Kitabu Gani kimebadilisha maisha yako ungependa wengine wakisome

Kitabu Gani kimebadilisha maisha yako ungependa wengine wakisome

Shaaban Roberts - Adili Na Nduguze.
Siwezi sema kimebadilisha Maisha yangu ,Ila muandishi anaweza,natamani wengine pia wapate utamu wa fasihi ya kiswahili
 
Tajiri cover-1.png
 
Lindu ampiga kampilima
Chilunda apambana na chui
Chunguza
Machaku na njiwa
Juma na uledi


Mutegeki na nyembo
Chopeko na mnofu
Fuata nyuki ule asali
Androko na simba
androko na simba we mwehu umenikumbusha mbali sana
 
Napendekeza kama mtu ana soft copy ya kitabu hicho kilichombadilisha ambatanishe pia.Asante
 
1. Biblia

2. Watoto wa mama ntilie.. hiki kilinifanya niuchukie mno umaskini kwa dhati. Ingawa nilisoma nijibie mtihani form four lakini stori ya mule ilinigusa sana.
 
Back
Top Bottom