MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
- #141
1. Biblia
2. Biblia
3. Biblia
kweli bibilia inafaa lakini nakushauri usome na vitabu vingine maisha yako hayatabaki kama yalivyo. ila unatakiwa kuwa makini na vitu ambavyo yawezekana havitakua na faida kwako. ndio maana hata wakristo wa sasa wanasoma misaafu na hata waislam wanasoma bibilia ili kujua upande wa pili wanaamini nini na kuwa na maarifa na uelewa wanapokuwa wakipeana changamoto.
inafaida si kwako tu, bali kwa watoto wako, majirani, ndugu, wafanyakazi wako. dunia imekuwa kijiji kupitia vitabu utaweza kujua uzoefu wa watu wa mataifa mbalimbali na kujua jinsi ya kuchangamana.
soma vitabu