Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

Hana jipya pamoja na usomi wake ila kichwani kumejaa makamasi, yani muarabu ni mwenyeji wa Pwani ya AM? Mbona waafrika sio wenyeji wa Oman na arabuni hata kama ni waislam. Baada ya kuwaua kinyama kiasi kwamba leo huwezi kuta kizazi cha mtu mweusi arabuni japo walienda kibao kama watumwa zaidi wahamiaji weusi wanaishiwa kunyanyaswa tu kama mbwa.

Pili, anaanzaje kukanusha kwamba waarabu hawakuwatesa watu weusi? Anajaribu kuficha ukweli sababu tu yeye ni muarabu

Kikubwa nilichojifunza hapa ni kwamba hawa jamaa wanafundishwa kulalamika yani hata wasome kiasi gani kulalamika kuko damuni mwao, sijui kulalamika ni moja ya ibada kwao

Hizo zako ni porojo, Qabus mwenyewe, Sultan wa Oman si mweupe. Weusi au weupe hauna fursa katika Uarabu au Uafrika.

Ni ujinga tu uliojazwa shuleni ndiyo unakufanya uyaone hayo. Na sijuwi kama kuna ataeweza kukufuta huo ujinga kwani uko imprinted kwenye genes zako, vibaya sana.

Mbantu Afrika ya Mashariki ni mgeni na alikuta wenyeji hapa, jiulize ni akina nani?

Leo wewe mtu mweusi na Afrika ya Kusini ni watu weusi na unaimba kila siku "Afrika ni moja", vipi wa Afrika wa Afrika ya Kusini wanakuuwa na kukufukuza kwao? nenda kadai kuwa wewe ni kwenu pale kuliko Mkaburu, uione kasheshe yake.
 
FaizaFoxy Mbantu kukuta wenyeji AM hakufanyi wenyeji hao kuwa ni waarabu. Muarabu alimkuta mtu mweusi AM na Afrika ni ya mtu mweusi period. History na kila aina ya kithibiti vinathibitisha hilo.

Kaburu kuwa SA zaidi ya miaka400 hakufanyi SA kuwa ya kaburu na mtu mweusi kuwa mgeni kwenye ardhi yake mwenyewe. Mwisho utasema Marekani ni ya mtu mweupe na red indian alikua mgeni pale, au African American ndio mwenyeji zaidi America kuliko mtu mweupe na Red Indian.

Muarabu na wazungu wote walimuua mtumwa mweusi kama mnyama, ajabu leo watu mnajitokeza kutetea eti waarabu walikuwa wakiishi kwa amani na watu weusi. Mamia ya watumwa weusi walipelekwa uarabuni vizazi vyao viliishia wapi? Mbona waarabu wapo hapa hadi leo kama mmarekani mweusi alivyo marekani hadi leo.

Najua unamtukuza kila mwarabu na kukubali kila asemacho as if waarabu wote ni mtume. Nitakua mpu.mbavu na wa mwisho kukubali et AM ni ya waarabu na waafrika ni wageni hapa.
 
Last edited by a moderator:

Hayo ndiyo makosa uyafanyayo, Uarabu si rangi wala si kabila - kumbuka hilo. Ukichanganya tu rangi unakosea sana tena sana.

Mimi nataka wewe uniambie Wabantu walimkuta nani Afrika ya Mashariki, si kwa kukisia kwa ushahidi wa Kihistoria.

Zingine zote umepiga porojo bila ushahidi wowote.

Kumbuka haya; Jina Afrika ni kiarabu. Lugha kubwa Afrika ni Kiarabu. Waarabu wako wengi Afrika kuliko kontinenti lingine lolote lile. Kiswahili kwa asilimia kubwa kinatokana na Kiarabu.

Wewe ni Mbantu wa wapi?

kama Kingereza kinapanda na haujuwi ni Mbantu wa asili ipi, soma hapa, historia inayofundishwa leo hii Chuo Kikuu cha Makerere na duniani, ili ujielewe:

BANTU MIGRATION

Between 1000-1800 AD, East Africa experienced a wave of migrations from different parts of Africa. The Bantu from the Congo or the Niger Delta Basin were the first to arrive, followed by the Luo from Bahr el Ghazel in Southern Sudan and then the Ngoni from Southern Africa.

Who were the Bantu?

The term Bantu refers to group of people who speak the same or similar language with common word "NTU" which means a person. The Bantu-speaking groups include the Baganda, Banyoro, Batoro in Uganda, Kikuyu, Akamba, Meru, Embu, Taita, Giryama, Digo in Kenya and Pokomo, Chagga, Yao, Segeju, Zaramo in Tanzania, as well as many other smaller groups.

