Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

Kwanza kabisa Bible, then vitabu vya kawaida ni "Rich Dad Poor Dad" cha Robert Kiyosaki
 
Kunahuyu jamaa anaitwa Brian Tracy anakitabu chake nakikubali sana nikasikia anakuja bongo kufanya semina nimeona mtu kaweka tangazo humu I wish ningekuwa tz
 
HISABATI ZA KIKWETU... Sikumbuki kitabu hiki kimeandikwa na nani, nilikuwa
nazichukia sana hesabu lakini hiki kitabu kilinibadilisha muelekeo nikaanza kuzipenda
hesabu mpaka namaliza chuo, ni kipana kina kava jekundu na maandishi meupe
yaani hata iweje ni vigumu kukisahau kitabu hiki, Mungu ambariki sana Mwandishi.

hicho kitabu nakikumbuka. Hata mi kilinipa msaada sana
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

Mkuu humu kunauzi mmoja unahusu vitabu watu wali upload vitabu vingi sana ulishawahi kuuona
 
Mkuu humu kunauzi mmoja unahusu vitabu watu wali upload vitabu vingi sana ulishawahi kuuona

niliwahi kuuona mkuu, nikadownload vitabu kama nane hivi, nimeutafuta sijauona tena. kama unakumbuka fanya mambo tuulink ili watu wapate madini.

ahsante
 
Mlimani city kuna bookshop ina karibu kila aina ya vitabu..
Siyo kila aina vitabu acha kamba hakuna bookshop ya hivyo Tanzania.

Nenda kaangalia hivi vitabu kama vipo hapo Mlimani City.

1. A Modern History of Tanganyika, kimeandikwa na John Iliffe.

2. The Making of Tanganyika, kimeandikwa na Listowel Judith.

3. The Critical Phase in Tanzania, kimeandikwa na Pratt Cranford.

Vipi vingi hivi vitabu mimi nimevikuta mzee wangu anavyo sijui kama vipo Tanzania.

Tafuteni hivyo vitabu mtaijua vizuri Tanganyika.
 
soma The Peter Principle by Dr. Laurence Peter, na pacha wake The Peter Prescription ujue jinsi dunia inavyokwenda. Wajue wanadamu, jamii, uongozi, biashara na kuitambua nafasi yako, na kanuni rahisi za kuendesha yote KWA MAFANIKIO.
vinapatikana online (Google it)
 
Naona watu wengi wanatoka nje ya mada badala ya kuandika vitabu vilivyosaidia kubadilisha maisha Yao wanaandika vitabu ambavyo ni favorite kwao..... wengine wanaandika vitabu ambavyo vina fiction story
Ndo maana mi nimeandika Tranter, Eng. Maths maana namba ndo zinaniweka mjini
 
Back
Top Bottom