VITABU DHAHABU
Member
- Dec 20, 2020
- 34
- 58
Kama mada inavyojieleza, karibu sana katika kurasa huu wa wapenzi wa kusoma vitabu utushirikishe ni kitabu gani kimebadirisha maisha yako ungependa wengine wakisome
Lindu ampiga kampilima"Muwa wazamisha meli"
"Kilambo, sikulamba sukari"
Na ungamkono kitabu na 1&3 ni hardcopy zake kabisa home.1. Rich dad poor dad
2. What i learn at CIA
3. Rich man in babylon
Na ungamkono kitabu na 1&3 ni hardcopy zake kabisa home1. Rich dad poor dad
2. What i learn at CIA
3. Rich man in babylon
Hii namba mbili naunga mkono....kilinitoe kwenye stressEscalate
Power of sub conscious mind
the Monk Who sold his ferrari
Nitumie WhatsApp yako nikutumie ninazo nyingiMwenye series za willy gamba anisaidie nazipenda story zake