Origin

There are two versions explaining the migration of the Bantu. The first version asserts that the Bantu came from West Africa around the Cameroon Highlands and Baunchi plateau of Nigeria; therefore, this points to the Niger basin as the possible cradle land of the Bantu. The second version posits that the Bantu came from the Katanga region in Southeastern Congo. Gradually they spread eastward north of the forest and southward to the forest's edge near the lower Congo or Zaire and lower Kasai. The occupation of the north western (Cameroon- Gabon) was fairly slow due to difference in languages. Else where especially in eastern and southern Africa beginning at the edge of the forest, the spread must have been fast due to the relationship in languages.

The study of migrations will help the learners to understand their origin and settlement patterns, appreciate the interrelationship between the different peoples of East Africa like cultures, customs, etc. They will also understand change and continuity in societies i.e. life is not static but dynamic and this explains the current movements of people to different parts of East Africa.

Soma zaidi: ELATE
 
Mkuu Maalim Mohamed Said, sorry my sixth sense tells me aliyeandika salam hizi sio Prof. Ibrahim Noor bali ni wewe!.
Maadam kujiunga na jf ni bure, mkaribishe ajiunge azijibu hoja zake, ila kwa vile wewe ndie uliyemleta humu, uko huru kumjibia, ila mimi sitokujibu kitu maaa nakumbuka matokeo ya kujibishana na baadhi ya watu humu, sometimes it is better kujikalia kimya!.

Pasco.
mimi ni muoga sana na mantiki ya wasomi wa dini ya kiisilamu, wanaoishi ulaya na Wao kujifanya ni authority wa mambo ya Nchi za afrika, Bahati Mbaya wako wengi sana, maisha ni harvard, Cologne , canada Austria , Hamburg na kadhalika. Mashutumo ni tanzania , uafrika zanzibar, wakristo na kuendelea . Hawa ni maprofesa of doom, ni wabaya. Kuliko wakina tip tibu . Wanatumia extensive knowledge za western countries Na archives zilizopo kupotosha umma na maendeleo machache ya Nchi zetu. Tuwakatae Kama ukoma, ukiwachanganya na vibaraka Wao either nao wako humu humu nchi ni au canada I presume, wana kuwa Kama voice of the oppressed . Nawasihi Ndugu zangu waogopeni sana hawo. Wakati Dunia nzima inakwenda kwenye muungano wakimbieni hao wanao enjoy western cultures na life na values, lakini kila Siku wanatupa Mbegu za Sumu na chuki kwenye contemporary life and times za especially watanzania, Neruda watanzania, siyo Waisilamu, siyo wakristo, siyo wa kutoka kariakoo siyo wakutoka Zanzibar. Be aware
 
Mkuu Maalim Mohamed Said, sorry my sixth sense tells me aliyeandika salam hizi sio Prof. Ibrahim Noor bali ni wewe!.
Maadam kujiunga na jf ni bure, mkaribishe ajiunge azijibu hoja zake, ila kwa vile wewe ndie uliyemleta humu, uko huru kumjibia, ila mimi sitokujibu kitu maaa nakumbuka matokeo ya kujibishana na baadhi ya watu humu, sometimes it is better kujikalia kimya!.

Pasco.
mimi ni muoga sana na mantiki ya wasomi wa dini ya kiisilamu, wanaoishi ulaya na Wao kujifanya ni authority wa mambo ya Nchi za afrika, Bahati Mbaya wako wengi sana, maisha ni harvard, Cologne , canada Austria , Hamburg na kadhalika. Mashutumo ni tanzania , uafrika zanzibar, wakristo na kuendelea . Hawa ni maprofesa of doom, ni wabaya. Kuliko wakina tip tibu . Wanatumia extensive knowledge za western countries Na archives zilizopo kupotosha umma na maendeleo machache ya Nchi zetu. Tuwakatae Kama ukoma, ukiwachanganya na vibaraka Wao either nao wako humu humu nchi ni au canada I presume, wana kuwa Kama voice of the oppressed . Nawasihi Ndugu zangu waogopeni sana hawo. Wakati Dunia nzima inakwenda kwenye muungano wakimbieni hao wanao enjoy western cultures na life na values, lakini kila Siku wanatupa Mbegu za Sumu na chuki kwenye contemporary life and times za especially watanzania, Narudia watanzania, siyo Waisilamu, siyo wakristo, siyo wa kutoka kariakoo siyo wakutoka Zanzibar. Be aware
 
Huyu mama neno lake kubwa ni umesomea Ujinga au wewe Mjinga, hebu tueleze mwenzetu mwerevu ume somea nini. Kuwa Bayana na hata ukiwa Na nia Njema tuwekee copi za vyeti

Nimesoma kitabu kinachojadiliwa hapa na bado nnaendelea kukisoma, kawaida yangu, hukisoma kitabu nilichokipenda mara nyingi sana, mpaka maudhui iniingie haswa. Jee, wewe umekisoma?
 
