King nasCo
Member
- Oct 5, 2015
- 9
- 2
Write your reply...nakubali. Always vitabu ni dawa ya kifikra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie soft vopyNelkon & Parker.
Jamni .tushee wote.mzitumeMtafute Sidney Sheldon....This is the person who inspired Dan Brown to begin writing thriller fictional novel
Huyu huwez anza novel yake leo uweke chini zina flavour yake
Sidney Sheldon was a master who inspired masters in thriller and crime novel...
Tafuta novel yake yoyote utaniambia
Jamani mi biblia imenibadilisha kabisa mfumo mzima wa maisha yangu
Huwa naamini misingi Ya kufanikiwa ipo kwenye Biblia .
Ujasiri, kutumaini katika unachokifanya, upendo, subira, uvumilivu, kuwa na kias katika mambo tuyafanyayo yote haya utajifunza ukisoma na kutafakari biblia.
Umuhimu wa juhudi katika kazi, kujari maslah Ya wengine, kuwainua wengine Kwa kuitumia nafasi yako, kuyatambua na kuyatimiza majukumu yako kifamilia, kuishi vizuri na mke na watoto,,, yote haya utayajua ukisoma na kuitafakari biblia.
Kutowahukumu wengine, ukuhimu wa sadaka, Shukran na sehemu Ya kumi Ya mapato yako pia kuweza kuicontrol pesa ili isiharibu uhusiano wako na mungu na wanadamu na kuuchafua utu wako.
Ni mengi sana nimejifunza na bado naendelea kujifunza na kuapply katika maisha halisia kiukweli ni raha sana ,,mimi ilikua ukinizingua lazima nikupasue au nikutapikie lakini sasa hivi natumia positive alternative kukabiliana na wewe
Poor dad Richard dadVitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
=========
Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
Think and Grow Rich, andThe Holly Bible,
The Richest man in Babylon,
Think and grow rich,
Rich Dad Poor Dad,
Mwanzo wa Kuwa Tajiri by Mabula Jilala(Tz).
Hiki kitabu kipo vizur saana , thou ndo nmekianza !!!! Page za mwanzon tu ila naona kinanisaidia haswa jins ya kuwa na alternative /plan b katika jambo linalokutatiza........ Stress zinapungua saanaStop Worrying and Start Living. by Dale Carnegie
Kiyosaki yuko straight to the point sana kuliko Napoleon kwa mtazamo wangu!Ukisoma "Think and grow rich-Napoleon Hill" lazima utakuja kuedit hiyo reply yako.
NOTE:
Nimesoma vyote hivyo viwili na nilianza na hicho cha Kiyosaki nikawa nakisifu kama wewe ulivyoandika
![]()
Hiki mimi kimenishinda kina lugha ngumu mpaka sikielewi!The Richest Man in Babylon
(Unfortunately sijakimaliza) ila ni kitabu kizuri sana kwa mtu ambaye anataka ujuzi wa kutengeneza utajiri kutoka level ndogo ya kipato