Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Aliona mapungufu ya Magufuli, hakuyaona ya Kikwete...

Haku act kwenye escrow Richmond na wadogo zake ila anajiita thestate..

Kwanini haku act kwenye utawala wa Kikwete, jibu ni alikuwa MNUFAIKA wa zile deals...
 
Recrato
Logasto
Financo

Hizi code tafadhari uzi uwe mwepesi.
 
Kuna wakati naona giza mbele na kuna wakati naona mwanga
Kuna Mipango ya Mungu na kuna Mipango ya shetani
Sioni mama akiendelea 2025 ....naona katiba mpya ikipatikana.

Vp bado unaona?
 
Daaaah walioielewa basi watufafanulie Maslow Lena[emoji3061][emoji3061][emoji3061]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…