Hayo ndiyo makosa uyafanyayo, Uarabu si rangi wala si kabila - kumbuka hilo. Ukichanganya tu rangi unakosea sana tena sana.

Mimi nataka wewe uniambie Wabantu walimkuta nani Afrika ya Mashariki, si kwa kukisia kwa ushahidi wa Kihistoria.

Zingine zote umepiga porojo bila ushahidi wowote.

Kumbuka haya; Jina Afrika ni kiarabu. Lugha kubwa Afrika ni Waarabu. Waarabu wako wengi Afrika kuliko kontinenti lingine lolote lile. Kiswahili kwa asilimia kubwa kinatokana na Kiarabu.

Wewe ni Mbantu wa wapi?

kama Kingereza kinapanda na haujuwi ni Mbantu wa asili ipi, soma hapa, historia inayofundishwa leo hii Chuo Kikuu cha Makerere na duniani, ili ujielewe:

BANTU MIGRATION

Between 1000-1800 AD, East Africa experienced a wave of migrations from different parts of Africa. The Bantu from the Congo or the Niger Delta Basin were the first to arrive, followed by the Luo from Bahr el Ghazel in Southern Sudan and then the Ngoni from Southern Africa.

Who were the Bantu?

The term Bantu refers to group of people who speak the same or similar language with common word "NTU" which means a person. The Bantu-speaking groups include the Baganda, Banyoro, Batoro in Uganda, Kikuyu, Akamba, Meru, Embu, Taita, Giryama, Digo in Kenya and Pokomo, Chagga, Yao, Segeju, Zaramo in Tanzania, as well as many other smaller groups.

Origin

There are two versions explaining the migration of the Bantu. The first version asserts that the Bantu came from West Africa around the Cameroon Highlands and Baunchi plateau of Nigeria; therefore, this points to the Niger basin as the possible cradle land of the Bantu. The second version posits that the Bantu came from the Katanga region in Southeastern Congo. Gradually they spread eastward north of the forest and southward to the forest's edge near the lower Congo or Zaire and lower Kasai. The occupation of the north western (Cameroon- Gabon) was fairly slow due to difference in languages. Else where especially in eastern and southern Africa beginning at the edge of the forest, the spread must have been fast due to the relationship in languages.

The study of migrations will help the learners to understand their origin and settlement patterns, appreciate the interrelationship between the different peoples of East Africa like cultures, customs, etc. They will also understand change and continuity in societies i.e. life is not static but dynamic and this explains the current movements of people to different parts of East Africa.

Soma zaidi: ELATE

Naona unalazimisha kujinasabisha na waarabu. Kama makala yako uliyoleta inavyosema mtu mweusi ndio mkaaji wa toka enzi wa bara la Afrika aidha kutoka Congo au Cameron. Muarabu toka arabuni kuwahi kufika baadhi ya maeneo barani Afrika hakufanyi awe mwenyeji na muafrika kuwa mgeni.

Kwahiyo uarabu si rangi wala kabila? Je mtu mweusi toka Ileje ambaye baba yake ni mnyakyusa na mama msafwa anaweza kuwa muarabu?

Ajabu unatetea uarabu na waarabu wakati wao hawana habari na mtu mweusi . Endelea kujinasabisha labda utapata thawabu zaidi ahela.
 
