Nimesoma kitabu kinachojadiliwa hapa na bado nnaendelea kukisoma, kawaida yangu, hukisoma kitabu nilichokipenda mara nyingi sana, mpaka maudhui iniingie haswa. Jee, wewe umekisoma?
Hayo ndiyo makosa uyafanyayo, Uarabu si rangi wala si kabila - kumbuka hilo. Ukichanganya tu rangi unakosea sana tena sana.
Mimi nataka wewe uniambie Wabantu walimkuta nani Afrika ya Mashariki, si kwa kukisia kwa ushahidi wa Kihistoria.
Zingine zote umepiga porojo bila ushahidi wowote.
Kumbuka haya; Jina Afrika ni kiarabu. Lugha kubwa Afrika ni Kiarabu. Waarabu wako wengi Afrika kuliko kontinenti lingine lolote lile. Kiswahili kwa asilimia kubwa kinatokana na Kiarabu.
Wewe ni Mbantu wa wapi?
kama Kingereza kinapanda na haujuwi ni Mbantu wa asili ipi, soma hapa, historia inayofundishwa leo hii Chuo Kikuu cha Makerere na duniani, ili ujielewe:
BANTU MIGRATION
Between 1000-1800 AD, East Africa experienced a wave of migrations from different parts of Africa. The Bantu from the Congo or the Niger Delta Basin were the first to arrive, followed by the Luo from Bahr el Ghazel in Southern Sudan and then the Ngoni from Southern Africa.
Who were the Bantu?
The term Bantu refers to group of people who speak the same or similar language with common word "NTU" which means a person. The Bantu-speaking groups include the Baganda, Banyoro, Batoro in Uganda, Kikuyu, Akamba, Meru, Embu, Taita, Giryama, Digo in Kenya and Pokomo, Chagga, Yao, Segeju, Zaramo in Tanzania, as well as many other smaller groups.
Origin
There are two versions explaining the migration of the Bantu. The first version asserts that the Bantu came from West Africa around the Cameroon Highlands and Baunchi plateau of Nigeria; therefore, this points to the Niger basin as the possible cradle land of the Bantu. The second version posits that the Bantu came from the Katanga region in Southeastern Congo. Gradually they spread eastward north of the forest and southward to the forest's edge near the lower Congo or Zaire and lower Kasai. The occupation of the north western (Cameroon- Gabon) was fairly slow due to difference in languages. Else where especially in eastern and southern Africa beginning at the edge of the forest, the spread must have been fast due to the relationship in languages.
The study of migrations will help the learners to understand their origin and settlement patterns, appreciate the interrelationship between the different peoples of East Africa like cultures, customs, etc. They will also understand change and continuity in societies i.e. life is not static but dynamic and this explains the current movements of people to different parts of East Africa.
Soma zaidi: ELATE
Sadoliki,
Usiulize vyeti vya Maalim Faiza.
Inaelekea wewe ni mgeni hapa Majlis.
Faiza kajipambanua sana kama msomi makini si wa vyuo alivyosoma akiwa
keshakua bali hata vile vyuo alivyosoma akiwa na miaka 5/6.
Fanya utafiti mdogo.
Rejea nyuma humu Majlis soma michango yake utamjua.
Hapa Majlis ukileta habari ya vyeti utatufukuza wengi ingawa hatuna vyeti lakini
kwa kweli kwa namna yetu tunachangia kama mnavyochangia wasomi kama wewe
wenye vyeti.
Mtu hafukuzwi hapa barzani kwa kososa cheti wala hakatazwi kuchangia kwa kukosa
cheti.
Hivi wewe hauamini katika jihad? Jihad ni kufanya jitihada katika chochote ukifanyacho.
Hivi huna jitihada yoyote uifanyao katika maisha yako? au umeaminishwa kuwa jihad ni nini?
