Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakukubali sana kaka,na hii code ya leo hatariWakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).
Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.
Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.
Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.
Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.
Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.
Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.
Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState.
Mimi nilipoielewa The clinic kwamba ni nyumbani kwa mwalimu basi nimeanza kufungua baadhi ya code.Nilichodecode ni
AIC ni CIA
SIN ni NIS
6IM ni MI6
Hizi ni idara za Usalama ambako hao jamaa tajwa (vijana) wamepata mafunzo
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mkapa aliandika kwenye Kitabu chake kwamba the clinic ni nyumbani kwa mwalimu pale msasaniNashauri tusitoe kwanza maoni. Turudie kusoma tena na tena hata wiki nzima.
Serikali mbili hata mimi naziona.Serikali mbili, raisi aliyepo hatarudi madarakani, ogani CCM, Recrato Kinana au Nchimbi..
Katiba mpya yenye serikali mbili.
Ngoja tuendelee ku-decode.
Kwa Nyerere pale msasani ndio the clinic, mkapa aliandika kwenye Kitabu chakeNaona maruweruwe tu.
#MaendeleoHayanaChama
MtatWakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).
Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.
Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.
Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.
Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.
Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.
Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.
Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState.
MKUU mtatupasua mishipa ya Kichwa!!naishi katika kipindi kigumu Sana hiki!!aiseh!!Lakini mkuu mmeandaa mwingine Mwenye kipaji kama hiki!!?cha uandishi kama HUO!!?yupo kweli!!?au mnazeeka na kuondoka na iutuacha HIVI HIVI kimaskini hivyo au Sio!!!?mnatuumiza aiseh!!Wakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).
Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.
Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.
Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.
Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.
Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.
Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.
Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState.
uko sahihi..Mwanzoni sijakusoma aisee.
The clinic mkapa aliandika kwenye Kitabu chake kwamba ni pale msasani kwa mwalimu.
Kama hiyo ni sahihi basi ngoja niweke makisio yangu.
Stronghold ndio ngome?
Aliyenyoosha mikono sio Imran kweli?
Mkubwa kwa kukaimu hawezi kuwa Mahiga?
Huyo aliyerudishwa akawa namba mbili halafu tena akawa mkubwa bila nafasi ya juu sio Kiwelu? Nakumbuka huyu alirudi bila kutegemewa miaka ile na kuwa CoS.
Kama hii ndio basi ni taasisi ndani ya taasisi.
your right.Serikali mbili hata mimi naziona.
The clinic mkapa aliandika kwamba ni nyumbani kwa mwalimu pale msasani hivyo hao unaowataja wanaweza kuwa sio.
Hii ngoma unaweza kurudia mara kumi na bado kila unapoona umeelewa kumbe ndio unapotea! Katiba mpya pekee ndio wengi wamenasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tuliosoma hgl mnatutesa [emoji38][emoji38][emoji38]
Tunahitaji katiba mpya itakayotokana na maoni ya raia wa hii nchi, sio kikundi cha watu wachache.Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Kama nimeelewa jamaa anataka ile ya warioba ambayo ndio ya wananchi. Tofaut naona hapo kwenye serikali mbili.Tunahitaji katiba mpya itakayotokana na maoni ya raia wa hii nchi, sio kikundi cha watu wachache.
Yap!...huko ni kupingana na maoni ya raia waliotaka ziwe tatuKama nimeelewa jamaa anataka ile ya warioba ambayo ndio ya wananchi. Tofaut naona hapo kwenye serikali mbili.
Hii ya leo codes nzito mno, kindergatten nimeambulia zero in Magu's voice😂😂😂Wakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Recrato ulitolewa kule na umekidhi vigezo. Utashughulika na upatikanaji wa watu. (Upatikanaji ulipokuwa mgumu kwasababu alikuwa nje ya stronghold ikabidi arudishwe tena kuwa namba mbili).
Baadae sana alipewa sifa ya juu kabisa ingawa hakushika nafasi ya juu. Aliendelea na kazi 'on the ground' mpaka alipomkabidhi 'Recrato II' miaka kadhaa kabla hajatangulia.
Logasto, ulifanikisha kazi mbalimbali siku zilizopita. Sasa utashughulikia kuwaunganisha wanaoletwa na Recrato kwa mafunzo. Utahakikisha wanafika kwenye handling ya Financo.
Baadae majukumu yake yalichukuliwa na 'Logasto II'. Hakufanikiwa kuaminika juu ya mawasiliano fulani. Ingawa alinyoosha mikono, lakini vyuma vilipenya.
Financo, wewe ni mkubwa kwa kukaimu, ninataka nikupeleke mbali. Nenda kajifunze namna ya kutunza mfuko wa ogani ili uendelee kukua. Pia utasimamia mafunzo mbali huko.
Aliendelea kufanya kazi mpaka alipokabidhi majukumu kwa 'Financo II'. Alirudi, akaongoza tena muunganiko wa nje. Akapelekwa kwingine na akatangulia akiwa huko.
Baadae ilibidi apatikane atakayeongoza wote. Recrato akafanya kazi hatimaye akapatikana mwanzoni mwa muongo mpya. Akapata mafunzo hapa na huko. In his early 30s akakabidhiwa.
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.
Wakati boss anatoka akasema hii imekamilika. Aga kabisa maana hautarudi. Nilishtuka sana maana namfahamu vizuri. Basi hivyo ndio ninafanya. Ninaaga.
Bado naitafakari hii ndoto tangu nilipoamka. Ngoja tuendelee kusubiri.
theState.
Aise mimi hapa nimekuzidi kwenye ku decode....upo mbaaali na ukweli!Mwanzoni sijakusoma aisee.
The clinic mkapa aliandika kwenye Kitabu chake kwamba ni pale msasani kwa mwalimu.
Kama hiyo ni sahihi basi ngoja niweke makisio yangu.
Stronghold ndio ngome?
Aliyenyoosha mikono sio Imran kweli?
Mkubwa kwa kukaimu hawezi kuwa Mahiga?
Huyo aliyerudishwa akawa namba mbili halafu tena akawa mkubwa bila nafasi ya juu sio Kiwelu? Nakumbuka huyu alirudi bila kutegemewa miaka ile na kuwa CoS.
Kama hii ndio basi ni taasisi ndani ya taasisi.
Fungua za kwako tuzione.Aise mimi hapa nimekuzidi kwenye ku decode....upo mbaaali na ukweli!