mimi ni muoga sana na mantiki ya wasomi wa dini ya kiisilamu, wanaoishi ulaya na Wao kujifanya ni authority wa mambo ya Nchi za afrika, Bahati Mbaya wako wengi sana, maisha ni harvard, Cologne , canada Austria , Hamburg na kadhalika. Mashutumo ni tanzania , uafrika zanzibar, wakristo na kuendelea . Hawa ni maprofesa of doom, ni wabaya. Kuliko wakina tip tibu . Wanatumia extensive knowledge za western countries Na archives zilizopo kupotosha umma na maendeleo machache ya Nchi zetu. Tuwakatae Kama ukoma, ukiwachanganya na vibaraka Wao either nao wako humu humu nchi ni au canada I presume, wana kuwa Kama voice of the oppressed . Nawasihi Ndugu zangu waogopeni sana hawo. Wakati Dunia nzima inakwenda kwenye muungano wakimbieni hao wanao enjoy western cultures na life na values, lakini kila Siku wanatupa Mbegu za Sumu na chuki kwenye contemporary life and times za especially watanzania, Narudia watanzania, siyo Waisilamu, siyo wakristo, siyo wa kutoka kariakoo siyo wakutoka Zanzibar. Be aware

"Watu wema ni watu wema wawe wa dini yoyote na watu waovu ni waovu; wawe wa dini yoyote ile. Kama watu wema wenye kupendelea viumbe wenzao mema hawashikamani, basi waovu wenye kumfuata Shetani watashinda na watatawala."

Professor Ibrahim Noor Shariff
 
mimi ni muoga sana na mantiki ya wasomi wa dini ya kiisilamu, wanaoishi ulaya na Wao kujifanya ni authority wa mambo ya Nchi za afrika, Bahati Mbaya wako wengi sana, maisha ni harvard, Cologne , canada Austria , Hamburg na kadhalika. Mashutumo ni tanzania , uafrika zanzibar, wakristo na kuendelea . Hawa ni maprofesa of doom, ni wabaya. Kuliko wakina tip tibu . Wanatumia extensive knowledge za western countries Na archives zilizopo kupotosha umma na maendeleo machache ya Nchi zetu. Tuwakatae Kama ukoma, ukiwachanganya na vibaraka Wao either nao wako humu humu nchi ni au canada I presume, wana kuwa Kama voice of the oppressed . Nawasihi Ndugu zangu waogopeni sana hawo. Wakati Dunia nzima inakwenda kwenye muungano wakimbieni hao wanao enjoy western cultures na life na values, lakini kila Siku wanatupa Mbegu za Sumu na chuki kwenye contemporary life and times za especially watanzania, Narudia watanzania, siyo Waisilamu, siyo wakristo, siyo wa kutoka kariakoo siyo wakutoka Zanzibar. Be aware

Sadoliki,
Wasomi wa Kiislam wa dunia nzima na katika vyuo tofauti wanajulikana
pamoja na kazi zao.

Isaidie Majlis kwa kueleza ni msomi au wasomi gani unaowagopa kwa yale
walioyopata kuandika kiasi kuwa inabidi wakimbiwe.

Nakupa mfano wangu.

Mimi,nimeingia katika mjadala na John Iliffe, Jonathon Glassman, James
Brenan, James Giblin
kuwataja wachache na hawa ni maprofesa wa African
History na ni Wakristo na wapo Marekani na Ulaya.

Baadhi ya "critique" zao kwangu ni kupitia "journals" lakini nikapata na fursa
pia ya kujadiliananao na baadhi yao uso kwa uso kwenye vyuo vyao kuhusu
Uislam na mchango wa Waislam katika historia ya kupambana na ukoloni
Tanganyika.

Mimi sikupata kuona wala kuhisi "sumu," katika hoja zao ila kukosa kwao kujua
ukweli wa historia kama ilivyokuwa.

Matokeo ya kusoma kile walichokuwa hawakijui ni kuwa kitabu cha Abdul Sykes
kinasomeshwa kama rejea katika historia ya Tanganyika.

Majlis itanufaika kuwasikia kutoka kwako hao "wamwaga sumu" wasomi wa Kiislam
walio kwenye hivyo vyuo vilivyoko Marekani na Ulaya.
 
Naona unalazimisha kujinasabisha na waarabu. Kama makala yako uliyoleta inavyosema mtu mweusi ndio mkaaji wa toka enzi wa bara la Afrika aidha kutoka Congo au Cameron. Muarabu toka arabuni kuwahi kufika baadhi ya maeneo barani Afrika hakufanyi awe mwenyeji na muafrika kuwa mgeni.

Kwahiyo uarabu si rangi wala kabila? Je mtu mweusi toka Ileje ambaye baba yake ni mnyakyusa na mama msafwa anaweza kuwa muarabu?

Ajabu unatetea uarabu na waarabu wakati wao hawana habari na mtu mweusi . Endelea kujinasabisha labda utapata thawabu zaidi ahela.

