Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Paragraph ya 1-9 hayupo alofungua codes zake.

Codes zilizofunguliwa ni kuanzia paragraph ya 10 na kuendelea.

Naamini walioandikiwa wameelewa, tusiumize KICHWA Bure.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
A cry of pain, Ooh Lord hear my prayers!
 
A cry of pain, Ooh Lord hear my prayers!
Mungu amelikumbuka Taifa letu Tanzania.

Nchi haitaadhibiwa tena Kwa makosa ya viongozi wao,

Mungu atashughulika direct na wote wanaowatesa Wana wa Mungu.

Kuna watu Kwa nje wanaonekana wenye furaha sana na AFYA tele, bt UTELEZI utawakumba Kwa ghafula na kupotelea gizani.

Aaamen.
 
Amen, I believe and receive in Jesus Christ's name...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…