Ila hapa majlis ni ruksa kuwaona wenzio wajinga au waliosomea ujinga kwa kuwa hawana elimu sawa na yako uliyoipata tangu ukiwa na miaka mitano au chini ya hapo.
Walimkuta nani na aliondokaje East Africa? They settled, not necessarily displaced some other people. Kwa nini tunataka ku-assume waliwakuta na kuwafukuza waarabu? Do Arabs look like people who would yield to an invasion from bantu migrants coming to settle on their land, while thmselve pack their belongings and relocate to settle in some desert in the middle east?
Utotole,
Simjibii Maalim Faiza lakini nitapenda kueleza uzoefu wangu hapa Majlis.
Nimegundua kuwa wengi katika wachangiaji si wasomaji vitabu.
Weka kando hilo.
Hata wanapochangia uelewa wao wa hilo wanalotaka kulisemea huwa mdogo
sana.
Sasa tuje katika ile elimu ya chuoni ambayo baadhi yetu tumepata tukiwa na
miaka 5/6 ambayo Maalim Faiza amejaribu sana kuieleza hapa barazani ni kuwa
sisi chuoni tukiwa wadogo tukifunzwa kwanza "adab" yaani tabia njema.
Nimeshuhudia hapa watu wakitumia lugha za matusi, kebehi na kejeli katika
mijadala.
Sisi hili tumefunzwa toka tuko wadogo kabisa kuwa kutukana ni kosa kubwa sana.
Ndipo hapo Maalim Faiza anakuwa anauliza huko chuoni nyinyi mmefunzwa kitu
gani?
Mengine namwachia mwenyewe Maalim Faiza.
Utotole kipi kikusikitishacho?Ila hapa majlis ni ruksa kuwaona wenzio wajinga au waliosomea ujinga kwa kuwa hawana elimu sawa na yako uliyoipata tangu ukiwa na miaka mitano au chini ya hapo.
Nashukuru kwa haya uliyoongea. Ni kweli, ila kwa suala la adabu, kuepuka matusi, kebehi na kejeli, naamini Faizafoxy hajaelimika bado. Michango yake mingi imejaa kebehi hasa pale anapokosa point yenye nguvu hasa hasa katika majukwaa ya kisiasa. Sina uzoefu na mijadala yake kwenye masuala ya historia au dini. Kwa tafsiri yako hii, yampasa atathmini elimu yake ya awali na jinsi anavyoitumia sasa.
Tupatie elimu bibie, Jihad ni nini? Najua utafafanua kwa tafsiri ya sasa kama vile Wakristo wanavyoifafanua Crusade nyakati hizi.
Kumbuka, kila jina lina asili yake lkn kwa kuwa lugha inakua, sio ajabu tafsiri nayo ikabadilika kufuatana na hali ya sasa.
Ukweli niujuao, vita vya Jihad ni sawa na vita vya Crusade, Crusade ilianzishwa kuikabili Jihad. Na Jihad ni vita ya kiimani.
Vv
FaizaFoxy, Mimi nataka wewe unambie Wasandawe na WaBurunge ni Wabantu au sio wabantu, na kama sio asili yao nini?Swadakta.
Kwa hiyo unapingana na hoja ya wasomi na historia wanayoifundisha hapo Makerere, niliyokubandikia hapo juu? maana kitabu hujakisoma, au na hiyo pia hujaisoma? kama umeisoma hebu nioneshe Msafwa na Mnyakyusa uliowataja wapo katika hiyo historia ya Wabantu au hawapo?
Ukimaliza hilo, sasa soma wanasayansi wa vinasaba wanasema nini:
New DNA evidence suggests "African Eve", the 150,000-year-old female ancestor of every person on Earth, may have lived in Tanzania or Ethiopia.
A genetic study has shown that the oldest known human DNA lineages are those of East Africans. The most ancient populations include the Sandawe, Burunge, Gorowaa and Datog people who live in Tanzania.