Naam Uarabu si rangi wala kabila, ukiendelea kusoma bila kuwa umeshajifunga ubongo wako, kama ulivyotakiwa uwe, basi hutalielewa hilo.

Kwa mantiki hiyo hiyo yako, kama Congo na Cameron ni asili ya Wabantu basi hapa Afrika ya Mashariki walihamia tu, Jee, walimkuta nani ni mwenyeji hapa?

Swali hilo lazima upate kizunguzungu kwani unajuwa jibu lake litakuwa ni kizungumkuti.

Ikiwa Congo na Cameron kulikuwa kuna Wabantu basi ujuwe sehemu zingine za Afrika kulikuwa kuna Semites au Hulijuwi Hilo?

Wabantu ni kundi moja tu la Waafrika - Jee, mengine ni yepi? Huna hamu ya kuyajuwa?

Nnakuomba rudi ukasome kuhusu "Ethnic Origin" za Afrika labda utaelewa nnachokiongea hapa.

Sasa nnakuuliza swali nililomuuliza Mkandara, jee umekisoma kitabu kinachojadiliwa hapa? ili nijuwe namna ya kujadiliana na wewe, maana isiwe nnajadiliana na mtu ambae kitabu hajakisoma na mimi nnadhani amekisoma.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mama neno lake kubwa ni umesomea Ujinga au wewe Mjinga, hebu tueleze mwenzetu mwerevu ume somea nini. Kuwa Bayana na hata ukiwa Na nia Njema tuwekee copi za vyeti

Sadoliki,
Usiulize vyeti vya Maalim Faiza.
Inaelekea wewe ni mgeni hapa Majlis.

Faiza kajipambanua sana kama msomi makini si wa vyuo alivyosoma akiwa
keshakua bali hata vile vyuo alivyosoma akiwa na miaka 5/6.

Fanya utafiti mdogo.
Rejea nyuma humu Majlis soma michango yake utamjua.

Hapa Majlis ukileta habari ya vyeti utatufukuza wengi ingawa hatuna vyeti lakini
kwa kweli kwa namna yetu tunachangia kama mnavyochangia wasomi kama wewe
wenye vyeti.

Mtu hafukuzwi hapa barzani kwa kukosa cheti wala hakatazwi kuchangia kwa kukosa
cheti.
 
Naam Uarabu si rangi wala kabila, ukiendelea kusoma bila kuwa umeshajifunga ubongo wako, kama ulivyotakiwa uwe, basi hutalielewa hilo.

Kwa mantiki hiyo hiyo yako, kama Congo na Cameron ni asili ya Wabantu basi hapa Afrika ya Mashariki walihamia tu, Jee, walimkuta nani ni mwenyeji hapa?

Swali hilo lazima upate kizunguzungu kwani unajuwa jibu lake litakuwa ni kizungumkuti.

Ikiwa Congo na Cameron kulikuwa kuna Wabantu basi ujuwe sehemu zingine za Afrika kulikuwa kuna Semites au Hulijuwi Hilo?

Wabantu ni kundi moja tu la Waafrika - Jee, mengine ni yepi? Huna hamu ya kuyajuwa?

Nnakuomba rudi ukasome kuhusu "Ethnic Origin" za Afrika labda utaelewa nnachokiongea hapa.

Sasa nnakuuliza swali nililomuuliza Mkandara, jee umekisoma kitabu kinachojadiliwa hapa? ili nijuwe namna ya kujadiliana na wewe, maana isiwe nnajadiliana na mtu ambae kitabu hajakisoma na mimi nnadhani amekisoma.

Sadoliki,
Huyo ndiye Maalim Faiza.
Je, bado unataka kuona vyeti vyake?
 
Allah (sw) atakulipeni endeleeni kutoa darsa kwa sauti ya chini, ni kanuni mtu yeyote anayesema kweli atapata mashambulizi. Allahu Barik
 
Sidhani kama jembepori ameona tatizo la jina la mwandishi. Kilichopelekea fasiri hiyo ni vidokezo ambavyo mleta mada ameeleza kuwa ndivyo vilivyoongelewa ndani ya kitabu hicho. Kwa kuzingatia vidokezo hivyo, inaonyesha kuwa mwandishi anaonyesha jinsi waarabu na waislam (ambao kwa asilimia kubwa ni intersection subset) walivyo/wanavyonyanyaswa na hao 'wenyeji' ambao na-assume kuwa ni wale wasio wa makundi hayo yaliyotajwa. Sijakisoma, ila kwa vidokezo vya mleta uzi, kuna elements za propaganda pia, aidha kwenye maudhui ya kitabu au kwenye mtazamo na fasiri ya mleta mada hii.

