Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Nakukubali sana kaka,na hii code ya leo hatari
 
Serikali mbili, raisi aliyepo hatarudi madarakani, ogani CCM, Recrato Kinana au Nchimbi..
Katiba mpya yenye serikali mbili.
Ngoja tuendelee ku-decode.
Serikali mbili hata mimi naziona.
The clinic mkapa aliandika kwamba ni nyumbani kwa mwalimu pale msasani hivyo hao unaowataja wanaweza kuwa sio.
 
Mtat
MKUU mtatupasua mishipa ya Kichwa!!naishi katika kipindi kigumu Sana hiki!!aiseh!!Lakini mkuu mmeandaa mwingine Mwenye kipaji kama hiki!!?cha uandishi kama HUO!!?yupo kweli!!?au mnazeeka na kuondoka na iutuacha HIVI HIVI kimaskini hivyo au Sio!!!?mnatuumiza aiseh!!
 
uko sahihi..
 
Wanataka sasa kile kitabu cha zamani kiachwe. Kipya kiwe kile kilicholetwa mwanzo lakini kifanyiwe badiliko dogo ndipo kithibitishwe. Idadi zibakie mbili kama zilivyo. Wote kuanzia AIC, SIN na 6IM wamefanya utafiti.
Tunahitaji katiba mpya itakayotokana na maoni ya raia wa hii nchi, sio kikundi cha watu wachache.
 
Hii ya leo codes nzito mno, kindergatten nimeambulia zero in Magu's voice😂😂😂
 
Aise mimi hapa nimekuzidi kwenye ku decode....upo mbaaali na ukweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…