Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

The clinic mkapa aliandika kwenye Kitabu chake kwamba ni pale msasani kwa mwalimu.

Kama hiyo ni sahihi basi ngoja niweke makisio yangu.

Stronghold ndio ngome?

Aliyenyoosha mikono sio Imran kweli?

Mkubwa kwa kukaimu hawezi kuwa Mahiga?

Huyo aliyerudishwa akawa namba mbili halafu tena akawa mkubwa bila nafasi ya juu sio Kiwelu? Nakumbuka huyu alirudi bila kutegemewa miaka ile na kuwa CoS.

Kama hii ndio basi ni taasisi ndani ya taasisi.
Qmmmmq mmmh mfyuuu
 
JAL 1 is done 2 and 3 are next!

KWA hiyo mnaanza na 2 halafu 3 atafuata siyo!!?
Baada ya mstaafu kustaafishwa na ile next stage ambayo imeshaandikwa!!

Ni dhahiri mwandishi anasisitiza baada ya kustaafishwa mstaafu na next stage operation KUWA on na kukamilika ndipo tuanze kuhesabu siku tisini na nyingine mia themanin tayari,ndio kitabu kipya kiwe tayari kutimiza Ili mwingine asiharibu tena!!



Kama JAL 1 is done ina maana original plan ni JAL 2 and 3 wawe done ndio tumpate yule aliekusudiwa KWA digit 12 zileee!!!

Aiseh very interesting !!
 
Yanafanyika SIRINI....muhimu ni amani ya lile pande la ardhi tu....

Utulivu wa watu wake.....
Amani yao......

Yeyote mwenye kutaka ibadilike "status quo" analeta madhara kwa watu wa lile pande la ardhi EDEN ya dunia........

#SiemprePandeLaArdhi[emoji120]
Ngorongoro
 
Wakuu

'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.

Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.

Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).

Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.

Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.

Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.

Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.

Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.

Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.

Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.

Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.

Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.

Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.

theState.
Mmeshafeli au?kwa maana mama kasema kitabu hakina faida kivile.
 
Mmeshafeli au?kwa maana mama kasema kitabu hakina faida kivile.
"Hivi kuna mwingine atayafanya haya nikiondoka kweli"!sauti ya jpm Akiwa kigongo na Busisi wakati ule!!

Kauli ile haitofautiani na hii ya mama!!!

Mi nadhani ukiwa kitini HUWA wanapewa drugs za kupoteza UMAKINI sio bure KWA kauli zao hizi mkuu!!
 
The state ni tofauti na st Peter's

T.A ni mwenyeji wa mkuranga

Ni mkristo

Anatumiwa na boys 2 men..

Anatumiwa kuwatisha viongozi ili wafuate matakwa ya kundi lao..

Mpango akifa chanzo ni huyu...

Sio the state kama anavyojitapa, ni kikundi chenye nguvu kinachoongoza hii nchi indirectly.
 
Back
Top Bottom