Mkuu utotole mi kwa sasa nimeshaija nia yao hasa huyu mzeemohammmed said................

Nia yake ni mbaya na chafy sana ya kutaka machafuko kwa mgongo wa kidini....

eti kwenye utangulizi anasema kitabu kile amekitunga mwaka 1998 na wakakipeleka kwa nyerere ili ajibu hoja zake...............

mimi najiulizq huyo nyerere alikuwepo miaka nenda rud hawakumfuata eti mwaka walioona anaanzq kuumwa ndiyo wanampelekea kitabu naye aandike kitabu hivi wqo hicho kitabu kiliandikwa kwa siku moja?.............................

yan hawa jamaa chuki zao ni hari ta juu sana kwa nyerere ila wqnalitumia hili jukwaa la udini ku revange ila hata kama yeye aliwafukuzia mbaki extremism muslim wakati ule kama mlikuwa na nguvu kwa nini mnangoja afe ndiyo mnaanza kupiga makelele?...............................

sisi tunajua kunawatu walikimbia bara na kwenda visiwani ili kuikimbimbia nguvu yake na hawa walikuwa wqdini kwelikweli sasa eti wanesubiri kafa wanakuja na hoja za kitoto za uislqm tanganyika ilihali wqnajua nyerere alikuwa na waislqm kibqo kama kama akina rashid kawawa na wengineo wengi ila ukimwamvia hivyo huyu mwqndishi anabadili mada................................

yan anakuketea somo jingine kabisa la kukuchanganya...

mimi nilimuuliza hivi hata hiyo historia ya magogoni ni nyerere tuuuuuu mwanzomwisho?.................

watase
a sana maana wanajua nyerere aliwqzidi akili hao baba zao kwqni wakidhindw dhumuni lao la kuifqnya tanganyika kuwa ni nchi ya kiislqm na mimi niwaambie tu wameshachelewa jamwe tanzania haiwezi kuwa nchi ya kiislam................

tumejifunza mengi jutoka huko uislqm ulipoanziq na kuenea na kila mmoja kqeshqjua kuwq ni shida tupu, hiviu
unaijua sehem inaitwa LAMPEDUSA.................

hii ni pwani maarufu kwa kupokea wageni wanaoingia italy kutokea nchi za kiislqm, wrngi wao hufa maji na wanapoohiwa huwa wanasema bota tufie kwenye maji ila siyo kufia syria Lybia ama nchi zingine.....................

ukiwaambia hivyo watakwambia hiyo ni siasa hivi ni nchi za kiislam tu ndipo siqsa ilipowashinda mpaka kusababishq watu wao kukimbilia na kujazqnq nchu za kikristo na mtu akishadika huko hujisikiq kqmq amefika akhera kwa jinsi amqni anayokutana nayo..................

kifupi uislam ulipoqnzia kwenyewe kwenye suala ka uongizi umeproove failure sasa hqwa akina mohaned said wanatuletea story za kitoto hapa eti uislam uislam!!,..............

afunguke wazi tu kusema kuwa yeye hamoendi nyerere kwa sababu akikataa imanikali za kidinu ndani ya tqngqnyikq na kwao sasa wanaona ndiyo wakati wa kuleta hizi xhokochoko ili watu waziunge na ndiyo maana kama hao akina fqizafoxy wasipochangia utasikiq waislam mpokimya....................................

mi nasema aache hii nua yake mbaya asifanye danganya toto hum watu wiote ni watu wazina hada ki fikra kwqni qnaoufanya ni zaidi ya ushetani kwani siamini kama kuna Mungu anayependa kushabikia qmq kueneza chuki.
 
Last edited by a moderator:
Naam Uarabu si rangi wala kabila, ukiendelea kusoma bila kuwa umeshajifunga ubongo wako, kama ulivyotakiwa uwe, basi hutalielewa hilo.

Kwa mantiki hiyo hiyo yako, kama Congo na Cameron ni asili ya Wabantu basi hapa Afrika ya Mashariki walihamia tu, Jee, walimkuta nani ni mwenyeji hapa?

Swali hilo lazima upate kizunguzungu kwani unajuwa jibu lake litakuwa ni kizungumkuti.

Ikiwa Congo na Cameron kulikuwa kuna Wabantu basi ujuwe sehemu zingine za Afrika kulikuwa kuna Semites au Hulijuwi Hilo?

