MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
-
- #141
1. Biblia
2. Biblia
3. Biblia
1. Biblia
2. Biblia
3. Biblia
kweli bibilia inafaa lakini nakushauri usome na vitabu vingine maisha yako hayatabaki kama yalivyo. ila unatakiwa kuwa makini na vitu ambavyo yawezekana havitakua na faida kwako. ndio maana hata wakristo wa sasa wanasoma misaafu na hata waislam wanasoma bibilia ili kujua upande wa pili wanaamini nini na kuwa na maarifa na uelewa wanapokuwa wakipeana changamoto.
inafaida si kwako tu, bali kwa watoto wako, majirani, ndugu, wafanyakazi wako. dunia imekuwa kijiji kupitia vitabu utaweza kujua uzoefu wa watu wa mataifa mbalimbali na kujua jinsi ya kuchangamana.
soma vitabu
Mkuu!
Heshima yako. Kuna kitabu ukisoma huwa kinakushtua kuwa hapo uliko siyo sawa. Halafu ukiendelea kusoma vitabu vingine unazidi kupevuka katika uelekeo mpya. Vitabu vilivyonibadilisha sana maisha yangu ni
[/QU
- Who moved my cheese?
- A monk who sold his Ferrari na
- The Godfather
NAMBA 1&2 NIMESOMA. namba mbili nilmekimaliza last week ilibidi nikihamishie kwenye simu nilikimaliza nikiwa safarini. kimenipa inspiration na nikapata wazo la kuleta huu uzi.
napenda kusoma vitabu ila kidhungu ndo issue
Hi angle, kwanza pole maana ni kitabu kizuri sana ingawa nilikisoma zamani saanaa ningekipata tena I wouldn't mind kukisoma tena
yeah kwa kwel ni ktabu kizuri sana tena sana na mie ndo nakisoma ths time,vingne nlivyowah kusoma ni think big,giften hands ben carson, greatest guide,the monk who sold his ferrar,by robin sharma, keys for leadership,keys for living single by dr.myles monroe...and holy bibleThink and Grow Rich.
By Nappoleon Hill.
Hiki kitabu kilibadirisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana. Kama hujahi kusoma kitabu hiki basi nakushauri ukinunue.kipo mtaani kwa bei kati ya 10,000-15,000.
BIBILIA INA VITABU 66, BE SPECIFIC E.g Mithali? Kuwa nahekima na maarifa ya dunia?Biblia[/QUOT
Hii ni Hazina ya pekee
Asante mkuu kiko powa others can get it right now atThe Power of Positive Thinking-Dr Norman Vincent Pealle.
yeah kwa kwel ni ktabu kizuri sana tena sana na mie ndo nakisoma ths time,vingne nlivyowah kusoma ni think big,giften hands ben carson, greatest guide,the monk who sold his ferrar,by robin sharma, keys for leadership,keys for living single by dr.myles monroe...and holy bible
How to win friends and enfluence people-Dale Carnegie
Hata mimi nimetamani kukusoma hicho kitabu nakipata wapi nijuze tafadhali
Rich Dad Poor Dad
By Robert Kiyosaki
Cashflow Quadrant
By Kiyosaki R.
Huyu Nyangwine ameharibu kabisa uwezo wa watoto kusoma na kuelewa, kinachofanyika kwa sasa ni watoto kukariri mambo bila kuelewa.
wengi wanakisifia