Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Kwanini nzuyi hii na nyingine yenye maudhui kama haya zimeibuka tena leo kuna nini kwenye anga la Tanzania?
 
Beware of the "fronts" and "rumors " as they will always lead you to their cul de sacs.
 
theState imeenda deep sana
Why mongering to impact washika usukani na siyo abiria?


Yalaaniwe matumbo yao yanayokula bila kuheshimu shamba
 
Mzee Warioba arudishwe ktk Tume amalizie KAZI aloianza iliyotukuka.

Tunamwombea, aione siku Ile nzuri ambayo Taifa litapata Katiba mpya. Siku ambayo hatimaye wananchi wataandika katiba ilotokana na maoni na matakwa Yao wenyewe.

Waasisi wetu Kwa Uzalendo wao walijitahidi kutupa Katiba iliyopo iliyotufikisha hapa tulipo tukiwa na UMOJA na Amani.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA.

Amen
 
Katiba bila maadali mazuri ni kukamilisha ajenda ya kisiasa na sio kutatua vikwazo vya maendeleo kwa wananchi.
 

Hizi story ndio mnavyoanzaga.
 
Yanafanyika SIRINI....muhimu ni amani ya lile pande la ardhi tu....

Utulivu wa watu wake.....
Amani yao......

Yeyote mwenye kutaka ibadilike "status quo" analeta madhara kwa watu wa lile pande la ardhi EDEN ya dunia........

#SiemprePandeLaArdhi[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…