KyemanaMugaza
JF-Expert Member
- Jan 7, 2025
- 361
- 592
Gifted Hands,Take the risks, Think Big vyote vya Dr Ben Carson
Atomic habitsKama mada inavyojieleza, karibu sana katika kurasa huu wa wapenzi wa kusoma vitabu utushirikishe ni kitabu gani kimebadirisha maisha yako ungependa wengine wakisome
- Outliers - Malcom Gladwell
- Nonviolent Communication - Dr. Marshall Rosenberg
- When breath becomes air - Paul Kalanithi
Imagine sijui hata kimoja kati ya hivyo
- Outliers - Malcom Gladwell
- Nonviolent Communication - Dr. Marshall Rosenberg
- When breath becomes air - Paul Kalanithi
Nilinunua amazon na hicho kitabu cha pili nilisoma soft copy kindle.Tutavipataje hivi ?
Sasa umevijua, angalia maelezo yake online na kama utapenda chochote ukisome.Imagine sijui hata kimoja kati ya hivyo
Sawa nakujaNitumie WhatsApp yako nikutumie ninazo nyingi
Karibu sana madamSawa nakuja
Mtego huo ohooo utaliwa kimasiharaSawa nakuja