Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
Mnaonaje tuki create book club?
Good idea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaonaje tuki create book club?
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
yebhe mseza mkulu iwe uliwaluganda ki?
HISABATI ZA KIKWETU... Sikumbuki kitabu hiki kimeandikwa na nani, nilikuwa
nazichukia sana hesabu lakini hiki kitabu kilinibadilisha muelekeo nikaanza kuzipenda
hesabu mpaka namaliza chuo, ni kipana kina kava jekundu na maandishi meupe
yaani hata iweje ni vigumu kukisahau kitabu hiki, Mungu ambariki sana Mwandishi.
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
Mkuu humu kunauzi mmoja unahusu vitabu watu wali upload vitabu vingi sana ulishawahi kuuona
Wakuu ningeomba kila anayetaja kitabu aseme pia kinapatikanaje, maana vyote mlivyotaja mimi navitamani.
Biblia
Hem kitafute mkuu, unirushie na mie huku. Hata mi nlikisoma zamani
Siyo kila aina vitabu acha kamba hakuna bookshop ya hivyo Tanzania.Mlimani city kuna bookshop ina karibu kila aina ya vitabu..
Ndo maana mi nimeandika Tranter, Eng. Maths maana namba ndo zinaniweka mjiniNaona watu wengi wanatoka nje ya mada badala ya kuandika vitabu vilivyosaidia kubadilisha maisha Yao wanaandika vitabu ambavyo ni favorite kwao..... wengine wanaandika vitabu ambavyo vina fiction story