajue adui zako,kuwa makini na marafiki by Nathan Yke Uzorma
 
Watu tunaopenda vitabu vya aina mbalimbali tukutane hapa.. Omba/Toa kitabu chochote ulichonacho.

Mimi naanza, kwa yoyote mwenye kitabu kinaitwa AFRICA'S LOST LEADER aje PM tutumiane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…