Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Jf ....for great thinkers......
Nmeanza na kitabu cha the richest man in babylon.....
Hatare Sana

" Jua nililowaka kwa babu yangu ....ndio litakalo waka Hadi mjukuu wangu atakapo kufa"....ana maanisha maisha ni yale yale tuache visingizio[emoji23][emoji23]
 
Mkuu elimu ya biblia ni tofaut na kile kinachozungumziwa hapa Wal usizan Hawa wanaosema kitabu flan kimebadil maish yake ukazan biblia huwa hasomi na biblia pekee haikufany wewe kukua kiuchumi Zaid utakuwa kiroho tyuu natumai sijamkosea mtu." Biblia Ina nafas yake kiroh na hv vitabu vina nafas yake kiuchumi nk " samahan wana jf Kama nmeend kinyume Ila ni katika Hali ya kuelimishanaa
 
Biblia na Tenzi za Rohoni
 
The road less travelled
 
Mkuu Biblia ina kila kitu, kwa mfano wako huo wa uchimi,kuna watu wengi mule ambao walikuwa vizuri kiuchumi yaani matajiri haswaa na kuna kanunj na njia walizifuata kufikia hapo. Kila jambo ni kanuni,zifuate unatoboa hata hvyo vitabu vingine unavyosema vyote vina kanunu tu.
Pili kuhusu swala la kiroho,everything kwenye hii dunia ni spiritual,so wewe kusema tunasoma kwa mambo ya kiroho tu ni kama umesema kwa ajili ya mambo yote. Haya maisha aliyo yaanzisha ni Mungu(hapa kwa wanaoamini tu) so ni vyema kufuata manual yake ambayo ni vitabu vyake.
NB: Tusome vitabu vya Mungu kimkakati,tujifunze kisha tu apply kwenye real life,na yasibaki maneno tu.
Soma neno,pata ufunuo,nenda nao kwenye maombi,then kazi ianze.Asanthe.
 
Shukran mkuuu [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Mwenye kitabu cha The art of war by Sun tzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…