Researchers found a very high amount of genetic variation, or diversity, between the mitochondrial DNA of different individuals in these populations.
Chanzo na soma zaidi: BBC NEWS | Science/Nature | Tanzania, Ethiopia origin for humans
Cha kushangaza, hakuna Mbantu katika hayo makabila.
Ndiyo maana huwa nnauliza, jee mnaijuwa historia ya wa Iraqw wa Tanzania? Wengi hawajibu, wachache wanaojibu husema asili ya wa Iraqw ni Waarabu wa Iraq, lakini sayansi ya vinasaba kama ilivyoripotiwa na BBC na niliyokuwekea hapo juu, inasema hao ndiyo katika binaadam wa mwanzo duniani na asili yao ni Tanzania ya leo na huko kwengine kote walikwenda tu.
Sijui hicho kinakufundisha nini?
Jisome post yako namba 117 halafu linganisha na post zangu humu, utaona ni nani ambae hajaelmika.
Isitoshe, kuna msemo umezagaa sana humuhumu JF mti wenye matunda ndiyo hupopolewa kwa mawe, utaupopoa mti hauna tunda si utakuwa chizi?
Jee, umekisoma kitabu cha Professor Ibrahim Noor Shariff?
FaizaFoxy, Mimi nataka wewe unambie Wasandawe na WaBurunge ni Wabantu au sio wabantu, na kama sio asili yao nini?
Ni mtazamo tu.
Hata usiokuwa na matunda kama unakula mbolea ya bure unakatwa ili ikue yenye faida
Finally, sikumbuki kama nimesema habari ya kujitapa kuwa nimeelimika
Zilizobaki ni 'politics'
Faiza nimekuuliza swali asili ya watu hao, haya ya kutokea South au North haijibu kitu maana wabantu ni mjumuiko wa makabila mengi sana yanaweza fika 1000, na mengine hawaelewani kabisa katika lugha. Sasa unaponipa vitu nisome ina maana wewe mwenyewe hujui. Cushtic language ni lugha za watu weusi, Cush maana yake ni weusi, haina maana zaidi ya kutenganisha asili ya watu bali lugha za weusi na wageni. Lugha ni lugha inaweza kuongelewa na watu wasokuwa waarabu, na sio kweli kuwa asili ya Waarabu wote wanaongea kiarabu toka kina Ismail, mtu mweusi huwezi kuwa mwarabu kwa asili unachanganya sana. Hivyo usiliseme kabila kuwa ndio asili ya watu maana hata WaTutsi wanaongea lugha ya Kibantu japo sii Wabantu.Kama ulipitia post ya Makerere inayoelezea Wabantu utaelewa kuwa Wanahistoria wanaelezea kwa u Bantu unakuwa "defined" kutokana na lugha.
Kwa vigezo hivyohivyo Wanahistoria wanaelezea kuwa Wasandawe na Waburuge si Wabantu, ushahidi:
Sandawe
The Sandawe language may share a common ancestor with the Khoe languages of southern Africa. It has clicks and the surrounding Bantu peoples find it difficult to learn. It is unrelated to the neighboring Bantu languages, though it has been lightly influenced by neighboring Cushitic languages
Soma zaidi: Sandawe people - Wikipedia, the free encyclopedia
Buruge
History: The Burunge belong to a small cluster of ethnic groups in Tanzania known as the Southern Cushites. Their ancestors are believed to originate from the Ethiopean plateau. A first trace of this occupation dates from the Upper Paleolithic period. At some time before 1000BC new waves of Caucasoid people began to fan out from southern Ethiopia bringing with them a full Neolithic culture with agriculture and domestic animals. The difference betweeen the languages of the Southern Cushites in Tanzania and the Cushites of Southern Ethiopia suggest a long period of isolation and linguistic differentiation. (Murdock pp 193-196)
Soma zaidi: The Burunge PeopleÂ--Â-TheTask.net
Vita vya dini havina mshindi,..