Wabantu ni kundi moja tu la Waafrika - Jee, mengine ni yepi? Huna hamu ya kuyajuwa?

Nnakuomba rudi ukasome kuhusu "Ethnic Origin" za Afrika labda utaelewa nnachokiongea hapa.

Sasa nnakuuliza swali nililomuuliza Mkandara, jee umekisoma kitabu kinachojadiliwa hapa? ili nijuwe namna ya kujadiliana na wewe, maana isiwe nnajadiliana na mtu ambae kitabu hajakisoma na mimi nnadhani amekisoma.

Bado hujajibu, Je mtu mweusi toka Ileje ambaye babaye ni mnyakyusa na mama msafwa anaweza kuwa muarabu? Kisha niambie muarabu ni nani nijue leo.

Makundi yote yaliyokuwepo sehemu mbali mbali Afrika hata kama sio wabantu yalikua na kitu kimoja hakika nacho ni wote walikua watu weusi.

Point ya msingi ni, mtu mweusi ndio mwenyeji asilia wa bara la Afrika. Muarabu toka mashariki ya kati ni mgeni Afrika regardless alifika lini Afrika.

Siwezi soma kitabu ambacho muhtasari wake tu unaonyesha kupotosha ukweli na malalamiko yasiyo na msingi.
 
Hayo ndiyo makosa uyafanyayo, Uarabu si rangi wala si kabila - kumbuka hilo. Ukichanganya tu rangi unakosea sana tena sana.

Mimi nataka wewe uniambie Wabantu walimkuta nani Afrika ya Mashariki, si kwa kukisia kwa ushahidi wa Kihistoria.

Zingine zote umepiga porojo bila ushahidi wowote.

Kumbuka haya; Jina Afrika ni kiarabu. Lugha kubwa Afrika ni Kiarabu. Waarabu wako wengi Afrika kuliko kontinenti lingine lolote lile. Kiswahili kwa asilimia kubwa kinatokana na Kiarabu.

Wewe ni Mbantu wa wapi?

kama Kingereza kinapanda na haujuwi ni Mbantu wa asili ipi, soma hapa, historia inayofundishwa leo hii Chuo Kikuu cha Makerere na duniani, ili ujielewe:

BANTU MIGRATION

Between 1000-1800 AD, East Africa experienced a wave of migrations from different parts of Africa. The Bantu from the Congo or the Niger Delta Basin were the first to arrive, followed by the Luo from Bahr el Ghazel in Southern Sudan and then the Ngoni from Southern Africa.

Who were the Bantu?

The term Bantu refers to group of people who speak the same or similar language with common word “NTU” which means a person. The Bantu-speaking groups include the Baganda, Banyoro, Batoro in Uganda, Kikuyu, Akamba, Meru, Embu, Taita, Giryama, Digo in Kenya and Pokomo, Chagga, Yao, Segeju, Zaramo in Tanzania, as well as many other smaller groups.

Origin

There are two versions explaining the migration of the Bantu. The first version asserts that the Bantu came from West Africa around the Cameroon Highlands and Baunchi plateau of Nigeria; therefore, this points to the Niger basin as the possible cradle land of the Bantu. The second version posits that the Bantu came from the Katanga region in Southeastern Congo. Gradually they spread eastward north of the forest and southward to the forest’s edge near the lower Congo or Zaire and lower Kasai. The occupation of the north western (Cameroon- Gabon) was fairly slow due to difference in languages. Else where especially in eastern and southern Africa beginning at the edge of the forest, the spread must have been fast due to the relationship in languages.

The study of migrations will help the learners to understand their origin and settlement patterns, appreciate the interrelationship between the different peoples of East Africa like cultures, customs, etc. They will also understand change and continuity in societies i.e. life is not static but dynamic and this explains the current movements of people to different parts of East Africa.

Soma zaidi: ELATE

Allama faiza hizo nondo zako mashallah lzma waelewe tu
 
Bado hujajibu, Je mtu mweusi toka Ileje ambaye babaye ni mnyakyusa na mama msafwa anaweza kuwa muarabu? Kisha niambie muarabu ni nani nijue leo.

Makundi yote yaliyokuwepo sehemu mbali mbali Afrika hata kama sio wabantu yalikua na kitu kimoja hakika nacho ni wote walikua watu weusi.

Point ya msingi ni, mtu mweusi ndio mwenyeji asilia wa bara la Afrika. Muarabu toka mashariki ya kati ni mgeni Afrika regardless alifika lini Afrika.

