Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

bible.jpg


Hakuna kingine

Hiki ni kitabu kikuu sana kwangu!!!!!!!
 
Kiyosaki author mzuri sana kwa masuala ya uchumi kitabu chake chochote ni cha kusoma kama unataka kubadili mtazmo wako juu ya maisha yako kiuchumi

This guy I give him much respect.... Uchumi ameurahisisha sana.... Ukivisoma kwa makini vitabu vyake huji tamani kuajiriwa..... Usipokuwa makini unaweza hata usimuheshimu boss wako kazini.
 
Kipo kimoja kinaitwa "Who Moved My Cheese" cha Dr. Spencer Johnson. Mm kilinibadisha embu jaribu kukisoma ni kifupi kama 40 pgs only na kiko free unaweza kudownload free ktk internet.

Heshima kwako mkuu..kitabu nimekipenda sana
 
ANALECTS:WAY AND ITS POWER, kwa wapenzi wa sayansi ya utambuzi na ufahamu ni kizuri mno
 
Kwa wale pia wanaopenda kujenga Ndoa zao katika misingi bora maana hapa ndipo maisha huanzia na kuimarika zaidi someni kitabu cha GOD's MASTER PLAN FOR MARRIAGE By Stephen & Georgina Adei, Ni kitabu kizuri sana hata kwa wale wanaotarajia kuingia kwenge ndoa. Nakipenda sana coz kimetujenga sana Mimi na Mke wangu na familia kwa ujumla.
 
Kitabu cha kwanza ni INTERNATIONAL MEAT CRISIS. Cha pili ni THE VATICAN AGAINST EUROPE. Cha tatu ni THE BLACK POPE. Cha nne ni THE SECRET TERRORISTS na cha tano ni KING JAMES BIBLE VERSION, SIYO NEW VERSION.
 
Kwa kweli bible is the best book coz ni life itself ukiishi na kuifata ni somethn very valuable pia kunakitabu cha Joyce mayer kimebadili sana mtazamo wangu kifikra kinaitwa BATTLE FIELD OF THE MIND I wish watu wakisome
 
Back
Top Bottom