Swadakta.
Kwa hiyo unapingana na hoja ya wasomi na historia wanayoifundisha hapo Makerere, niliyokubandikia hapo juu? maana kitabu hujakisoma, au na hiyo pia hujaisoma? kama umeisoma hebu nioneshe Msafwa na Mnyakyusa uliowataja wapo katika hiyo historia ya Wabantu au hawapo?
Ukimaliza hilo, sasa soma wanasayansi wa vinasaba wanasema nini:
New DNA evidence suggests "African Eve", the 150,000-year-old female ancestor of every person on Earth, may have lived in Tanzania or Ethiopia.
A genetic study has shown that the oldest known human DNA lineages are those of East Africans.
The most ancient populations include the Sandawe, Burunge, Gorowaa and Datog people who live in Tanzania.
Researchers found a very high amount of genetic variation, or diversity, between the mitochondrial DNA of different individuals in these populations.
Chanzo na soma zaidi:
BBC NEWS | Science/Nature | Tanzania, Ethiopia origin for humans
Cha kushangaza, hakuna Mbantu katika hayo makabila.
Ndiyo maana huwa nnauliza, jee mnaijuwa historia ya wa Iraqw wa Tanzania? Wengi hawajibu, wachache wanaojibu husema asili ya wa Iraqw ni Waarabu wa Iraq, lakini sayansi ya vinasaba kama ilivyoripotiwa na BBC na niliyokuwekea hapo juu, inasema hao ndiyo katika binaadam wa mwanzo duniani na asili yao ni Tanzania ya leo na huko kwengine kote walikwenda tu.
Sijui hicho kinakufundisha nini?