ramadhani kimweri
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 181
- 179
vya kiswahili jamn na ss tufaidike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Capitalist Niggerism sawa hapa nakubali hiki kitakufanya uanze kuwa EnterpreneurCapitalist Nigger cha Chika Onyeani
Nimegugo hicho kitabu cha catholic hata majibu yenye mwelekeo hakunaVipo 3
Bible
What a Catholic should do in marriage by I think is Bruno
Dynamic principles of the mind by Adam Bryan
vip vitabu gan vya kuswahili nivtafutenimekuwa na tabia ya kununua vitabu vilivyoandikwa kwa english, (vya kiswahili pia nitaanza nunua na kuvisoma) ,lengo likiwa kunufaika na maudhui,pili kuwa mahiri katika lugha hiyo, nasoma jokes books,nevels ,self help books.Ni kila aina ya kitabu kimekuwa na msaada wa kipekee katika lugha,kujifahamu na kufahamu kuhusu watu na kukabiliana na changamoto kadha wa kadha.nitorodhesha mchango wa kitabu kimoja kimoja kadri nitavyopata muda
kitabu gani serious unanishauri nisome?
I'm into everything my dear.
Got a passion for reading!!!!
waombe mods wauache huu uzi bila kuunganisha. tunahitaji nyuzi nyingi za namna hii.
Nimeishawaambia mkuu.
cvya kiswahili jamn na ss tufaidike
nimevicheki wikipedia nimeona hicho collapse maudhui yake yanafanana na Why nations fail. ngoja nianze na hicho kwanza. ntaleta mrejesho.I hope sinta ku bore, vitu vyangu viko boring kidogo..lol
Sijui kama umesoma Guns, Germs, and Steel, cha Jared Diamond, hata Collapse is good. Vitabu vyake ni heavyweight.
c
nimevicheki wikipedia nimeona hicho collapse maudhui yake yanafanana na Why nations fail. ngoja nianze na hicho kwanza. ntaleta mrejesho.
sina utalaam navyo ,binafsi nitaanza na vitabu vya shaaban robertvip vitabu gan vya kuswahili nivtafute
kuna kimoja kinaitwa BOSI. jamaa alipewa ukuu wa wilaya enzi za oparesheni sogeza. alikuwa anajiona yeye ndiyo yeye. alitembelea shule akaona kabinti kanakatika vizuri, akakaoa! . alifanya ishu nyingi za ajabu. mwisho akavurunda kwenye operation sogeza na kutumbuliwa. kitabu kizuri sana ila sidhani kama kinapatikana kirahisi. cc ramadhani kimwerisina utalaam navyo ,binafsi nitaanza na vitabu vya shaaban robert
nitajaribu kukitafuta aiseekuna kimoja kinaitwa BOSI. jamaa alipewa ukuu wa wilaya enzi za oparesheni sogeza. alikuwa anajiona yeye ndiyo yeye. alitembelea shule akaona kabinti kanakatika vizuri, akakaoa! . alifanya ishu nyingi za ajabu. mwisho akavurunda kwenye operation sogeza na kutumbuliwa. kitabu kizuri sana ila sidhani kama kinapatikana kirahisi. cc ramadhani kimweri
Mkuu ni wazo zuri sana na ningeshauri huu uzi wako usingeunganishwa na huu... Anyways, ngoja nikisome hiki kitabu kwanza.. Kitu ninachojua na wengi nadhani hawajui ni kwamba matajiri wakubwa tu wanapenda sana kusoma hivi vitabu. Siku moja niliingia ofisini kwa tajiri mmaarufu tu nikakuta vitabu vya aina hii vingi tu mezani kwake..Wasalaaam ndugu zangu, natumai wote ni wazima.
Leo hii naanzisha huu uzi kwa dhumuni zuri na maalumu la kusambaza maarifa kwa wanajukwaa hili na pengine watu wengine wa nje ya jukwaa hili.
Mpango ni kurusha vitabu mbalimbali kwenye jukwaa hili ambavyo vitaweza kuwasaidia watu na kuweza kuwapanua uwezo wa kiakili endapo utakuwa umesoma vitabu vizuri na bado unavyo itakuwa ni vema ukirushe kwenye uzi huu ili watu mbalimbali wasome na waelewe.
Natumai watu wa kada mbalimbali watapita na hakuna mtu ambaye atakosa cha kujifunza hapa. Sasa vitabu vinaweza kuja kwa mfumo wa PDF, MOBI, EPUB etc. Na kama utakuwa na hard copy basi watu wanaweza kukutafuta kama tu mtakuwa mekubaliana.
Natanguliza shukrani zangu.
Mimi naanza na kitabu kizuri sana ambacho kimenisadia kwenye kukuza uwezo wa kufikiri mambo kwenye biashara. Kinaitwa "The Go Giver" nashauri mtu akipata muda akisome.
Kama kimenisaidia basi natumai hata wewe kitakusaidia.
Kwa kifupi kinaelezea jinsi gani ambavyo mtu anaweza kufanya biashara kubwa lakini bado biashara hiyo itaipa jamii inayomzunguka faida.
Tofauti na mawazo ambayo wafanya biashara wengi na wajasiriamali wanakuwa nayo kwamba biashara ni faida tu na utafanya biashara sehemu yenye faida tu.
Kinaanza na mtu moja alikuwa ni kijana mdogo anafanya kazi kwenye kampuni fulani huko MAREKANI sasa akawa anahangaika sana kupata utajiri wa haraka. Kila siku alikuwa na mipango mikubwa ya biashara lakini hafanikiwi. Siku moja akapata nafasi kukaa na tajiri mkubwa huko MAREKANI na akaambiwa sifa ya kuwa Tajiri ni lazima ujifunze kutoa kwa watu kabla ya kutanguliza faida.
Mbeleni kinaonyesha jamaa analalamika kwamba ukifanya biashara kwa huruma huwezi kutajirika hata siku. Lakini akakutana na tajiri mwingine ambaye alimueleza vilevile. Na mwishowe akaja kujua kama matajiri wakubwa wote wanakuwa na sifa zinazofanana.
Young Malcom.
CC: UncleBen , FisadiKuu , MSEZA MKULU , Consigliere