Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

1. Biblia

2. Biblia

3. Biblia

kweli bibilia inafaa lakini nakushauri usome na vitabu vingine maisha yako hayatabaki kama yalivyo. ila unatakiwa kuwa makini na vitu ambavyo yawezekana havitakua na faida kwako. ndio maana hata wakristo wa sasa wanasoma misaafu na hata waislam wanasoma bibilia ili kujua upande wa pili wanaamini nini na kuwa na maarifa na uelewa wanapokuwa wakipeana changamoto.

inafaida si kwako tu, bali kwa watoto wako, majirani, ndugu, wafanyakazi wako. dunia imekuwa kijiji kupitia vitabu utaweza kujua uzoefu wa watu wa mataifa mbalimbali na kujua jinsi ya kuchangamana.

soma vitabu
 
ua exceptional, we need people like you!
 
Mkuu!
Heshima yako. Kuna kitabu ukisoma huwa kinakushtua kuwa hapo uliko siyo sawa. Halafu ukiendelea kusoma vitabu vingine unazidi kupevuka katika uelekeo mpya. Vitabu vilivyonibadilisha sana maisha yangu ni
  1. Who moved my cheese?
  2. A monk who sold his Ferrari na
  3. The Godfather
[/QU

NAMBA 1&2 NIMESOMA. namba mbili nilmekimaliza last week ilibidi nikihamishie kwenye simu nilikimaliza nikiwa safarini. kimenipa inspiration na nikapata wazo la kuleta huu uzi.
 
napenda kusoma vitabu ila kidhungu ndo issue

mkuu soma MIKONO ITENDAYO MAAJABU (GIFTED HAND) ni sawa na THINK BIG, kimetafsiliwa kwa kiswahili kipo madukani.

naamnini wananzuoni wa kiswahili wanaweza kuwekeza kwenye huu mradi wa kuwafikia waswahili wenzetu wote kwa kutafsiri vitabu. lakini mkuu anza mabadiliko taratibu kujua kiingereza maana huko ndiko watu wengi wapo na maarifa mengi yametunzwa. jitahidi utafanikiwa
 
Hi angle, kwanza pole maana ni kitabu kizuri sana ingawa nilikisoma zamani saanaa ningekipata tena I wouldn't mind kukisoma tena

Hem kitafute mkuu, unirushie na mie huku. Hata mi nlikisoma zamani
 
Think and Grow Rich.
By Nappoleon Hill.

Hiki kitabu kilibadirisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana. Kama hujahi kusoma kitabu hiki basi nakushauri ukinunue.kipo mtaani kwa bei kati ya 10,000-15,000.
yeah kwa kwel ni ktabu kizuri sana tena sana na mie ndo nakisoma ths time,vingne nlivyowah kusoma ni think big,giften hands ben carson, greatest guide,the monk who sold his ferrar,by robin sharma, keys for leadership,keys for living single by dr.myles monroe...and holy bible
 
the 90 minute manager. lessons from the sharp end of management
 
HISABATI ZA KIKWETU... Sikumbuki kitabu hiki kimeandikwa na nani, nilikuwa
nazichukia sana hesabu lakini hiki kitabu kilinibadilisha muelekeo nikaanza kuzipenda
hesabu mpaka namaliza chuo, ni kipana kina kava jekundu na maandishi meupe
yaani hata iweje ni vigumu kukisahau kitabu hiki, Mungu ambariki sana Mwandishi.
 
Back
Top Bottom