Siwezi soma kitabu ambacho muhtasari wake tu unaonyesha kupotosha ukweli na malalamiko yasiyo na msingi.

Swadakta.

Kwa hiyo unapingana na hoja ya wasomi na historia wanayoifundisha hapo Makerere, niliyokubandikia hapo juu? maana kitabu hujakisoma, au na hiyo pia hujaisoma? kama umeisoma hebu nioneshe Msafwa na Mnyakyusa uliowataja wapo katika hiyo historia ya Wabantu au hawapo?

Ukimaliza hilo, sasa soma wanasayansi wa vinasaba wanasema nini:

999999.gif

New DNA evidence suggests "African Eve", the 150,000-year-old female ancestor of every person on Earth, may have lived in Tanzania or Ethiopia.

A genetic study has shown that the oldest known human DNA lineages are those of East Africans. The most ancient populations include the Sandawe, Burunge, Gorowaa and Datog people who live in Tanzania.

Researchers found a very high amount of genetic variation, or diversity, between the mitochondrial DNA of different individuals in these populations.

Chanzo na soma zaidi: BBC NEWS | Science/Nature | Tanzania, Ethiopia origin for humans

Cha kushangaza, hakuna Mbantu katika hayo makabila.

Ndiyo maana huwa nnauliza, jee mnaijuwa historia ya wa Iraqw wa Tanzania? Wengi hawajibu, wachache wanaojibu husema asili ya wa Iraqw ni Waarabu wa Iraq, lakini sayansi ya vinasaba kama ilivyoripotiwa na BBC na niliyokuwekea hapo juu, inasema hao ndiyo katika binaadam wa mwanzo duniani na asili yao ni Tanzania ya leo na huko kwengine kote walikwenda tu.

Sijui hicho kinakufundisha nini?
 
So what the hell is all this about? that we should vacate Tanzania and give room to the Arabs to 'return to their home sweet home'? Hizi kelele zote kwamba waarabu ndio wallikuwa wanaishi hapa tangu karne na karne, wabantu wamehamia zina maana gani? Waliondokaje hapa na huko walikoenda walifuata nini? Kuna mtu amesema life is not static, is dynamic. State iliyopo sasa ndiyo ya sasa, kwa nini mnafufua mijadala iliyopitwa na wakati kutaka kudai waarabu warudi 'kuishi kwao' kama mnavyopaita? Sielewi hata sababu ya malalamiko haya maana kila siku waislam (na waarabu) wanalia kuwa wanaonewa mara na serikali, mara na dini zingine...na sasa wanadai hata hapa Tanzania ndio walikuwa wamejaa tele ila walifukuzwa na Nyerere wakahamishiwa huko waliko sasa. Hata kama mkipamba kitabu kwa maneno mengine mengine, NI PROPAGANDA TU! Kuna mtu kanukuu historia na ushahidi wa kijenetiki kuwa asili ya Tanzania si wabantu, ni waarabu! Sasa hayo makabila yaliyotajwa kuwa ni ya kwanza Tanzania na duniani, naona bado yapo Tanzania. Je hao waarabu wa Saudia, na kwingineko waliihamaje asili yao kwenda huko waliko? Kifupi huko ndio kwao, ninyi mnataka kuwarithisha nchi ya Tanzania kwa misingi ipi?

(nimeandika kama aliyejitoa fahamu maana majadiliano haya yanakera, kila siku ni whining tuuuuuuu! Tumechoka sasa. Unaishi Tanzania, regardless babu yako wa 500 kurudi nyuma alitokea wapi, unachotaka ni nini? Haya basi kila mwislam ajiite mwarabu kuanzia leo ili Tanzania iwe na amani. Mnataka dunia static siyo?)
 
Allah (sw) atakulipeni endeleeni kutoa darsa kwa sauti ya chini, ni kanuni mtu yeyote anayesema kweli atapata mashambulizi. Allahu Barik

Huko ni kupotosha. Ina maana katika dunia unayoishi wewe msema/mtenda maovu huwa hakemewi au kukosolewa siyo? Basi wewe au ninyi mnaishi dunia ya ajabu. Yaani mtu akiongea mambo mabaya anasifiwa, ila anayeongea mazuri ndiye hupata mashambulizi? Katika dunia ninayoishi, mtu mwovu hukemewa, kwa hiyo ukiona mtu anakemewa, usije ukajiaminisha kuwa anaongea kweli. Ikiwa hivyo, basi hiyo jamii husika imepotoka, na ndicho nikionacho kwenu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom